Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Samiha?
Wengine Samia..
Mara Samiah
Au Samikha?..

Which is which?
Boss nakuaminia Sana humu jamvini,je kama nimekosea jina inaathiri hoja yangu?
Wazungu husema Tansania badala ya Tanzania,husema John Magafuli badala ya John Mgufuli je Hawa Ni watu wawili tofauti?
Nakuaminia The Boss.
Karibu kwenye mada bana.
 
Hakuna wa kuzuia mabadiliko ya kiuchumi na kujitegemea....
tumepata sababu mpya za kutekeleza maono ya Nyerere kupitia Magufuli
Mbuzi kesha kula mkeka, sasa jiandae kwenda kuuza mirungi tu
 
Hujui maana ya dola. Unaweza kutafsiri vyovyote ila lolote kwa kulinda maslahi ya umma linafanyika kwa mujibu wa sheria. Unaweza kuita utekeja uuaji etc hiyo ni juu yako.
Wacha kulialia hapa jamvini,mbuyu wako umeanguka sasa nenda kwenu koromitje ukalime mtama maana huna tena wa kukubeba hapa dar
 
Mimi pia nimeshangaa eti TISS huru? Huenda haijui.
Wewe unajifanya unajua Lkn naona hujiu kitu.

Mara kadhaa wabunge makini wamezungumzia juu ya chombo hiki kuwa kivunjwe na kiundwe upya ama kitungiwe sheria mpya ili kiendane na Hali ya kisiasa ya Sasa.

Hususan mfumo wa vyama vingi.

Watu wengi wameshzungumzia suala hili, sijui wewe mwenzetu unashauri nini.
 
Hilo dude ni la kufumua lote vinginevyo wahuni na washamba waliorundikwa humo na jiwe pamoja na kuwa hawana qualifications husika watampa huyo mama wakati mgumu sana ili tu wamkwamishe.
 
Hilo dude ni la kufumua lote vinginevyo wahuni na washamba waliorundikwa humo na jiwe pamoja watampa huyo mama wakati mgumu sana ili tu wamkwamishe.
Hakika kabisa Mkuu BAK na huo ndio ukweli wenyewe.
 
Reactions: BAK
Dah yani hapa tulipo ni ngumu kushauri chochote kwakweli . Marehemu alifanya kila kitu kiwe kinamsujudia yeye/kampuni binafsi
Sahihi kabisa,Ni wakati Sasa wa kuwa na Taasisi imara,sio kuregemea mawazo ya mtu mmoja, akifa mtu huyo au mda wake ukiisha watu wanashindwa kujisimamia.

Utawala Bora sio mtu Bora Bali Ni mfumo Bora.

Yule bingwa alijiona yeye Ni Bora kuliko mtu yeyote na alijiona Bora kuliko watangulizi wake. Sasa hiyo tuiondoe.
 
Nguvu ya CCM kumwongoza rais ishatoweka. Wazee mashuhuri washapunguzwa nguvu zamani.
 
Mtu ambaye hata kuandika jina vizuri la rais huwezi, unaweza kuishauri TISS kweli!
 
Duh..we jamaa ndio sijakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…