Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kama alitumwa basi kazi aliyotumwa imeisha akachunge au kulima zote ni kazi halali.
 
Mwendazake alisema anatamanai malaika washuke kuifungia mitandao yote. Wewe unadhani ni kwanini alisema hivyo?

Hii ni awamu ya sita. Wenye akili wanajuwa mama ana akili. Ni msikivu. Nafurahia sana yeye kusoma maoni yetu mitandaoni.

Taratibu tu mtanyooka.
 
Kwa akili kama hizi za mtoa post ! Hadi naona aibu kuwa mtanzania! Masikini ya Mungu hajui hata nini maana ya upinzani!
 
Kuna viongozi, mawaziri, wakuu wa mikoa wazuri walitumbuliwa, lakini hawakuwa na makelele kwenye mitandao Kama huyu jamaa, yaani mkuu wa wilaya anafanya VURUGU utafikiri ni Wazuri mkuu katumbuliwa!!! Hii ni dharau kwa dola
 
Hata Mimi nilikuwa team Mzee chuma damudamu lkn kwa Sabaya kwl wenzangu waliponisuta mbona huyu mtesaji watu dhulumati mzee wako anamlinda Nilikosa cha kujibu nikabaki na aibu maana kwl Sabaya alijiona ndiye rais wa kaskazini na kumdharau hata Anna Mghrw mbele ya halaiki....he deserve he deserve kabisa kuvuliwa hicho cheo ...Hongera mama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna tofauti kubwa kati ya nyapala na rais... Huyu ni rais MSIKIVU sio nyapala mtaka KIKI za kindezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini na wewe mla ugali kwa picha ya samaki. Nyamaza huna lolote. Ngoja mama aje awanyooshe mnafikiri ndo kawapenda sana. Upinzani wenyewe wa kudandia humu JF. Ujuaji wa kifala kabisa. Mleta mada ametoa maoni yake ili ikiwezekana mama awe anachukua maamuzi yanayotokana na taarifa kutoka vyanzo vyake ndani ya MFUMO. Sio NYUMBU wa JF ambao kutwa kucha wanatunga uongo humu.
 
Mtanyooka tu! Ameanza na huyo jambazi mwenzenu Sabaya. Baada ya hapo, ataendelea kuwatafuta mmoja baada ya mwingine, mpaka Mataga wote muishe.

Mmetusumbua sana! washenzi wakubwa nyinyi.
 
Kwa hiyo kwenu huo niutamaduni,tena usiona kificho,kumbe mpo wengi bado wa kuwafungashia virago.
 
Mimi nilichoelewa ni hao wafadhiri tu basi, hayo ma-dua mengine ya kuku, baki nayo, mwewe anawala vichwa mmoja mmoja, karangaishuga kabisa nyie wafiwa!
 
Na wewe mbona unatumia mtandao kwa nini usiende ikulu ukamwambie uso kwa uso!! Kuandika mtandaoni wakati unamshauri asifuate taarifa za mitandaoni huoni kuwa unajichanganya!!
 
Rais hawezi kuongozwa na nyie wachache:huyu ni Rais wa watz sio wenu nyie majambazi na wabinafsi mliojiona hii nchi ni yenu na mna miliki,Mungu atamtetea sana mama,nyie mliozea kunyonga na kujiona ndio kila kitu mbadilishe akili wapuuz nyie,Mungu mbariki mama
 
hehehe miaka minne ya kuteka kutesa kuua na kubambikia watu kesi za mauaji na uhujumu uchumi imewatosha acheni mama afanye kazi yake na mkae kwa kutulia
 
Usione gere!!! Zamu yetu na wewe ulitesa enzi zile. Mwache mama atusikilize. Yaani tunademka naye vilivyo!!!!
 
Sawa Ole Sabaya.

Tueleze kama Ana Mgwira ni mchaga.
Tueleze kama wilaya zote za Kilimanjaro wanaongoza wachaga kwa upande wa DC, Ded, wakuu wa idara n.k
Tuelekeze huo ukabila uko vipi yani.
 
Ndugu yangu naona unaumia sana style ya kuongoza anayoitumia Rais wetu mama Samia. Unaona mama anaongoza nchi kwa sifa na unatolea mfano wa aliyekuwa rais wa Malawi Joyce Banda kuwa sifa za kutaka kuwafurahisha wananchi na wafadhili ndizo zilimwangusha.

Nimeshindwa kuelewa mantiki yako ni ipi kwenye hoja yako. Sasa wewe unapokuwa kiongozi wa wananchi halafu unataka wananchi wako wasifurahie uongozi wako sijui sasa unakuwa unaongoza ili kumfurahisha nani?

Au unataka aongoze kwa kulifurahisha kundi dogo la watule wake.

Pia unalaani kitendo cha rais kumsimamisha Sabaya na kuagiza uchunguzi dhidi yake ufanyike, unasema mama ana taarifa zote kuhusu mwenendo wa Sabaya kupitia kwa DSO hivyo ilitosha kwa kumfukuza tu kazi kama hakuridhika na mwenendo wake kuliko kumchunguza. Kwanza sijaelewa unachokiogopa kuhusiana na huo uchunguzi huo. Au unahisi uchunguzi utaonyesha mambo mengi mazito kumhusu Sabaya ambayo bado hayajulikani kwasasa.

Kumbuka mama sio kama Mpita njia aliyekuwa anatumbua bila kufuata haki, mama anataka mtu apewe haki yake. Maana uchunguzi unaweza kuleta matokeo yanayoweza kumsafisha Sabaya vile vile sasa unacholaumu hapo ni kitu gani?

Na kama atapatikana na hatia pia ni vizuri afunguliwe kesi ili haki itendeke.

Acha mambo ya ajabu ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…