Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

Huo ndio ukweli wameona masomo ya kawaida hawatoboi.

Dini inafahamika kwa kila mtu.
 
Yale mabank yenye sheria za kiislamu kama nbc , crdb etc na mikopo inayotolewa kwa masharti ya sheria za kiislamu hao wataalamu watatokea wapi kama watu hawajui taratibu na misingi ya islam???
 
Yale mabank yenye sheria za kiislamu kama nbc , crdb etc na mikopo inayotolewa kwa masharti ya sheria za kiislamu hao wataalamu watatokea wapi kama watu hawajui taratibu na misingi ya islam???
Mtu akimaliza advance anakuwa na sifa za kufanya kazi bank kitengo cha mikopo!?
Au kuna degree gani inayotolewa ya mambo ya fedha ihusuyo bank za kiislamu!?
Na kunatofauti gani mtu aliyesoma madrasa na aliyesoma islamic wanapokuwa bank za kiislamu kama wafanyakazi??
 
Akisoma madrasa hakuna cheti chochote rasmi kinachotolewa kinatambulika na serikali ila akisoma advance elimu ya dini tayari akisoma degree tukimuajiri kwenye taasisi inayohitaji mtu anayejua dini tutamtambua yeye kuliko sasa kuna upungufu wa qualified professionals kwenye nyanja hiyo
 
Kuna watu wanaenda kupewa ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…