miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Nokia83 Ndo kiboko yangu.Siuturuhusu wote 2 wanajf tuje!
nitofauti na MMU,Mi hilo jukwaa nalisikia leo.nitofauti na lile MMU
Nenda jukwaa la malalamiko kuna uzi unaelekezaNipo jf tangu 2014 lakini mpaka Leo sijajua kuandika kwa rangi wala kubold
Kubold na kuandika kwa rangi wakubwa tatizo bado
Nenda jukwaa la malalamiko kuna uzi unaelekeza
Ebu weka picha yako nijue kama unajua kuweka picha kweli.Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.
Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.