Afande Tanzania
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 460
- 1,169
Sabaya ni jambazi na muhalifu mkubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande unafanya kazi ya Hakimu mapema namna hii.Sabaya ni jambazi na muhalifu mkubwa!
hapo ndio kwenye hoja, huko kwingine kote umepuyanga.naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake
Kwa hiyo umeibeba dhamana ya utetezi wake.Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa mtanzamaji na msomaji sana katika hili swala la Ole Sabaya. Baada ya kuona mashambulizi yanakuwa makubwa..nikaona nilifanyie utafiti na kujiuliza maswali ya msingi.
Ni kweli kuna maneno mengi sana yameongelea kuhusiana na Sabaya ila katika hizi tuhuma tuziangalie kwa mapana na kujiuliza maswali ya msingi.
Binafsi nimeshaona clips nyingi Ole Sabaya akiwasaka wafanyabiashara wanaibia serikali serikali na kwa kukwepa kodi..mkwepa kodi ni sawa na mwizi kama mwizi mwingine..katika nchi za ulaya ni anapewa adhabu kubwa sana.
Pia nilishaona clips mbalimbali akitatua migogoro ya ardhi jambo ambalo limeleta suluhu kwa wananchi walionyima haki yao kwa muda mrefu...nimeona clip nyingi sana...sasa swali la msingi la kijiuliza... kati ya Sabaya na hao wafanya biashara wanaokwepa kodi na Jambazi..?
Ninachokiona hapa kuna hoja za chuki dhidi ya huyu bwana zenye elements za kisiasa na ukabila...
Ukirejea clips ya Lema na Sabaya kuna kitu cha kujifunza wakati Lema anasema community ya kichagga..kwenye hiyo sentence kuna vitu vya kujifunza.
Harakati ambazo zilikuwa zikiendelea mitandao dhidi ya Sabaya ni harakati za kumuondoa hai kwasababu amekuwa mwanga na mtu jasiri dhidi watu wachache wenye nguvu katika ile jamiii walikuwa mungu watu dhidi ya watu wanyonge.
Lakini pia embu tujaribu kuchukua sample ya watu wanaorusha sana tuhuma dhidi ya Sabaya utakuta ni watu wenye idiology moja kisiasa au utakuta ni kabila moja..
Hata hao wanaorusha tuhuma sio wasafi sana katika uongozi wao ni watu waajanja wajanja.
Namshauri mama na Rais wangu Samia aangalie hili swala kwa mapana yake...kunakikundi cha watu wenye interest naona wanafanikiwa kummanipulate mama kwa interest za kikabila na za kisiasa.
Pia naamini Sabaya hakuwa msafi katika uongozi wake ila naona exaggeration kwenye tuhuma zake.
Ndio maana anachunguzwa kwahiyo asiwe na hofu. Matokeo ya uchunguzi hayajatoka.Hapo vip!!

Hapo vip!!

Hukumjua na humjui vyema Sabaya! Yeye no Kati ya viongozi vijana ( chawa) waliofanikiwa kuifanya uchawa wao kupora, kutesa na kutoa rushwa kwa wanausalama ili wasiwachukulie hatua za kinidhamu!Hapo vip!!

Wewe pimbi nyamaza. Huelewi ni kwa kiasi gani hiyo takataka ilivyotunyanyasa kisa cheo.Hapo vip!!

kwann hayo majizi hayapelekwi polisi?
Najilaumu Kwanini nimepoteza muda kusoma post ya kipuuzi hii?!!,Post inamtetea Sabaya mjini,jambazi,jinga kabisa.Hapo vip!!

Kweli kabisa mkuuSabaya ni jambazi na muhalifu mkubwa!
Si ndo hapo?!!!.Huyu pimbi mtoa uzi amenikera balaa.Kama Sabaya alikuwa DC wa Hai (Kilimanjaro) je Arusha alikuwa anakwenda kufanya nn? Je lilikuwa eneo lake la utawala?
Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app