Wewe ni mpumbavu sana, Rais kufuata haki amekuwa dhaifu? Halafu Samia siyo Magufuli,Toa hiyo namba yako ya simu hakuna uteuzi safari hiiNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naiandika Makala fupi yenye mighani mifupi inayotafakarika na kubayanishika.
Baada ya uchaguzi wa 2020 vyama vya upinzani viliibuka na malalamiko na matamko kadha wa kadha wakilalamikia mfumo wa uendeshaji wa uchaguzi mkuu 2020.
Walidai kwamba wakurugenzi ambao ni wateule wa Rais hawakutenda haki katika zoezi Hilo na kwamba walipokea maelekezo ya kuiba na kupora kura za wapinzani, na waliwatangaza wagombea wa ccm kwa nguvu ya mamlaka zilizo juu.
Kwa hali hiyo walidai kwamba hawatajihusisha na Jambo lolote la serikali iliyopatikana kwa Kura za wizi na walidai serikali na bunge vyote havina uhalali kabisa.
Mtakumbuka moja ya chama cha upinzani kilidai hakitawaruhusu wabunge wa viti maalum kuhudhuria wala kutambuliwa na bunge batili.
Kwa mkitadha huo walimaanisha kwamba wabunge wote wa CCM walio bungeni ni batili kwa sababu walitangazwa kwa kura za wizi.
Baada ya siku kadhaa tume ya uchaguzi ilitoa orodha ya majina ya wabunge 19 wa viti maalumu, lakini katibu wa chadema Bwn JJ Mnyika alitoa taarifa kwa umma ya kwamba chama chake hakitambui orodha hiyo na kilishatoa msimamo wa kutoshiriki bunge la wabunge waliopatikana kwa Kura za wizi, yaani wabunge wote wa Chama cha Mapinduzi.
Licha ya mvutano wote huo bado wabunge hao 19 waliapishwa na hata Sasa Ni wabunge wa chadema ambayo inapokea ruzuku kutokana na kuwepo kwao bungeni.
Hivi Sasa ninapoandika makala haya
Nimeona mivutano baina ya viongozi wa chadema na spika wa bunge Mh. J Ndugai yakizuka na hii ni baada ya kifo Cha aliyekuwa Rais wa JMT, Hayati JP Magufuli.
Hii Ina maana gani?
Kwamba Sasa wapinzani wanadhani Mh. Rais Samia ni dhaifu sana asiyeweza kupambanua hoja zao za siri, na kwamba watamfanya usigundue kwamba atakuwa anakubaliana na hoja yao ya kwamba uchaguzi mkuu 2020 CCM iliiba kura na kwamba serikali yake na bunge havina uhalali na Ni batili.
Haya tutayaona mara tu Mh. Rais atakapokubaliana na maombi yao kivuli yaliyo na agenda ya kutaka kumdhalilisha baadae, endapo ataamuua kumshauri spika wa bunge na kupokea hoja za chadema za kuwavua ubunge, ndipo tutakapowaona wakiibuka na ajenda yao halisi ya kwamba Hilo bunge Sio halali maana hata Rais mwenyewe kakubaliana hoja ya kwamba wabunge wa ccm walitangazwa kwa Kura za wizi.
Hata wale wabunge wa ccm wanaosisitiza kwamba maamuzi ya Chadema yaheshimiwe wanakosea bila wao wenyewe kujua kwamba wanaunga mkono hoja ya chadema juu ya kutangazwa kwa Kura za wizi.
Chadema wafanye nini?
1. Wanapaswa kumeza kauli zao za awali kwamba Kura ziliibiwa na wakili hadharani kwamba uchaguzi huo 2020 walipoteza kihalali.
2. Waibuke na hoja yao Sasa ya kwamba wabunge wanaoketi bungeni kwa tiketi ya chadema na mahakama Sio wabunge halali kwa sababu majina yao hayakuwasilishwa na chama kwenye ofsi ya tume.
Lakini wafute kabisa hoja ya kutoshiriki bungeni kwa kisingizio Cha kuibiwa kura, maana watakuwa wakimtukana Rais huku wakiomba msaada wake.
