Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan


Ila hapo juu kusema mtu mtoto ampishe mzee mbona ni sawa hivi hilo nalo ni la kumlaumu ehh?utamaduni wetu sisi watanzania au waafrica kiujumla mbona upo hivyo,mtu mzima yaani umri wa mzazi wako huna budi kama ana mzigo kumpokea na kama ni mtaani kwako unamsaidia kumfikishia kwake ndivyo tamaduni zetu waafrica.Yaani mzee yeyote ambaye ana umri wa mzazi wako au babu yako heshima yake anatakiwa apewe kama ni mzee wako,hata nyumbani kwako tu mzee wako akaingia nyumbani unatizama TV ukampa salam huku umekaa kwenye kochi kiustaarabu kuonesha heshima ni bora usimame umpe salamu kisha unakaa.Tatizo linalotutoa kwenye tamaduni bora za kwetu na kuiga tabia za magharibi ndilo linatuponza na huko tunapoenda usishangae mtoto wako pia asikuheshimu halafu tuje kulaumu watoto wa siku hizi.Tunatakiwa tulaumu tulipojikwaa na siyo tulipoangukia.Wewe leo ni kijana hayo unayotaka uwafanyie wazee wako au wazee wa wengine kesho yakiwa mazuri na wewe pia unatarajia ufanyiwe kama hayo ila ukiwa unasema ahhh achana nao hao zama zao zishapita potelea mbali,huenda kesho kama Mungu atakupa umri kama wa hao utakuwa wa kwanza kulipwa wewe kama malipo uliyoyafanya enzi zako za ujana na huenda ukapokea mazuri zaidi ya hayo au mabaya zaidi ya hayo.Ni mtazamo tu tusijenge chuki.
 


Kama tunarudi awamu zileeee za utusitusi na wiziwizi na ujanjajanja --- Yes --- ^tutafika salama.^ JPM alipofika kukagua jengo la makao makuu ya TAKUKURU last year pale Dodoma, akazunguka mara moja, kisha akatazama juu, kisha chini ya jengo hilo, kisha juu tena, akapandisha miwani yake kama kawaida yake, akacheka kicheko cha mshangao na sintofahamu, kisha akamwita mkuu wa TAKUKURU na kusema, ^Brigedia, hapa tumepigwa!^
 
SSH is total failure, hajitambui, TISS pls do the needful, vinginevyo hii nchi inaenda kudondoka kwa ujinga wa mtu mmoja tu.


Usisahau hii ni serikali ya watu --- kila raia mwema, mzalendo wa kweli, ana haki ya kudai mabadiliko ya haraka. Bi Mkubwa amewakosea na anaendelea kuwakosea sana Watanzania.
 
Uhuru wa kujieleza ni haki ya msingi ya kibinadamu bwashee. Una uhuru wa kuacha kusoma na kuchangia post zake, au ukiona maji yamezidi unga basi jinyonge.
Jamaa kazidi jombaa, hivi kwa mfano mimi simpendi JPM, sikuupenda utawala wake, hiyo ndiyo iwe sababu ya kupost threads 20 kwa siku kumponda Magu? Tena narudia mambo yale yale? Huo uhuru wa kifala basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku

Tutamlinda mama kwa nguvu zetu zoteee
Ole wa mtu amguse tutadili nae papendicular
 
Eti sababu ya kumpa Mwinyi gari jipya ni kwa kuwa anahangaika kupanda magari mengine, je Mama Maria Nyerere yeye anapanda vipi, si na yeye ana haki ya kuhudumiwa hadi anafariki pia, tuna Rais hasara na mbaguzi, kila kitu saivi ni Zenji tu...
We pumbavu mkubwa

Kunywa sumu ufe

Shenzi kabsaa jitu zima ovyo kabsaa
 
Nyie watu mliojiunga JF siku za karibuni akili zenu zimekaa kifala sana


Wala si neno. Inategemea tathmini husika imetolewa na mtu wa akili ya aina gani. Wakati mwingine unaweza kuyalaumu maji yanayopita kwenye chujio, kwamba eti ni machafu, kumbe tatizo ni chujio lenyewe ndilo limeoza.
 
Mkuu hilo gari ( zawadi ) bei yake ni sawa na majogoo 4500 tu
 
Mods why mnamuacha huyu tahira anajaza servers zenu kwa kuandika upuuzi kila baada ya muda mfupi? Why msimfanye kama mlivyomfanya Malaria Sugu kipindi kile? Sioni tofauti ya Malaria Sugu na huyu chizi. Chuki zake kwa Samia akazitolee kwake huko.
Mbona chuki kwa JPM zinaruhusiwa, why iwe nongwa kwa za Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…