Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Kuna jukwaa hua nalitafuta mpaka sasa sijawahi kuliona linaitwa jukwaa la wakubwa nalisikia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Habari zenu, kama title inavyojieleza, pindi unajiunga na JamiiForums kwa mara ya kwanza nadhani kila mtu kuna vitu/ maneno yalimpa wakati mgumu sana. Hakika mimi mwenyewe kuna mambo/ maneno yalinipa shida Sana ndio nikaja kuyaelewa maana yake.

Mfano wa maneno hayo ni kama,
1. Msambwanda
2. Papuchi
3. Avatar
Wewe je?, ongezea tupanuane bongo.
Siku nilipokoment nikaambiwa na mwanajamiiforum mmojaa MIND SET daaah nilimaind vibayaaaaa baadayee nikaja gunduaa hata POYOYOO akijua tu kainglish ni shiiida.
 
Siku nilipokoment nikaambiwa na mwanajamiiforum mmojaa MIND SET daaah nilimaind vibayaaaaa baadayee nikaja gunduaa hata POYOYOO akijua tu kainglish ni shiiida.
Kazi na dawa
 
Back
Top Bottom