Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Yatachange to better trust meJuly wap na anasema uchumi umeshuka?? Tulifarijika jiwe hayupo mambo yata change haraka kumbe effect ni kuubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatachange to better trust meJuly wap na anasema uchumi umeshuka?? Tulifarijika jiwe hayupo mambo yata change haraka kumbe effect ni kuubwa
Kwakua we Mzee wakuona mbali ngoja ni beliaveYatachange to better trust me
Ntakutumia namba yangu wakimwaga unishtueSubiri mkuu soon zitamwagwa pale mnazi mmoja ukajichotee!
Usitukatishe tamaa jamaa kaacha legas ujue!!!ITACHUKUA MIAKA 10 KUREKEBISHA UHARIBIFU ALIOUFANYA magofool.
Mbona wakati John Magufuli akiwa hai mlikuwa mnasema kila kitu kipo sawa, leo nini kimeongezeka hadi mnalialiaAsalaam aleykum Mama!
Mama kifupi mtaani njaa ni Kali binafsi hata hela ya kula Sina biashara sipati wateja wakikopa hawalipi.
Mama, tafuta washauri mshauriane namna ya kulegeza kidogo, maana haiwezekana wanaodaiwa washindwe kulipa na kila unamuomba hela akuazime hana.
Mama ndoa zipo matatani okoa wanawake wenzako, ada azilipiki, hospital hapaendeki, mikopo hailipiki.... Yaan hatujui tufanye nini ila kiukweli twafaaaaaaaaaaaaa[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Ha ha ha ndio hiyo legacy ya umaskini aliotuachiaUsitukatishe tamaa jamaa kaacha legas ujue!!!
July???Subiri mambo yanawekwa sawa.. July mzigo wa maana super kabisa unamwaga mtaani
Kama sio korona sijui ingekuwajeITACHUKUA MIAKA 10 KUREKEBISHA UHARIBIFU ALIOUFANYA magofool.
😂😂😂😂mzee wa watu mlimchukia bure tu kwa kuaminishwa.hali ni ileileJuly wap na anasema uchumi umeshuka?? Tulifarijika jiwe hayupo mambo yata change haraka kumbe effect ni kuubwa
Acheni ujuaji hebu tafuta post au comment yangu ya ichi ulichoandika??Mbona wakati John Magufuli akiwa hai mlikuwa mnasema kila kitu kipo sawa, leo nini kimeongezeka hadi mnalialia
Sio kwamba ndo kaacha msala?😂😂😂😂mzee wa watu mlimchukia bure tu kwa kuaminishwa.hali ni ileile
Nyinyi ni wezi na majiziAcheni ujuaji hebu tafuta post au comment yangu ya ichi ulichoandika??
Utaolewa na majini shauri yakoNyinyi ni wezi na majizi