Naitwa Mtemi Nyakarungu
0754459572
Hili suala ni gumu jamani. Na chanzo kikubwa ni Magu.HAyo uliyosema hayahalishi chadema kupelekewa wabunge bungeni ambao hawawatambui.
Chadema tunalipenda TAIFA lisimame ni kipofu tu ndo halioni hilo,that's mwenyekiti aliomba maridhiano ya kitaifa ikiwa na pamoja kumuandikia mwendazake barua ni yapi wakutane na kuridhiana ,maana tz yetu wote hivyo hakuna atakae kuishi kwenye TAIFA ambalo limeparanganyika,but washauri wachache type hii, mkamjaza kiburi mwendazake .KWA kufanya hivi au kutafuta suluhu/ maridhiano kupitia serikali ya awam ya 6 sio kujipendekeza bali ni kile ambacho mh rais SSH anaonesha utiyari wa kufoward as one nation,KWA kufanya maridhiano na kuzika yaliyopitaNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naiandika Makala fupi yenye mighani mifupi inayotafakarika na kubayanishika.
Baada ya uchaguzi wa 2020 vyama vya upinzani viliibuka na malalamiko na matamko kadha wa kadha wakilalamikia mfumo wa uendeshaji wa uchaguzi mkuu 2020.
Walidai kwamba wakurugenzi ambao ni wateule wa Rais hawakutenda haki katika zoezi Hilo na kwamba walipokea maelekezo ya kuiba na kupora kura za wapinzani, na waliwatangaza wagombea wa ccm kwa nguvu ya mamlaka zilizo juu.
Kwa hali hiyo walidai kwamba hawatajihusisha na Jambo lolote la serikali iliyopatikana kwa Kura za wizi na walidai serikali na bunge vyote havina uhalali kabisa.
Mtakumbuka moja ya chama cha upinzani kilidai hakitawaruhusu wabunge wa viti maalum kuhudhuria wala kutambuliwa na bunge batili.
Kwa mkitadha huo walimaanisha kwamba wabunge wote wa CCM walio bungeni ni batili kwa sababu walitangazwa kwa kura za wizi.
Baada ya siku kadhaa tume ya uchaguzi ilitoa orodha ya majina ya wabunge 19 wa viti maalumu, lakini katibu wa chadema Bwn JJ Mnyika alitoa taarifa kwa umma ya kwamba chama chake hakitambui orodha hiyo na kilishatoa msimamo wa kutoshiriki bunge la wabunge waliopatikana kwa Kura za wizi, yaani wabunge wote wa Chama cha Mapinduzi.
Licha ya mvutano wote huo bado wabunge hao 19 waliapishwa na hata sasa ni wabunge wa Chadema ambayo inapokea ruzuku kutokana na kuwepo kwao bungeni.
Hivi Sasa ninapoandika makala haya
Nimeona mivutano baina ya viongozi wa chadema na spika wa bunge Mh. J Ndugai yakizuka na hii ni baada ya kifo Cha aliyekuwa Rais wa JMT, Hayati JP Magufuli.
Hii Ina maana gani?
Kwamba Sasa wapinzani wanadhani Mh. Rais Samia ni dhaifu sana asiyeweza kupambanua hoja zao za siri, na kwamba watamfanya usigundue kwamba atakuwa anakubaliana na hoja yao ya kwamba uchaguzi mkuu 2020 CCM iliiba kura na kwamba serikali yake na bunge havina uhalali na Ni batili.
Haya tutayaona mara tu Mh. Rais atakapokubaliana na maombi yao kivuli yaliyo na agenda ya kutaka kumdhalilisha baadae, endapo ataamuua kumshauri spika wa bunge na kupokea hoja za chadema za kuwavua ubunge, ndipo tutakapowaona wakiibuka na ajenda yao halisi ya kwamba Hilo bunge Sio halali maana hata Rais mwenyewe kakubaliana hoja ya kwamba wabunge wa ccm walitangazwa kwa Kura za wizi.
Hata wale wabunge wa CCM wanaosisitiza kwamba maamuzi ya Chadema yaheshimiwe wanakosea bila wao wenyewe kujua kwamba wanaunga mkono hoja ya Chadema juu ya kutangazwa kwa Kura za wizi.
