Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mimi namshauri aangalie vizuri upande wa sukuma gang, hawampendi. Fukuza wote aanze system yake upya!
 
Subiri mkuu soon zitamwagwa pale mnazi mmoja ukajichotee!
 
Asalaam aleykum Mama!

Mama kifupi mtaani njaa ni Kali binafsi hata hela ya kula Sina biashara sipati wateja wakikopa hawalipi.

Mama, tafuta washauri mshauriane namna ya kulegeza kidogo, maana haiwezekana wanaodaiwa washindwe kulipa na kila unamuomba hela akuazime hana.

Mama ndoa zipo matatani okoa wanawake wenzako, ada azilipiki, hospital hapaendeki, mikopo hailipiki.... Yaan hatujui tufanye nini ila kiukweli twafaaaaaaaaaaaaa[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Mbona wakati John Magufuli akiwa hai mlikuwa mnasema kila kitu kipo sawa, leo nini kimeongezeka hadi mnalialia
 
Maumivu aliyoa ha Mwendazake ni makubwa sana kwa wananchi, maumivu, manyanyaso na uonevu ulikuwa mkubwa sana, Kama mama ataangalia upande wa Kodi umiza zio dokewe, upandishaji madaraja na mishahara kwa wafanyakazi na masoko ya uhakika ya wakulima tutapiga hatua kubwa.Kwa Mwendazake tulipigwa mchana kweupe
 
Hali ngumu wapi? Mmesema anatoa ziko wapi sasa? Oh mama mkombozi, mara mama muelewa, oh Mungu kasikia maombiiiii😏😏😏😏😏
 
Tatizo wa TZ ni wavivu sana. Wanapenda mno mteremko. Sasa unataka Mama yetu aanze kugawa hela mitaani? Hilo aliliweza Ghadafi peke yake, maana alikuwa na hela hata hajui azifanyie nini!!
 
Back
Top Bottom