Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Kwani timu ilipocheza na E.Guinea na kushinda hukuona threads za lawama kwamba hachezi kwa kiwango anachochenza nje?
Hebu kuweni kama wanaume kidogo basi mnataka afunge kila siku si atakuwa Ronaldo? mtu kila anakoenda analindwa na watu watatu au wawili lakini bado anaonyesha uwezo halafu anakuja mtu hapa anasema Samatta hatufai timu ya taifa unataka umpange nani badala yake
 
Genk anapocheza hamna walinzi,uefa kwa liverpool alifunga mbele ya mabeki gani wa liverpool,samata hana lolote timu ya taifa ni kama anakuja kufanya zoezi tu hajitumi

Sasa we unafananisha viungo wa Genk na Tanzania? ndugu mpira unaangalia au unasimuliwa? Tanzania Samatta mwenyewe inabidi aongezeke kama kiungo pale katikati genk kule anasubiri kutengenezewa tu muda wote na pasianazipata sasa wewe unataka kufananisha mpira wa Ulaya na Afrika? mpira wa ulaya akili nyingi Africa tunakamiana mtu hadi uivuke safu ya ulinzi umefanya kazi... Mi nashangaa Egypt hawamlaumu sallah wakati kiwango anachocheza sallah egypt si kama kile cha liverpool lakini wanaelewa ila huku mbongo mmoja asiye na simile anamwaga tu maneno ya hovyo kama anatoa posho taifa stars kumbe hamna kitu
 
Acha kukariri mzee unaangalia mpira live score halafu unakuja kuleta stori za Genk hapa... ungelia na refa au Kessy ningekuelewa ila hapo ulipogusa le umebugi kabisa otherwise una vinyongo vyako tu
 
Naangalia mpira vizuri mbona Msuva hachuji kujituma kwanini huyo boya
Sasa we unafananisha viungo wa Genk na Tanzania? ndugu mpira unaangalia au unasimuliwa? Tanzania Samatta mwenyewe inabidi aongezeke kama kiungo pale katikati genk kule anasubiri kutengenezewa tu muda wote na pasianazipata sasa wewe unataka kufananisha mpira wa Ulaya na Afrika? mpira wa ulaya akili nyingi Africa tunakamiana mtu hadi uivuke safu ya ulinzi umefanya kazi... Mi nashangaa Egypt hawamlaumu sallah wakati kiwango anachocheza sallah egypt si kama kile cha liverpool lakini wanaelewa ila huku mbongo mmoja asiye na simile anamwaga tu maneno ya hovyo kama anatoa posho taifa stars kumbe hamna kitu
 
Kwa mechi za taifa ana ubora gani,hivi hata scorers wanaoongoza unaangalia kwenye msimamo kwa taifa kwenye haya mashindano nani yupo juu?
Aisee wabongo ni pasua vichwa hasa mashabiki wa mpira mtu anataka ucheze kama playstation
 
Goli la penati na kasababisha mwingine,Samata anatembelea nyota ya msuva na wengine hapo taifa stars
Na ile penati ya wazi mechi ya guine iliyokataliwa na refa nani alisababisha? kama ingekuwa watu kama wewe wanasikilizwa basi firmino angesugua sana benchi pale andield maana wenzake sallah na mane wanatupia kila siku nayeye ndo main striker lakini hakuna anayelalamika kwa sababu mchango wake unaonekana hata asipofunga
 
Samata hana la kupoteza ndo maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.

Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake,mtu ligi kubwa anafunga magoli ,UEFA hadi liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu,hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata ajibu.
Anakuja kuongeza caps za kuupdate CV yake tu,hana msaada
 
Na ile penati ya wazi mechi ya guine iliyokataliwa na refa nani alisababisha? kama ingekuwa watu kama wewe wanasikilizwa basi firmino angesugua sana benchi pale andield maana wenzake sallah na mane wanatupia kila siku nayeye ndo main striker lakini hakuna anayelalamika kwa sababu mchango wake unaonekana hata asipofunga
Acha kufananisha mbingu na ardhi,role ya Firmino leo kaifanya inchimbi,Sammata nafanya nini? Zaidi ya hilo tuta alilonyimwa alisaidia nini tena? Kama wewe Shafii dauda basi samahani
 
Back
Top Bottom