Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaambia mods tu wanakuunganisha,Hilo la mambo ya wakubwa mm mwenyewe bado, kma waweza niunganishe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dahMi mpaka saivi sijaona sehemu ya kuweka profile pic
Hii nayo ni shida kidogoNamna ya ku-quote post
Me hata sijakuelewa kabisa nawapataje sasa hao watu??maana sioni sehem ya kusearch jina la mtu ili ni mtext
Anzisha thread ya kuelezea hitaji lako, then utaunganishwa usijaliMe hata sijakuelewa kabisa nawapataje sasa hao watu??maana sioni sehem ya kusearch jina la mtu ili ni mtext
Wee utakuwa mgeni himuuHabari zenu, kama title inavyojieleza, pindi unajiunga na JamiiForums kwa mara ya kwanza nadhani kila mtu kuna vitu/ maneno yalimpa wakati mgumu sana. Hakika mimi mwenyewe kuna mambo/ maneno yalinipa shida Sana ndio nikaja kuyaelewa maana yake.
Mfano wa maneno hayo ni kama,
1. Msambwanda
2. Papuchi
3. Avatar
Wewe je?, ongezea tupanuane bongo.
OkayUnawaambia mods tu wanakuunganisha, Ongea na Maxence Melo au JamiiForums
Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.
Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
tena ataunganishwa na ban ya maisha kabisaaaAnzisha thread ya kuelezea hitaji lako, then utaunganishwa usijali
hahahahaahahahaha, JF maraha jamanimambo mengi sana yalinipa ugumu ikiwemo na hii mada yako,siielewielewi !!!!!
Habari zenu, kama title inavyojieleza, pindi unajiunga na JamiiForums kwa mara ya kwanza nadhani kila mtu kuna vitu/ maneno yalimpa wakati mgumu sana. Hakika mimi mwenyewe kuna mambo/ maneno yalinipa shida Sana ndio nikaja kuyaelewa maana yake.
Mfano wa maneno hayo ni kama,
1. Msambwanda
2. Papuchi
3. Avatar
Wewe je?, ongezea tupanuane bongo.
Hapw kuna mawili moja umri umekutupa mkono pili utakuwa bashite wa IT. huju a ya komputer.Mm mpaka leo, kuweka picha humu kunanishinda mwenzenu
Inawwzekana umri umenitupa mkono maana jana ndo nimetimiza niaka 25Hapw kuna mawili moja umri umekutupa mkono pili utakuwa bashite wa IT. huju a ya komputer.
Hahah, usimtishe mwenzako bana, Mods hawatoi ban kizembe namna hiyotena ataunganishwa na ban ya maisha kabisaaa