Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale mabank yenye sheria za kiislamu kama nbc , crdb etc na mikopo inayotolewa kwa masharti ya sheria za kiislamu hao wataalamu watatokea wapi kama watu hawajui taratibu na misingi ya islam???Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya.
Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!?
Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja.
Hizo ni cutting point za kuwabeba waislam hasa wazazibar kwa sababu hao ndio kipaumbele cha awamu ya sasa.
Na zaidi ya hayo ni kutaka kuudhoofiasha Ukristo.
Mtu akimaliza advance anakuwa na sifa za kufanya kazi bank kitengo cha mikopo!?Yale mabank yenye sheria za kiislamu kama nbc , crdb etc na mikopo inayotolewa kwa masharti ya sheria za kiislamu hao wataalamu watatokea wapi kama watu hawajui taratibu na misingi ya islam???
Wameona wawatengenezee mbelekoHuo ndio ukweli wameona masomo ya kawaida hawatoboi.
Dini inafahamika kwa kila mtu.
Akisoma madrasa hakuna cheti chochote rasmi kinachotolewa kinatambulika na serikali ila akisoma advance elimu ya dini tayari akisoma degree tukimuajiri kwenye taasisi inayohitaji mtu anayejua dini tutamtambua yeye kuliko sasa kuna upungufu wa qualified professionals kwenye nyanja hiyoMtu akimaliza advance anakuwa na sifa za kufanya kazi bank kitengo cha mikopo!?
Au kuna degree gani inayotolewa ya mambo ya fedha ihusuyo bank za kiislamu!?
Na kunatofauti gani mtu aliyesoma madrasa na aliyesoma islamic wanapokuwa bank za kiislamu kama wafanyakazi??
Kuna watu wanaenda kupewa ajira.Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya.
Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!?
Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja.
Hizo ni cutting point za kuwabeba waislam hasa wazazibar kwa sababu hao ndio kipaumbele cha awamu ya sasa.
Na zaidi ya hayo ni kutaka kuudhoofiasha Ukristo.
Wanaenda kuajiriwa.Huo ndio ukweli wameona masomo ya kawaida hawatoboi.
Dini inafahamika kwa kila mtu.