Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Umetumwa na Sabaya wewe? Tuliza mshono Lea mimba hiyo acha kiherehere papasi wewe
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Kusimamishwa ni kutumbuliwa?
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Hii ndiyo njia pekee ya kurejesha utaifa wetu, sisi ni wamoja, wapinzani siyo maadui, ni watu wenye haki ya kuishi na kusema kwa uhuru mabaya yote yanayofanywa na wana ccm wachache, Rais amemsimamisha kazi Sabaya si kwasababu ya wapinzani, amemsimamisha kazi kutokana na tuhuma zinazofanyiwa kazi
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.

Mama hataki dhuluma mama anataka haki.

Mliozowea vya kunyonga habari ndiyo hiyo.

Na bado hadi genge lote la madhwalimu lisambaratishwe.
 
Zile clip za kuvamia maduka ya watu na kutumia magari yenye namba feki za UN zilisambazwa na wapinzani?? Nia ya wapinzani ni kushika Dola sio kuondolewa kwa ma DC.
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Wewe ni mpuuzi kweli kweli. Wangapi wameperkwa kufanya kazi Hai ?! Kwanini only Sabaya ?! Wakuu wa wilaya Tanzania hii ni wangapi, kwanini yeye tu ?!. Huyu aliyeonywa mpaka na mkuu wake wa mkoa lakini hakusikia la mtu !!

Wapinzani ni waTz , wakifurahi kosa liko wapi ?! Mbona mama Samiah hawamchukii ?! . Kwani wapinzani wamezaliwa nchi hii ili wasononeshwe ?!. Watu kama nyinyi na mwendazake wenu ndiyo mliifanya Tanzania ionekane ni ya ki dictator . Shame on you
 
Upinzania sio uadui , upinzani ni kukubalina kutokubalina . Hapo kila mtu anasera zake ambazo lengo ni kuipeleka nchi Kwenye kilele cha mafanikio.

Sasa inapotokea kada wa chama kingine anapotafsili upinzani ni uadui ndio tunajenga magenge ya wahalifu kama haya ya kina Sabaya na Bashite ambao waliamini katika kuwadhuru wapinzani wao.

Hivyo aliyoyafanya mama kuhusu hawa vijana wawili sio bahati mbaya na wala sio kucheza ngoma ya wapinzani bali ndio utawala bora unavyotaka. Hauwezi kuwa na viongozi wanaojiona ni Miungu watu.

Bora wazee huwa wana busara ila sio hawa vijana walisumbua sana wananchi na wafanya biashara waliokuwa upinzani hasa wakiwa nyuma ya media.

Ewe mleta uzi, kama ulikuwa na mapenzi binafsi na huyu Sabaya pole kwa huzuni uliyoipata ila kwa wapenzi wa Demokrasia wote nchini hawakuwa na furaha na jinsi huyu kijana alivyokuwa akifanya ukatili wake.
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Pilipili usiyoila yakuwashia nini? Mama kanyaga twwnde wauaji wakubwq hawa
 
Wewe ni mpuuzi kweli kweli. Wangapi wameperkwa kufanya kazi Hai ?! Kwanini only Sabaya ?! Wakuu wa wilaya Tanzania hii ni wangapi, kwanini yeye tu ?!. Huyu aliyeonywa mpaka na mkuu wake wa mkoa lakini hakusikia la mtu !!

Wapinzani ni waTz , wakifurahi kosa liko wapi ?! Mbona mama Samiah hawamchukii ?! . Kwani wapinzani wamezaliwa nchi hii ili wasononeshwe ?!. Watu kama nyinyi na mwendazake wenu ndiyo mliifanya Tanzania ionekane ni ya ki dictator . Shame on you

Punguza mihemko hao madc wengine walio enda huko ndio walienda kunawilisha upinzan na kumfanya mwenyekiti kua untouchable hapo hai

Kwanini wapinzani mufuraishwe na utenguzi huu

Mapenzi yenu kwa chama tawala yameanza lini
 
Kwa ujumla inaonekana hujui maana ya multi party system . Rudi shule ukajifunze . Usione haya. Kuwa mpinzani sio uadui kama unavyoamini . Ni tofauti ya mawazo ktk uendeshaji wa jambo
 
Mkuu mimi ni mwanachama nna kadi ya CCM...katika mambo ambayo awamu ya JPM alichemka ilikuwa kukumbatia viongozi aina ya Sabaya.......ambao waliona sifa kuvunja sheria huku wakitokea mbele ya camera CCTV

Haonewi Sabaya mnakumbuka hata Mkuu wa mkoa mama Mghwira alimuambia aache kuonea watu na akamfanyia Jeuri mbele za Makamera
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Kwani kuwa mpinzani ni kosa kisheria mpaka DC aamue kuwathibiti kwa kutumia askari na kila aina ya uonevu?
Kama ni kosa basi tubadilishe katiba iwe ni nchi ya chama kimoja kusiwepo na vyama pinzani.
Haijalishi mtu ni mpinzani au si mpinzani kama kanyimwa haki yake kaumizwa basi aliyefanya hivyo hanabudi kuchukuliwa hatua, maana mwisho wa siku hata mpinzani ni mtanzania.
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Mchepuo wa sabaya naona kimeeekuuma hasa mumeo kukosa kazi sasa lazima uingiliwe kinyume na maumbile paka wewe!??? Mama ni msomi na mwelewa sio mpumbavu kama bwana yuleeeeee!??
IMG_20210501_234327.jpg
 
Back
Top Bottom