Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Nchi zote duniani zenye chombo kinacho shugulika na usalama wa taifa lazima kitapata wa kukilaumu kwa muda tofauti tofauti kiutendaji.Enyi TISS, sisi raia wema huku mitaani tuna imani Sana na nyinyi,kusema kweli tunawapenda Sana,Sasa Mimi Lee kwa niaba ya Watanzania wema,tunawaomba mumshauri na mhakikishe amepokea ushauri huu mheshimiwa Samiha.
Nawe mama Samiha Rais wetu nakuomba upokee ushauri huu Ili kufanya Tanzania iwe na amani upendo raha furaha na haki,kwani haki huinua Taifa.
Ushauri wangu
Naomba TISS chombo chetu Watanzania,mshaurini Rais Samiha atengeneze taasisi imara ili zilete haki.
Baadhi ya taasisi imara Ni
Mahakama huru,
Bunge huru,
Polisi huru,
TISS huru,
Takukuru huru,
NEC huru,
N.k
Faida ya taassisi huru itamfanya atawale kwa haki,kwa urahisi,kwa raha na bila lawama.
Taasisi huru itawafanya TISS wawe na kazi nyepesi bila lawama kutoka upande wowote.
Polisi hawata onea raia,
Mahakama itaamua kwa Haki,
Bunge litafanya kazi kwa weledi,
Takukuru hawata mwonea mtu,
NEC haitalaumiwa,
TISS haita laumiwa,
Hivyo Mama ataongoza kwa raha bila lawama,yeye atasimamia kuleta maendeleo tu.
Mbali na hayo yote tunaomba Rais Samiha uruhusu katiba pendekezwa ya Jaji Warioba, ambayo wewe Rais ulikua Spika wa Bunge la katiba,tunaomba haya kwa Mustakabali wa Taifa.
Ukiruhusu hayo utatawala ka amani Sana.
Tunaomba Taasisi Imara.
Kwa hiyo Magufuli angeongoza miaka mitano ya mwanzo na upinzani mwaka jana wangechukua nchi hiyo awamu ingekuwa ya ngapi?Siyo awamu ya sita mkuu,Rais wa sita awamu ya tano. Awamu ni miaka kumi
..hao jamaa wako kuilinda CCM na siyo kuilinda Tanzania.Nchi zote duniani zenye chombo kinacho shugulika na usalama wa taifa lazima kitapata wa kukilaumu kwa muda tofauti tofauti kiutendaji.
Kazi kubwa:
Kukusanya taarifa muhimu za kisiasa za mtu, kundi, jamii au taifa na kuchakata.
kukusanya taarifa muhimu za kijamii za mtu, kundi, Jamii au taifa na kuzichakata.
Kukusanya taarifa muhimu za kiuchumi za mtu, kundi, jamii au taifa ziwe za ndani na nje ya nchi na kuzichakata.
Kukusanya taarifa muhimu za Kiusalama, za mtu, kundi, jamii au taifa na kuzichakata na kuhakikisha zinafanyiwa kazi ki uweledi na wote wenye kuhusika.
Na kukusanya taarifa zozote nyingene zitakazo onekana muhima mahala popote na kwa mtu, kundi au jamii yeyote ile ambazo Zita onekana zinazoweza kulisaidia taifa kwa maamuzi yeyote.
Kuhakikisha maslahi ya kitaifa kiujumla yanalindwa na kuchumgwa, ( to promote, preserve and protect national interests.).
Kuhakikisha kuna utabiri sahihi wa matokeo ya baadae ya Kisiasa, kiuchumi, kijamii, ki usalama na mambo yeyote Yale yatakayo lisaidia taifa.
Kuhakikisha kuna hafidhi ya kutosha ya taarifu zote muhimu na zimechakatwa na kufanyika kazi kiuweledi kwa matumizi ya taifa na zipatikane kiurahisi kila zinapo hitajika.
Wawe na uwezo wa ki ushawishi au nguvu za kisheria kupata msaada wa ki utaalamu wa taaluma yeyote ile kutoka kwa wabobozi ndani au nje ya nchi kwa malipo au ridhaa.
Taarifa yeyote ile ikusanywe, ichakatwe na ihifadhiwe kwa uwezo wa juu kabisa wa usahihi wa akili ya binadamu ikibidi kwa msaada wa vyombo vyote vile. Taarifa zisivuje na kutopungua thamani. Zipate uhifadi na ikibidi kuongezewa thamani kwa miaka isiyo pungua miaka 20.
Kwa hiyo lazima kuna sehemu ukizidi kiasi lazima utawakwaa tuu.
Rekebisha ukali na usahihi wa maneno, mfano Magufuli hajafa ial kafariki dunia, Sio Mzee Magufuli bali Marehemu Dk John Joseph Pombe Magufuli NKHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzani haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli kafa, lakini spirit yake haijafa. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu, katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli kafa lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, na kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli haijafa. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60, kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Awe mazalendo wa kweli kwa kuiheshimu Katiba iliyomweka madarakani na asiwe mtu wa kujimwambafai kama marehemu Magufuli,akumbuke sisi sote tutakufa lakini Tanzania itabaki na Watanzania daima.Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzani haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli kafa, lakini spirit yake haijafa. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu, katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli kafa lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, na kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli haijafa. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60, kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
3.afute daraja la kigongo-busisi kwa sababu ya chuki zako zidi ya JPM? hilo halikubaliki kabisa,pesa na muda uliotumika upotee tu hilo daraja Ni la muhimu sana kwa sasa kwani limefuta muda unaopotea hapo feri.mambo yote unayotaka yafutwe nikujitia hasara tu kuyafuta lbd hilo la chato kuwa mkoa.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3.Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4.Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5.Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7.Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8.Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
ambayo haijaanza Ni muhimu tu unapakia mzigo wa Uganda kwenye reli ukifika Dom unashuka halafu unapandishwa tena hasara ya handling itakuwaje? au siyo kitu mradi wakome?Siyo Mzalendo Wewe Mwenyewe
Miradi Mingi Ipo Kwenye Hatua Nzuri
Unaifutaje. Bwawa La Nyerere Lipo Asilimia Hamsini Unalifutaje? SGR Imefika Morogoro
Unaifutaje. Labda Ambayo Haijaanza
WEWE unakopo tu akilihuna.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3.Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4.Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5.Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7.Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8.Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Mkuu kuna kipindi huko nyuma nilikuita takataka nimejidhihirisha sikukosea kabisa mzee wa showoffs[emoji23][emoji23]kila kitu unajuaMama Samia usinisahau Bujibuji kwenye ufalme wako
Umesahau jambo muhimu sana kwa watumishi wa umma, nalo ni kuongeza mishahara na marupurupu kedekedeMh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1.Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2.Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3.Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4.Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5.Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7.Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8.Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Sure yaan...kasepa na yake.Siye tunamwangalia huyu sasaNa cheo kimeshaondoka kabla hata ya kuzikwa
Ni mda wa kumuacha, mh rais mpya ,Mambo ya spirit sijui za nani ,tz haijaanza leo, yapo nahitaji mengi ya kitaifa moja ikiwa mshikamano,katiba mpya, mishahara ya watumishi wa uma, Uhuru wa vyombo vya habari, n.kHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo