Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
pumbavu, upinzani ndiyo uwakate mkono? uwapoteze uwateke, shenzi zako
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Amka, zama zimebadilika.
Mama Mitano na Mitano na Mitano tena.
 
Ataipata maako yani mtu aue kwa kua yeye ni ccm wameacha!?? Mungu wenu alipendekeza ujinga yupo chato kaburini kima nyie
Mata.ko wewe usidhani kila mtu anapumulia watu visogoni, mwombeni sasa aruhusu muuziwe na KY ka njugu mpunguze hasira za kuchubuliwa.
 
Hii ndiyo njia pekee ya kurejesha utaifa wetu, sisi ni wamoja, wapinzani siyo maadui, ni watu wenye haki ya kuishi na kusema kwa uhuru mabaya yote yanayofanywa na wana ccm wachache, Rais amemsimamisha kazi Sabaya si kwasababu ya wapinzani, amemsimamisha kazi kutokana na tuhuma zinazofanyiwa kazi
Achana na huyo kichwa maji
 
Punguza mihemko hao madc wengine walio enda huko ndio walienda kunawilisha upinzan na kumfanya mwenyekiti kua untouchable hapo hai
Kwanini wapinzani mufuraishwe na utenguzi huu
Mapenzi yenu kwa chama tawala yameanza lini
Huko kichwani sijui umejaza utopolo gani,kwahiyo mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na nyie ni wa kushugulikiwa?,hakika magu aliwaharibu saana
 
Wewe ni mkundu Sana unampangia mama etu ? Shenzi kabisa mama anatenda Haki na sio kama mwenda zake muache mama afanye KAZI yeye ndio kusema saizi
Hiyo Profile Picha na huu mwandiko haviendani.

Yaani unatumia picha ya Rais kuchambia?
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Hivi kwann mnafocus sana na upinzani. Siku ukishindwa kupeleka huduma za kijamii kijijini kwenu upinzani hawatakuwepo. Huwezi kuwaeleza wananchi kwamba nimeshindwa kupeleka huduma kwa sababu lema ananichukia
 
Unamfundisha kazi mh rais? Kamwe huwezi kumfundisha kazi rais, mataga mmoja wewe ...
 
Mata.ko wewe usidhani kila mtu anapumulia watu visogoni, mwombeni sasa aruhusu muuziwe na KY ka njugu mpunguze hasira za kuchubuliwa.
Nina key wai hapa namngojea bimkubwaaako anakuja ngedere wewe wa kanda ya ziwa!!! Nenda kwa mungu wako chattle ukapewe pesa utoe mkono wa sweta
 
Mata.ko wewe usidhani kila mtu anapumulia watu visogoni, mwombeni sasa aruhusu muuziwe na KY ka njugu mpunguze hasira za kuchubuliwa.
Kampeni za 2025 ukipata pesa za kampeni ukalipie itolewe mkono wa sweta aisee unaweza ukawa na akili kama wanaume wengine
 
Si mlisema Jiwe na Mama yetu mpendwa ni kitu kimoja?..shida nini mbona mnalialia?
 
Punguza mihemko hao madc wengine walio enda huko ndio walienda kunawilisha upinzan na kumfanya mwenyekiti kua untouchable hapo hai

Kwanini wapinzani mufuraishwe na utenguzi huu

Mapenzi yenu kwa chama tawala yameanza lini
Mapenzi ya wapinzani yapo kwa taifa sio vyama jinga sana wewe!
 
Wapinzani hawafurahii kutumbuliwa Kwa Sabaya kwamba wana mapenzi na FISIEMU..

Ila wameshukuru Mungu kuwa walau adui mmoja Wa haki ameangushwa.. Hata mbingu zinafurahi kutumbuliwa Kwa yule Maniac Saambaya.
 
Back
Top Bottom