Ahsante kwa kuuona ukweli.Upo sahihi mtoa mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa kuuona ukweli.Upo sahihi mtoa mada
Ndiyo maana nimesema unakunywa gongo, kwani hujui likitolewa tamko kuzuia mwenge kwa sababu ya mikusanyiko,tamko hilo litaenda sambamba na zuio la shughuli nyinginezo zinazohusisha mikusanyiko mikubwa.Sijui huko shuleni mlienda kusomea nini.
Umenena vyema sana, siyo rahisi namna hiyo kufanya hayo.hawezi kufanya hayo maana itakuwa mwisho wa CCM
Hana kichaaUmenena vyema sana, siyo rahisi namna hiyo kufanya hayo.
kamsalimie yule shetani wa chato anaoza hukoLissu mabeberu hawajambo huko?
utarudi lini maana mwendazake hutanaye tena.Unamsifia mama ili utimize ndoto zako? Ni ngumu kaka sawa na kuulazisha mkia wa mbwa kunyoka,maana hayo umeandika ni matashi ya wanasiasa siyo ya wananchi wa kawaida.
Kimeumanakamsalimie yule shetani wa chato anaoza huko
Bahati mbaya hakuna mwanadamu mwenye jina la shetani au cheo cha shetani. Hapo siyokamsalimie yule shetani wa chato anaoza huko
shetani sio mtu ni matendo yake. anaoza huko chattleBaha
Bahati mbaya hakuna mwanadamu mwenye jina la shetani au cheo cha shetani. Hapo siyo
hapo bado siyo kwelishetani sio mtu ni matendo yake. anaoza huko chattle
Naona huwajui vizuri hao wachina na wazungu. Hujui tamaduni zao. Hujui mila zao mbali na sayansi unayoisema. Hivi unajua tamaduni zetu walikujazeni kuwa ni upuuzi.Taifa kuwa na tamaduni siyo kosa,tatizo ni kuenzi tamaduni za kijinga. Yaani wewe unaona mbio za mwenge ndiyo utamaduni wa kuuenzi.Alafu hao wazungu,wachina unaowatolea mfano ya kwamba wanaenzi tamaduni zao,huwezi kuta wanaenzi vitu vya kipuuzi.Mzungu,mchina siku zote wanaenzi sayansi,na ndicho kilicholeta mapinduzi kwenye mataifa yao.