Kwa nini amfute? Mama atende mema kwa awamu yake ili naye akumbukwe kwa hayo. Kumbuka hata, wauaji wakumbwa e.g. Hitler, Iddi Amin,n.k hawajafutika na wana mamilion ya wafuasi.Itachukua muda sana mama kumfuta JPM mioyoni mwa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini amfute? Mama atende mema kwa awamu yake ili naye akumbukwe kwa hayo. Kumbuka hata, wauaji wakumbwa e.g. Hitler, Iddi Amin,n.k hawajafutika na wana mamilion ya wafuasi.Itachukua muda sana mama kumfuta JPM mioyoni mwa watu
JEIPIEM yupi huyo..huyu kichaa ambae mpaka familia imemchoka imaeamua kumzungushia mabati au kuna mwingine??Itachukua muda sana mama kumfuta JPM mioyoni mwa watu
Shaka hawezi kuyaishi maono ya Magufuli maana JPM alikwishamuweka kando kwa mambo yake ya kutoa RUSHWA kwenye uchaguzi ndani ya CCM. Anachokifanya mama kwa sasa ni kupingana na Itikadi ya JPM ndo maana unaona anawarudisha akina Shaka, kimsingi nchi iko shaghalabagalaHabari wanabodi..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu .Jana kwenye mkutano wa viongozi wa CCM na waandishi wa habari moja ya swali lililoulizwa na mwandishi wa habari ni kwamba,je kama CCM wapo pamoja?
Kiukweli ni swali ambalo unaweza ukaona la kizushi lakini mwenye kuuliza swali sio mjinga ,inawezekana kuna kitu amekiona ndani ya Chama cha Mapinduzi hakipo sawa.
Ila bila shaka Mh Daniel Chongolo alilijibu kama ilivyotakiwa kujibu kwamba tupo sawa kabisa .
Ila kwa maoni yangu binafsi naona kama ndani ya CCM kumeibuka waumini wa imani au nadharia mbili kuna wale waliokuwa wanaamini nadharia ya Hayati JPM na kuna wale walio amua kubadilika na kukubaliana na nadharia mpya ya uongozi ya mheshimiwa Samia Hassani.
Hawa wanaoshikiria nadharia ya JPM ndio wale waliogoma kumzika JPM katika mioyo yao,hivyo basi mwenyekiti wa chama,Shaka,Chongolo wanatakiwa wajipe assignment ya kuhakikisha kwamba wanaishi katika kivuli na maono ya JPM kwa sana kuendeleza yale yalio mazuri ili wale ambao hawaja mzika hayati JPM kwenye mioyo yao waendelee kuona kama bado JPM yupo madarakani mpaka pale atakapozikwa.Maana hawa ambao bado hawajamzika JPM mioyoni mwao ndio wale wanaoamini JPM bado ni rais wa JMT.
Sijuhia naeleweka hapa kweli,kam haujaelewa bora tu utulie maana uta mix madesa?
chama kinajengwa kila siku sio tu mpk ukaribie uchaguzi.Mama SSH hataki siasa za manunuzi kwa mwavuli wa kujenga chama. Chama kina zaidi ya miaka 40 unajenga nini tena?
Kujenga chama ni kuwaongoza wananchi kwa uadilifu bila ubaguzi, baadae automatically chama kitajengeka acha uccm kipindi hichiHabari wanabodi..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu .Jana kwenye mkutano wa viongozi wa CCM na waandishi wa habari moja ya swali lililoulizwa na mwandishi wa habari ni kwamba,je kama CCM wapo pamoja?
Kiukweli ni swali ambalo unaweza ukaona la kizushi lakini mwenye kuuliza swali sio mjinga ,inawezekana kuna kitu amekiona ndani ya Chama cha Mapinduzi hakipo sawa.
Ila bila shaka Mh Daniel Chongolo alilijibu kama ilivyotakiwa kujibu kwamba tupo sawa kabisa .
Ila kwa maoni yangu binafsi naona kama ndani ya CCM kumeibuka waumini wa imani au nadharia mbili kuna wale waliokuwa wanaamini nadharia ya Hayati JPM na kuna wale walio amua kubadilika na kukubaliana na nadharia mpya ya uongozi ya mheshimiwa Samia Hassani.
Hawa wanaoshikiria nadharia ya JPM ndio wale waliogoma kumzika JPM katika mioyo yao,hivyo basi mwenyekiti wa chama,Shaka,Chongolo wanatakiwa wajipe assignment ya kuhakikisha kwamba wanaishi katika kivuli na maono ya JPM kwa sana kuendeleza yale yalio mazuri ili wale ambao hawaja mzika hayati JPM kwenye mioyo yao waendelee kuona kama bado JPM yupo madarakani mpaka pale atakapozikwa.Maana hawa ambao bado hawajamzika JPM mioyoni mwao ndio wale wanaoamini JPM bado ni rais wa JMT.
Sijuhia naeleweka hapa kweli,kam haujaelewa bora tu utulie maana uta mix madesa?
Mama yako ndiye hopeless kwa kuzaa pimbi kama wewe, angebana mapaja akakupasua kichwa ufe.Mama hopeless
😁😁😁Mama yako ndiye hopeless kwa kuzaa pimbi kama wewe, angebana mapaja akakupasua kichwa ufe.
Kwan uongo ndugu yangu??Jiwe effects.
Subiri mambo yanawekwa sawa.. July mzigo wa maana super kabisa unamwaga mtaaniAsalaam aleykum Mama!
Mama kifupi mtaani njaa ni Kali binafsi hata hela ya kula Sina biashara sipati wateja wakikopa hawalipi.
Mama, tafuta washauri mshauriane namna ya kulegeza kidogo, maana haiwezekana wanaodaiwa washindwe kulipa na kila unamuomba hela akuazime hana.
Mama ndoa zipo matatani okoa wanawake wenzako, ada azilipiki, hospital hapaendeki, mikopo hailipiki.... Yaan hatujui tufanye nini ila kiukweli twafaaaaaaaaaaaaa[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
July wap na anasema uchumi umeshuka?? Tulifarijika jiwe hayupo mambo yata change haraka kumbe effect ni kuubwaSubiri mambo yanawekwa sawa.. July mzigo wa maana super kabisa unamwaga mtaani
Ugonjwa unapo kuingia kutoka ni mdogo mdogoAsalaam aleykum Mama!
Mama kifupi mtaani njaa ni Kali binafsi hata hela ya kula Sina biashara sipati wateja wakikopa hawalipi.
Mama, tafuta washauri mshauriane namna ya kulegeza kidogo, maana haiwezekana wanaodaiwa washindwe kulipa na kila unamuomba hela akuazime hana.
Mama ndoa zipo matatani okoa wanawake wenzako, ada azilipiki, hospital hapaendeki, mikopo hailipiki.... Yaan hatujui tufanye nini ila kiukweli twafaaaaaaaaaaaaa[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
HhahaaaaaJuly wap na anasema uchumi umeshuka?? Tulifarijika jiwe hayupo mambo yata change haraka kumbe effect ni kuubwa