Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wadanganyika mkisikia Rais wawanyonge ndiyo mnajisikia raha sana, hasa mkiambiwa hela zipooo! hata kama hazipo ndiyo furaha yenu. Rais ni wawote wawe wanyonge majizi,matajiri wavuta bangi na wengine unao wajua muachane afanye kazi 'She is on the right track'Tangu Samia aingilie madarakani, wanyonge wamekuwa wakipaza sauti zao kila kona ya nchi wakiomba msaada kutoka kwa Rais Samia Suluhu lakini sijawahi sikia wanyonge hao wakisaidiwa chochote kutoka kwa rais huyu
Ni kawaida kwa watanzania hususani wa hali ya chini machinga, walipakodi, wachimbaji wafogo wa madini, wajane na makundi mengine mengi wamekuwa wakimuomba rais awasaidie katika mambo mbalimbali yanayowasibu bila majibu
Rais teyari amekwishaanza kushughulika na kero za baadhi ya makundi nchini kama wazee na matajiri, lakini sijasikia popote akiteta kuhusu wanyonge