Chadema wafanye nini?
1. Wanapaswa kumeza kauli zao za awali kwamba kura ziliibiwa na wakili hadharani kwamba uchaguzi huo 2020 walipoteza kihalali.
2. Waibuke na hoja yao Sasa ya kwamba wabunge wanaoketi bungeni kwa tiketi ya chadema na mahakama Sio wabunge halali kwa sababu majina yao hayakuwasilishwa na chama kwenye ofsi ya tume.
Lakini wafute kabisa hoja ya kutoshiriki bungeni kwa kisingizio cha kuibiwa kura, maana watakuwa wakimtukana Rais huku wakiomba msaada wake.
Naitwa Mtemi Nyakarungu
0754459572
Kwa sbb siyo mgumba [emoji23]!
'Usije ukaweka Wageni karanteen' hili hapana hata wageni wanajua kama kuna corana tena inayo badirika badirika, karanteen ni lazimaNimefurahishwa sana na uhuisho wa uhusiano wetu na Kenya. Hilo nikupongeze sana sana.
Mambo yote ni mema kabisa katika ziara hii. Ila la kuchukua tahadhari ni jinsi ya kushughulia janga la corona
Naomba tuhusiane na Kenya kwenye mambo mengine yote kabisa mimi sina tatizo lakini kwenye suala la corona tusiache utaratibu Magufuli aliouacha.
Hili Taifa Mungu analiongoza kwa namna yake mwenyewe na sote tumeona kwa macho ya damu na nyama ulinzi wa Mungu. Wakati dunia inahangaika sisi tumeendelea na Maisha yetu. Sasa basi kuchagua kufuata hao ni kukubali kushindwa na kwa Mungu anatambua kama UASI ( tumemuasi) au kwa lugha nyingine hatutaki tena atusaidie tunataka tufanane na wengine.
Na Mungu akituacha madhara yake ni makubwa.
MAMBO YA KUFANYA (AS WHO RECOMMENDED)
Kutoa taarifa za maambukizi kama zipo
Sio tatizo.
Kuvaa barakoa hakuna shida.
MAMBO YA KUTOKUFANYA.
Usije ukafunga Anga.
Usije ukafunga border yeyote.
Usije ukazuia shughuli zozote za uhuru wa kuabudu.
Usije ukaweka Wageni karanteen. Nikiwa na maana kuwa mgeni akitoka huko alikotoka kama amepimwa na wewe umempima kwenye nchi yako akiwa Hana maambukizi aendelee na shughuli zake
Ukiona nchi fulani ina maambukizi sana ni bora uzuie watu wake wasije kwa muda
But Mgeni akija Airport na certificate yake inaonyesha yuko salama na wewe ukampima yuko salama aendelee na shughuli zake
Tusiige Kenya kwenye hili
Utalaza utalii chini hutaondoka tena hapo
Elewa Kenya ni wajanja sana kwenye Tourism tukianguka pamoja siku ya kuamka Tanzania haitaamka tena ndio basi.
Tumetengeneza jina kubwa sana Tanzania kipindi hiki cha covid 19 Dunia ikajua kuna Tanzania The beautiful country with beautiful National parks and Nature.
Tusikubali kuachia line kabisa next season Wageni watakuwa wengi sana Tanzania
Kwa taarifa zangu nilizonazo hadi sasa ambazo ni za kuaminika kabisa kama stakeholder.
Wageni wengi waliochanjwa wanataka kuja Tanzania
Sasa Mtu asikuletee pesa tena alafu umuweke lock up siku kumi na nne
Wacha hiyo siasa ya covid utalaza uchumi chini kabisa hiyo miradi ulioachiwa na mwendazake haitaisha
Wananchi watakuwa mafukara kabisa
Itabidi uwakamue kodi kweli kweli
Itoshe kusema unaenda vizuri San hadi sasa ila democracy itakukwamisha pia
Kwenye diplomasia
Rekebisha na huko pia.
Ni wazi umeuachiwa Nguo yenye viraka
Ila pambana tunakuamini
Asante.
Mam
Michezo ithaminiwe ni Ajira atiAtuachie game yetu kwanza ichezwe