Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Tunaomba kukusikiliza na kufanyia kazi taarifa zako tafadhali tujulishe ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Tuwangojee TAKUKURU watoe Taarifa Yao
 
Tuwangojee TAKUKURU watoe Taarifa Yao
 
Kama ni wakati wa kupambana na hali zetu watanzania basi ni sasa.

Mkuu wa nchi amekiri wazi kuwa hana macho ya kuona madhaifu ya viongozi aliowateua kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.

Amekiri yeye hana muda wa kufika na kutembelea site na kisha kuona kama mafundi wamemdanganya.

Hivyo ameawaachia wakuu wa mikoa na makatibu tawaala mikoa wamsaidiae.

Sasa kama hawa wakuu wa mikoa na makatibu tawala walikuwa wanaumbuka kwa fyongo walizokuwa wakifanya huku mtangulizi wake alikuwa na macho makali kuwakagua. Vipi kwa mama Samia ambae amekiri wazi kuwa hana uwezo wa kubaini madhaifu yao?
 
Kama ni suala la maoni ushauri na pongezi,na mapendekezo ,Mimi binafsi sijawahi kikuamini na penguine haita tokea kutokana na mrengo wako ninao ufahamu siku zote.
 
Natoa ushauri kwa Rais wa awamu ya sita Mhe SSH kuachana na utaratibu huu mbaya uliobuniwa na mwendazake wa kulihutubia taifa kila anapowaapisha viongozi.

Nini madhara yake?
Frequency ya kulihutubia taifa inakuwa kubwa mpk mhe rais atafika mahala ataanza kuongea petty issues.

Rais SSH ajiwekee utaratibu wake wa kutoa hotuba kwa taifa. Aweza kupanga kulihutubia taifa kila mwezi, kila baada ya miezi 2 ama 3. Mkapa aliweza, na SSH ataweza tu.

Hata anapowaapisha hakuna haja ya kulifanya tukio hilo kuwa live (mubashara). Nyerere, Mwinyi sr, Mkapa na Kikwete hawakufanya utopolo huu wa kuwaapisha viongozi.mubashara.

Bunge ndiyo tunataka liwe mubashara.

Nchi ni yetu sote.
 
Kumbuka mama chama chetu kinawashabiki wengi ni wamachinga na bodaboda.

Hata mamluki Lowassa alipata kura nyingi zetu wamachinga na bodaboda.

Chama chetu kimeleta biashara kwenye kadi wakati hatuna pesa. Ili kutusaidia ruhusu mzunguko wa pesa na tuweze kununua kadi kwa sh 2500.
 
Katika watu wapumbavu wasio na point ni wewe sijui kuna mtu anakununulia bando au ni pesa zako, yani kila siku ni kuandika uharo tu, aibu yako.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Si ushauri mzuri. Mimi sikubaliani nawe..

Awe anahutubia wakati wowote anaoona yeye mwenyewe inafaa na hususani kama ana jambo la kusema...

Nionavyo mimi ni kuwa, ipo kasoro kubwa ya hotuba zake nyingi, ya kusema baadhi ya mambo ambayo hapaswi kuyasema hadharani mbele ya subordinates wake...

Mfano leo ktk hotuba yake kwa ma - RAS na RC amesema kitu ambacho kina- expose udhaifu wake na walio chini yake wanaweza kuutumia kumwingiza mkenge ktk baadhi ya maeneo ktk utawala wake...

Alisema "....baadhi yenu (aliowateua) siwajui vizuri, lakini nitaendelea kuwaelewa kidogo kidogo..."

This is untimely statement and it was absolutely not required to be said there in public like that even if it is true..!!

Hii inatupa maswali sana sisi huku nje. Maana kama humjui vizuri mtu uliyemteua wewe mwenyewe na kumpa jukumu nyeti la uRC au uRAS au Uwaziri nk, ikawaje ukamteua...??

