Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ikiwa hao unsowaita genge au kikundi cha watu wachache ni wachafu, haimaanishi wasichukuliwe hatua lakini pia haimuondolei huyo jamaa tuhuma na dhuluma alizofanya.

Sisi tunachotaka haki itendeke na kilavmmoja apokee ujira wa kazi yake.
nilichojifunza katika utumishi. unaweza kuqa the best ofisini kiasi kwamba ofice ikaona bila ww mambo hayaendi, lakin kitakacho kuharibia sifa kama hizo ni kiburi,jeuri, dharau.. kiujumla weakness zako.

lazima ujue ku balance btn work efficient yako na tabia zako. otherwise tabia zako zita overshadow your performance kiasi kwamba utashangaa unafanya kazi kwa bidii lakin unaonekana hamna kitu.
 
Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Good observation
 
Hahaaaa!!!yaani DC anakwenda kwenye kiwanda anakifunga kuwa eti hakijasajiriwa, baada ya muda zinajitokeza taasisi husika na mambo hayo hadharani na kusema yule mfanya biashara ana vibali vyote na kodi zote za serikali analipa kama kawaida!!hapo nani mjinga?
 
Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Kwa sasa,urais ni taasisi.
Subiri uchunguzi ukamilike.
 
Punguani wahed
 
Nachoona unatafutabnamna ya kumsafisha ndio maana unang'ata huku unapuliza Yani umeandika as if humu hadhira yako ni mataahira.

Ameondolewa kazini sababu ya tuhuma mbalimbali ikiwemo kukiuka miiko ya kazi, hii ni sababu yosha kwa yeye kutimuliwa huwa haijalishi umetenda mangapi mazuri inapotokea kosa moja umelitenda.

Ataadhibiwa kwa kosa sio kwa mazuri maana tulimtarajia atende mazuri na adhabu zipo kwa wakosaji tu so nakutakia heri na fanaka kwenye kuamini ukweli kwamba your guy is as good as dead.

Instead ya kuendelea kutapatapa namna hii, afikirie namna ya kuingia ulingoni 2025 maana kwa sasa hatarudi kabisa kwenye ukuu wa wilaya na kwenye chama nafasi zinazidi kuzibwa heri ajikite huko ili awe relevant by 2025 akapambane na kina Nassari kule arumeru kama ataweza.
 
Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Ukiiona report ya TISS wenzake hutaamini bora uachane nae....aneharibu big time hasafishiki bora utafute cha kufanya...huyo aombe tu asipandishwe court akiwa free aende zake Kenya 3 yrs akirudi ale hela haramu alizochuma......afunge mdomo milele
 
Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Huyu sabaya ni mtu wa kurudishwa kazini mara moja. Mama akimtema atatuthibitishia mashaka yetu kwamba yeye na magufuli sio kitu kimoja. Vitendo ndio muhimu sio kauli.
 
Hjaona clip nyingine zaidi ya hizo?
Kama wewe sii Sabaya, basi wewe ni mmoja kati ya majbazi wenzake.
 
We ni mjinga na ujinga sio tusi
 
Sabaya ni mfano mzuri sana wa uongozi mbaya.
Hana uadilifu na sii wakuigwa na jamii ya wapenda haki. Hivyo tu.
 
Jiwe alikuwa anasema anajua siri zote kwenye nchi, amini hata huyu aliyepo anajua kila kitu.
 
Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.

Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.

Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.

Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?

Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...

Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.

Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.

Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..

Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.

Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.

Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
K. Mako wewe ulitaka mpaka akufir..... Ndio ujue hafai
 
Kazi ya kutafuta wakwepa Kodi inafanywa na mkuu wa wilaya au TRA
 
Back
Top Bottom