Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Awamu hii wanaoteseka ni wasukuma for no reason
 
Dah huyu jamaa thread ya kumi hii anamakandia mama tu humu ndani ila ujue ndio ameshakuwa Rais wako tena
 
Hii mada siielewi kabisa. Rais amesafiri wapi so far! Ziara za ndani ni moja, mbili. Uganda au Kenya angeenda iwa bus? Na je umelinganisha gharama ya ndege na gharama ya msafara wa magari kadhaa yatakayotumia mafuta mengi, malipo ya madereva, muda unaopotea, msongamano barabarani etc?
 
Sioni kama kamponda mama nimeona amesema tu ukweli kwamba rais ni lazima awe karibu na watu wake ajue shida zao........mara moja moja atembee na gari aongee na wananchi wake bana....
Sasa hapo Samia ana muda gani na u Rais mpaka amlaumu ?!.
 
Mama hajagomewa mwanza acha uongo,hata mie naishi mwanza hilo sijaliona
 
We we upo wapi wakati shangwe mtaani kwangu linaendelea baada ya kifo cha mungu wa chattle
 
Atembee na magari kwani yeye anaugonjwa wa moyo mama panda ndege izo kwanza zimetuletea hasara kubwa wee zipande zote mama etu mpendwa hata ukitaka kwenda kimara bonyokwa kutoka magogoni mama we panda ndege tu mimi naona sawa kwakuwa wewe huna betirii una nyama
Alaf usimlazimishe mama awe kama mwendazake kwenda kupoga ziara kila mkoa kwani wasaidizi wake wanafanya nini humuoni majaliwa ndio anafanya izo kazi usinichosheee mama yangu kwanza wa mama hawapendi kashi kashi mama ako hapo jomo ujomozi anaendaga ziara? TAFADHALI NIACHIE MAMA YANGU WA TAIFA
 
Ubarikiwe sana kwa kuibuka na thread yenye mashiko kulingana na muda tulio nao.

Wamenuna sana na sasa wanakuja na visababu uchwara ili mradi wanampinga rais.
 
Yule ni Rais sio DC au RC bado una Mawaziri na Manaibu na Mbunge wako yupo pia. Sasa badi unataka Rais ndio atembee akila mahindi huko Dumila kuwauliza mnataka mpanuliwe wapi?

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ndio aliharibu mahusiano yetu na Kenya, yaani alikuwa nuksi kweli yule, kwakweli Mungu ashukuriwe sana, kang'oa mbuyu na mizizi yake
 
Sioni kama kamponda mama nimeona amesema tu ukweli kwamba rais ni lazima awe karibu na watu wake ajue shida zao........mara moja moja atembee na gari aongee na wananchi wake bana....
Sasa Kwa safari alizofanya mama muda aliohudumu katka kiti hcho cha uraisi ilikua ni muda sahihi kutumia gari!!?Pili kuhusu usafiri raisi hajipangii hyo ni kazi ya watu wengine ,Mh aliepita RIP tunajua kuwa si Kwamba alipenda tumia magari ila wanaopanga walijua Kwa afya yake anahitaji gari zaidi kuliko ndge sasa unapotoa hoja halafu hauwi rational ndipo watu wanakutuhumu kuwa pengine Una mambo binafsi na mtu fulani.
 
wasukuma bana mnateseka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…