Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Fikiria kuua mtu ili utatue mgogoro wa ardhi, fikiria kuua na kutesa ili chama chako kishinde, fikiria kuvamia maeneo ya kiutawala yasiyo ndani ya mamlaka yako, fikiria kufilisi wafanyabiashara kwa kuwapora mali zao kimafya kisa wanaamini itikadi tofauti na yako! Ukimaliza kutafakari hayo naamini utafuta huu uzi nzi ulioandika
 
Safi sana. Umejitahidi kufikisha ujumbe vizuri sana. Huu ndio ukweli mtupu juu ya issue ya Sabaya. Naamini hata watu wazima wanajua hiki kitu. Wachagga wanataka tu mchagga mwenzao ndio awe kiongozi katika wilaya za Kilimanjaro isipokuwa Same na Mwanga. Hata Mollel wanajitahidi sana kukuza weakness zake kisa tu amekuwa mbunge wa Siha ambayo kimsingi ni 60% wamasai na wana haki ya kutoa mwakilishi.
Wachagga wao wanataka wakija wilaya za Meru, Arusha vij, Arusha mj, Monduli, Longido, Karatu, Babati wawe viongozi lkn hawataki watu wawe viongozi katika wilaya zao.
 
Wachagga wanatakiwa kujua kabisa kwamba we can now read between the lines. Waaijifanye wao tu ndio wajanja. Na mbegu wanayopanda ni mbaya sana na wao watakuwa sehemu ya maumivu. Wakubali kuongozwa pale inapotokea na wakubali kushindwa pale wanaposhindwa. Wasitumie pesa na elimu kwa udhalimu.
 
Kazi ya kutafuta wakwepa Kodi inafanywa na mkuu wa wilaya au TRA

Mama sijajua kama anawajua vizuri...wanaukabila wa kishamba sana..tena uliopitwa na wakti
 
Dunia haiishiwi vitimbi usikute mleta mada ndio lengai mwenyewe
 
Umelipwa bei gani ?
 
Huyu muhuni aliyepiga misumari ya nchi nne mwenye ugoko wa watu....sheria na ichukue mkondo wake!! Mwizi & jambazi mkubwa!!

Mama Samia endelea na kazi yako ya kutumikia watanzania ....vyombo vyako vyatosha kuhangaika na hawa wahuni wachache!!
 
Mkuu, eti kuna wajinga wanamtishia Rais wa nchi..pambaf sana hawa!!

Katiba hii tuliyonayo mtu akishaapiswa juwa Rais kaa kimya kunguru nyie...
 
Rais ni wa waote sio wa CCM. Amebeba jukumu la kutenda haki kisheria kwa waTz wote bila ya kujali itikadi za kivyama au kibara au kisiwani ni Rais wa wote atende haki ionekane aikatae batili ionekane.

Madai yanayowakilishwa na kupigiwa kelele na vyama vya upinzani ayapime na kuyatolea angalizo ili kazi iendelee.
 
Tafadhali. Acha siasa za kukurupuka. Akijibu kwa kukurupuka majibu huwa mabaya sana.

Siasa wakati mwingine ni sayasnsi. Fanya tathmini angalia wapi mwenzako ni dhaifu anza napo hapohapo.
 
Tangu Samia aingilie madarakani, wanyonge wamekuwa wakipaza sauti zao kila kona ya nchi wakiomba msaada kutoka kwa Rais Samia Suluhu lakini sijawahi sikia wanyonge hao wakisaidiwa chochote kutoka kwa rais huyu

Ni kawaida kwa watanzania hususani wa hali ya chini machinga, walipakodi, wachimbaji wafogo wa madini, wajane na makundi mengine mengi wamekuwa wakimuomba rais awasaidie katika mambo mbalimbali yanayowasibu bila majibu

Rais teyari amekwishaanza kushughulika na kero za baadhi ya makundi nchini kama wazee na matajiri, lakini sijasikia popote akiteta kuhusu wanyonge
 
Samia Suluhu Hassan siyo Rais wa Wanyonge na Hajawahi kujipambanu hivyo katika hotuba zake sijawahi kusikia neno wanyonge/mabeberu.
 
Ujikiriavyo ndo unavyokuwa! Watanzania wamekataa kuitwa wanyonge!!

Na Rais Samia anaitaka Tanzania ya watu wasio jiita wanyonge! Acha kujiita mnyonge, wee ni siyo mnyonge!
 
Samia Suluhu Hassan siyo Rais wa Wanyonge na Hajawahi kujipambanu hivyo katika hotuba zake sijawahi kusikia neno wanyonge/mabeberu.

Wanyonge waliondoka na yule jamaa alietaka kutumia hiyo slogan kuwashika wapumbavu waamini yupo upande wao wakati mwenzo anawatumia kujinufaisha kwa ujinga wao
 

Hatutaki taifa la wonyonge hilo la mnyonge lishazikwa na mwendazake tumia kile kitu chako halali kujikwamua kutoka kimaisha hamna mtu wa kukupa utajir au unafuu wa maisha kama huwez kupambana mwenyewe

Usipojiongoza utaongozwa na kuitwa mnyonge
 
Alishawaagiza wasaidizi wake wayamalize matatizo ya kwenye maeneo yao, yeye atahangaika na mambo ya kitaifa na kimataifa.
Kwani mawaziri, wakurugenzi, wakurugenzi wa mikoa hawatatui hizo kero ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…