Tukumbuke kuwa wengi wa maRC au RAS wanaongoza mikoa mikubwa yenye wakazi (population) wengi na rasrimali nyingi kuliko idadi ya watu wote ambao Rais wa nchi ya Zanzibar yote anaowaongoza...!

Huwezi kulinganisha mathalani mkoa wa DSM, Mwanza, Arusha, Mbeya nk na nchi ya Zanzibar yote kwa idadi ya watu na rasrimali zilizopo ktk kila mikoa hii...

Nasema hivi kwa sababu, RC au RAS ni mtu muhimu na mwenye wajibu na jukumu nyeti na kubwa sana ktk utawala wa nchi hii. Uteuzi wao lazima uwe very carefully scrutinized...

Sasa Rais kukiri hadharani hawajui kwa undani baadhi ya wateule wake hawa inatia shaka kidogo...

Tuandike na kumshauri kuhusu hili...
 
Ndugu mteja,
Pole sana kwa changamoto unaopata. Je tunaweza kujua eneo lako, wilaya na mkoa wako kwa ajilinya ufuatiliaji. Pia tutashukuru sana kupata mrejesho
Binafsi nimetokea kulichukia hili shirika ,,,kutokana na watendaji wake,,Tarehe 20Apr2021,,nilinunua umeme kwa njia ya Nmb mobile nakupa token ,,kutokana na kiwango cha fedha yangu,,,niliingiza Token nilizopewa ,,,lakn haikuaccept karibu kwa muda wa siku nzima,,,maandishi yaliyokuwa yanajitokeza ni Error 77,,,ndipo nikawapigia TANESCO Emergency,,Chanika nao wakanifungulia TB,,,(Taarifa binafsi)tarehe 26Apr2021,,,wakaja mafundi na hapo ni baada ya kupiga simu sana,wakaniambia kile kiremote nikipeleke Chanika TANESCO,,nitapewa maelekezo huko,Trh27 Apr 2021 nikaenda nikaonana na customer care wakanieleza niingie ofisi ya Engineer.akakiona na kunipeleka kwa muhasiba ,,,eti nilipie 133,097/= kwa kuwa kirimoti kimeharibika ,,,,sikuwa na hiyana ,,nikapewa control number ,,na kulipia kiwango hicho,,,,,,baada ya kulipia nikawapelekea risit,,na kuambia system imeonyesha nimeshalipia hivo nisubiri ndani ya wki moja TANESCO watakuja kuondoa metre ya zamani na kuweka mpya maana ile ya hakuna rimot mbadala,,,.nimesubir toka kipnd hicho cha wiki moja kimeisha,,hakuna fund aliyekuja ,,,nimepiga simu mpaka nimechoka jibu nalopewa TANESCO Emergency,,,wapo njiani watanipitia,,,,Trh 24May nikafunga safar had TANESCO kuwauliza kulikoni mbona sihudumiwi,,,nikaambiwa ,,,nifungue Taarifa upya ,,,maana Hawana metre mpya kuja kunifungia,,hivyo watakuja kukata mfuniko wa metre ya zamani nami nitapata huduma ,,,ivo ndani ya masaa24 watakuwa wamenifikia,,masaaa 24 yamepita hamna huduma ,,nimepiga simu emergency majibu yao ni hayo hayo,,nimewasiliana na Boss wao anaitwa salvatory majibu yake ni yale yale eti watakuja ,,wanataarifa zangu,,jana tarehe 1jun napigiwa simu saa moja jioni,,na emergency ,,niwaelekeze kwangu mewaelekeza lakn hawakutokea,,,nimewapigia simu.kuwauliza kulikoni ,,,,naletewa tu ngonjera,,,,kiukwel ,,nimetokea kuwachukia mno,,.tukichukua hatua za kuwambia viongozi ngazi za juu mtaona tunawachongea,,,,naomba shirika chukueni hatua kwa watendaji hawa ambao wanalitia madoa shirika,,,waziri wa nishati naomba liangalie hilo swala kwa umakini,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…