Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.

Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
Ebu weka picha yako nijue kama unajua kuweka picha kweli.
 
Back
Top Bottom