Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Tangu Samia aingilie madarakani, wanyonge wamekuwa wakipaza sauti zao kila kona ya nchi wakiomba msaada kutoka kwa Rais Samia Suluhu lakini sijawahi sikia wanyonge hao wakisaidiwa chochote kutoka kwa rais huyu

Ni kawaida kwa watanzania hususani wa hali ya chini machinga, walipakodi, wachimbaji wafogo wa madini, wajane na makundi mengine mengi wamekuwa wakimuomba rais awasaidie katika mambo mbalimbali yanayowasibu bila majibu

Rais teyari amekwishaanza kushughulika na kero za baadhi ya makundi nchini kama wazee na matajiri, lakini sijasikia popote akiteta kuhusu wanyonge
Wadanganyika mkisikia Rais wawanyonge ndiyo mnajisikia raha sana, hasa mkiambiwa hela zipooo! hata kama hazipo ndiyo furaha yenu. Rais ni wawote wawe wanyonge majizi,matajiri wavuta bangi na wengine unao wajua muachane afanye kazi 'She is on the right track'
 
Tangu Samia aingilie madarakani, wanyonge wamekuwa wakipaza sauti zao kila kona ya nchi wakiomba msaada kutoka kwa Rais Samia Suluhu lakini sijawahi sikia wanyonge hao wakisaidiwa chochote kutoka kwa rais huyu

Ni kawaida kwa watanzania hususani wa hali ya chini machinga, walipakodi, wachimbaji wafogo wa madini, wajane na makundi mengine mengi wamekuwa wakimuomba rais awasaidie katika mambo mbalimbali yanayowasibu bila majibu

Rais teyari amekwishaanza kushughulika na kero za baadhi ya makundi nchini kama wazee na matajiri, lakini sijasikia popote akiteta kuhusu wanyonge

Huyu raisi navyomuona ndie raisi wa wanyonge haswaa, na kukaa kwake kimya bila kutaja neno "wanyonge kadamnasi" sio kwamba amewasahau wanyonge, laa hasha! mama anafanya kazi kwa vitendo na si kujimwambafai.. ..tumpe muda!

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Kauri yako ya kutokudai Kodi kwa nguvu, maccm wezako hawakukuelewa!!Jana imetokea tafrani hapa Nyegezi kona.

Kuna Bwana mmoja amepanga kwenye majengo ya ccm hapa Nyegezi kona, na ana hospital yake hapa inayoitwa Gisan.
Huyu mmiliki wa hospital walipishana kidogo na viogonzi wa ccm.

Cha ajabu wamekuja kumfungia hospital wakati Kuna wangonjwa wanahitaji huduma!! ccm wameshindwa kabisa kuongozwa na busara! Wameamua kufunga hospital!!
Jamani kuweni na utu cheo ni dhamana tu!!
 
Mkuu, Sababu ya kumfungia ni nini?
 
Acha mikwara wewe, mama Samia ndiye amiri jeshi mkuu sasa hivi, na ataongoza nchi kadri kwa style yake sio lazima amuige Magufuli, Magufuli ameshakufa.

Magufuli ali reverse vitu vingi vya Kikwete tu alivyoona havipo sawa, Mwinyi pia ali reverse vingi vya Nyerere ambavyo aliamini havipo sawa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete n.k
Samia alikuwa makamu kwahiyo walipanga pamoja. Hana sababu ya kureverse wakati naye alipanganae.
 
Mama yetu Rais wetu kipenzi cha watanzania nimeridhika kuwa kwa 99.9% unakubaliana sana na sera za mtangulizi wako sema tu hapa katikati walitaka wakuvuruge ila najua umeujua ugumu wa Urais maana wewe ndiye umekabidhiwa rungu najua huwezi kuwa kama Magufuli kwa Mtazamo wa nje lkn moyo wako woote umejawa na mwangwi wa sauti ya Magufuli inayokukumbusha mambo mema uliyowahi kuelekezwa na Magufuli

Mama Samia tuko million 70+ huwezi kumfurahisha kila mtu wasaidie watanzania hasa hawa masikini wanakutegemea sana

mama Samia umenifurahisha unavyomuenzi Hayati Magufuli haujaharibu chochote tofauti na marekebisho madogo madogo kutokana na huruka ya binadamu

Mama Samia umenikosha nia yako ya kuanzisha mkoa mpya wa CHATO mm binafsi ninakuahidi nitakuwa miongoni mwa wawekezaji wakubwa ndani ya mkoa wa Chato
 
Mama Samia umenikosha nia yako ya kuanzisha mkoa mpya wa CHATO
Mkuu usimlishe maneno mama yetu. Lini katamka kuwa ana nia ya kuanzisha mkoa wa Chato?

Kabla ya kuqnzisha mkoa wa Chato aqnzishe kwanza mikoa ifuatayo:
- mkoa wa Lupaso
-mkoa wa Butiama
-mkoa wa Mkuranga.

Vinginevyo Chato msahau. Nasema uwongo ndugu zangu?
 
Mama yetu Rais wetu kipenzi cha watanzania nimeridhika kuwa kwa 99.9% unakubaliana sana na sera za mtangulizi wako sema tu hapa katikati walitaka wakuvuruge ila najua umeujua ugumu wa Urais maana wewe ndiye umekabidhiwa rungu najua huwezi kuwa kama Magufuli kwa Mtazamo wa nje lkn moyo wako woote umejawa na mwangwi wa sauti ya Magufuli inayokukumbusha mambo mema uliyowahi kuelekezwa na Magufuli

Mama Samia tuko million 70+ huwezi kumfurahisha kila mtu wasaidie watanzania hasa hawa masikini wanakutegemea sana

mama Samia umenifurahisha unavyomuenzi Hayati Magufuli haujaharibu chochote tofauti na marekebisho madogo madogo kutokana na huruka ya binadamu

Mama Samia umenikosha nia yako ya kuanzisha mkoa mpya wa CHATO mm binafsi ninakuahidi nitakuwa miongoni mwa wawekezaji wakubwa ndani ya mkoa wa Chato
Mimi nakaa kimya
 
Chuki itakuua MWAYEGO....
Ona anakula raha huku
IMG-20210528-WA0006.jpg
 
Una uwezo wa kuwekeza bilioni 300 ila unashinda humu kuanzisha nyuzi bandika bandua?

Hakuna bilionea wa hivyo. Labda ungesema ukahustle kubembeleza wawekezaji ila wewe? Haitawezekana
 
Niwasalimu kwa Jina la JAMHURI.

Naomba nianze mapema pasipo kupoteza muda,

Tatizo la Umeme linaanza kushika hatamu taratibu kabisa Rais Mtukufu yupo kimya watendaji husika wapo kimya nikimaanisha waziri pamoj na wizara nzima pia mkurugenzi wa shirika la Tanesco.

Saivi kukata umeme weekend imeanza kurudi ka zamani kukatika siku za kawaida nayo imerudi.

Mama samia kua makini hii kero tulianza kuisahau vile lakini naona kama inarudi hivi usipoangalia hili litakua shirika namba moja kukutia dosari naamini we ni msikivu sana nahisi ushaliona tunaomba ulifanyie ufumbuzi mapema watanzania tuendelee kujenga uchumi wetu wa kati.

FINITO
 
Back
Top Bottom