Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huko si kushangaa. Yeye kawapa wahusika taarifa kwamba kuna hilo tatizo. Sasa wasipolishughulikia ndio tena wataona upande wake mwingine wa shillingi. Huo ndio uongozi wa kistaarabu na si kuaanza tu kufukuza watu
 
Unajua kushurutisha tu .... uongozi sio kufokafoka Mama anajua kutoa Amri najua wahusika wameelewa nini anamaanisha.
 
Mtaani kwetu tokea sikukuu ya idi maaskari wametanda mtaani wauza drugs wamekamatwa karibia wote yaani sio mchezo mishemishe kibao kazi za ujenzi zipo isipokuwa vijana hawajitumi Ni wavivu wanakunywa gongo badala ya kuwa manyokaa life zuri lipo ukipiga kila kazi bila kuchagua dai hela yako Kama unafanya kazi.ma title wapo wanaleta na hela.kazi kweli nimeikubali Kama kweli kwa level tu ya mtaa usalama wa taifa umefanya makubwa na kuzingira Basi nadhani watafsiri wote wa Sheria tendeni haki matumaini Sasa yako rushwa itapungua.
 
Sasa kilichobaki Ni ajira tu kwa wahitimu Wengi majina yatoke Mwezi wa sita Serikali nzuri
 
Tuliposifiwa kuwa na utawala bora kipindi cha Mkwere,wote tulijua nini kinaendelea mtaani na serikalini. Sijui kwanini huwa ni rahisi kwa wenye madarasa mengi kichwani kugeuzwa kugeuzwa na kupoteza kabisa maarifa asilia.
JK was far way better president kuliko marais wengi sio Tz tu bali Afrika nzima.
 
kosa ni la baba mwendazake hakutaka kumtengeneza mwenzake awe na uwezo wa kuyasemea baadhi ya mambo..... sasa kwakuwa alijifanya acha tuende hivihivi tutajua mbele kwa mbele atajifunzia hukohuko yaani kwa kifupi tushachoka mwache afanye atakavyo usimsumbue
 
Huachi alama mkuu, ila ishara zako ndizo zinasema mengi kwa anayejua kusoma na kuelewa.

Sijaanza kukuona leo wala jana!
Hahaha!

Shukran mkuu.

Bado naangaika kupata Luku, yaani Luku imekuwa kama zama damu au maduka ya ushirika.
 
@Huwezi kuruhusu chakula kiende nje ya nchi wakati unaona huu mwaka kuna njaa kubwa.

@ huwezi kufungulia ajira kwa mkupuo(kukurupuka) wakati unajua swala la WATUMISHI HEWA lipo limetutesa miaka yote
Hill swala hua linafanyika hatua kwa hatua

@huwezi kabisa kuruhusu madini yachimbwe hifadhini wakati huo unajua kabisa kuna sehemu nyingi nyingi tu za kuchimba madini

@Huwezi kuamlisha gas ipelekwe nje wakati huo unajua unapinga matumizi ya mkaa majumbani kwa kiongozi mwenye mtazamo angetafuta ni jinsi gani watanzani watatumia gas waachane na mkaa.

ukuruhusu gas kwenda kenya je ni masikini gani ataweza kutumia gasi ?
Basi ruhusu matumizi ya mkaa hazarani watanzania wananyanganya mikaa hata akionekana .

 
Wabongo mnapenda kuwapangia watu kazi, ujuaji mwingiii. Hovyo sana. Mkipewa uhuru kidogo tu, shida. Kwakweli Pombe alikuwa sahihi kutupeleka mzobemzobe. Mlifyata kimyaa!
 
Samia anakusudia mambo mema kwa nchi ila shida yetu tunataka mwanamke awe kama mwanaume kubwa ni kuwa watu wazima ndani ya ccm wasimuache mwenyekiti wao. Wamshauri na wamsaidie
 
Kwahiyo Kiongozi wenu shupavu aliweza ongeza matumizi ya gesi kwa kila mtanzania? Eti kuajiri kunaenda kwa awamu, huyo mwendazake Mbona hata hawamu hakuweza? Mbona Tigopesa siku za karibuni ilipata tatizo week nzima, hivyo pia ni udhaifu wa mama?
 
tatizo letu sio Mh Samia tatzo ni mifumo yetu ya uongozi.
mchawi mpe mwanao akulelee. alisimamia bunge lililoweka kapuni Katiba ya Wananchi iliyokuwa inatamka haja ya kuwa na mifumo imara ya uongozi. haya sasa yeye ndo rais watu washaanza kumzimia umeme.

yaani mjinga mmoja tu anakorifisha mfumo wa umeme na kuikoroga nchi nzima afu eti adhabu kusimamishwa kazi siku 10 😆 bullshit.

mwingine juzi juzi tu katia shoti ya umeme kwenye server ya Tancis inayoendesha bandari yupo anakula ugali mpaka leo. stupid.
 
Samia anakusudia mambo mema kwa nchi ila shida yetu tunataka mwanamke awe kama mwanaume kubwa ni kuwa watu wazima ndani ya ccm wasimuache mwenyekiti wao. Wamshauri na wamsaidie
Makamu wake ni mtaalamu wa uchumi, na ndiye alikuwa waziri wa fedha (engineer wa mipango ya uchumi) wakati wa Mwendazake, afanye naye kazi kwa karibu ili mambo yaende kama ilivyokusudiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…