Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Badilisheni mameneja hawa waliopo wanafanya kazi kwa mazoea sn
 
Tatizo ni nin na namba yako ya simu tafadhali
Asante sn kwa ushirikiano ambao umenionyesha hapa nadhani mtanipa ushirikiano zaidi nikipiga simu mkuu, natamani nipate no yako direct badala ya hii ambayo inatumika na watu wengi. Asante sn mkuu
 
Asante sn kwa ushirikiano ambao umenionyesha hapa nadhani mtanipa ushirikiano zaidi nikipiga simu mkuu, natamani nipate no yako direct badala ya hii ambayo inatumika na watu wengi. Asante sn mkuu
Tumekufata inbox tafadhali
 
Niwasalimu kwa Jina la JAMHURI.

Naomba nianze mapema pasipo kupoteza muda,

Tatizo la Umeme linaanza kushika hatamu taratibu kabisa Rais Mtukufu yupo kimya watendaji husika wapo kimya nikimaanisha waziri pamoj na wizara nzima pia mkurugenzi wa shirika la Tanesco.

Saivi kukata umeme weekend imeanza kurudi ka zamani kukatika siku za kawaida nayo imerudi.

Mama samia kua makini hii kero tulianza kuisahau vile lakini naona kama inarudi hivi usipoangalia hili litakua shirika namba moja kukutia dosari naamini we ni msikivu sana nahisi ushaliona tunaomba ulifanyie ufumbuzi mapema watanzania tuendelee kujenga uchumi wetu wa kati.

FINITO
UDART, hapa ndio CCM ilikuwa imefanya shamba la bibi, sasa mchezo ni ule ule.

#selekale ya wanyoonge, shubaaamit zao
 
Tatizo linalohusu mita mbona hadi tuende kwenye ofisi za Tanesco maeneo tuliyopo, nakumbuka kipindi cha nyuma mlikua mnatoa msaada. Mfano kutoa namba za kuondoa temper, unakuta mtu kapata tatizo weekend anabaki gizani hadi jumatatu ifike ili mhasibu wa ofisi ya wilaya husika afike na kutoa hiyo huduma
 
Tatizo linalohusu mita mbona hadi tuende kwenye ofisi za Tanesco maeneo tuliyopo, nakumbuka kipindi cha nyuma mlikua mnatoa msaada. Mfano kutoa namba za kuondoa temper, unakuta mtu kapata tatizo weekend anabaki gizani hadi jumatatu ifike ili mhasibu wa ofisi ya wilaya husika afike na kutoa hiyo huduma
Temper ni tatizo ambalo lazima fundi afike kudhibitisha chanzo chake mwa kuwa kinaweza kuwa wizi wa umeme au mita yenyewe ikatemper au tatizo la kiufundi
 
Temper ni tatizo ambalo lazima fundi afike kudhibitisha chanzo chake mwa kuwa kinaweza kuwa wizi wa umeme au mita yenyewe ikatemper au tatizo la kiufundi
Mbona huwa hawafiki wanatoa namba, mita iliyopo kwenye nguzo inaibiwaje umeme?
 
Binafsi nimetokea kulichukia hili shirika ,,,kutokana na watendaji wake,,Tarehe 20Apr2021,,nilinunua umeme kwa njia ya Nmb mobile nakupa token ,,kutokana na kiwango cha fedha yangu,,,niliingiza Token nilizopewa ,,,lakn haikuaccept karibu kwa muda wa siku nzima,,,maandishi yaliyokuwa yanajitokeza ni Error 77,,,ndipo nikawapigia TANESCO Emergency,,Chanika nao wakanifungulia TB,,,(Taarifa binafsi)tarehe 26Apr2021,,,wakaja mafundi na hapo ni baada ya kupiga simu sana,wakaniambia kile kiremote nikipeleke Chanika TANESCO,,nitapewa maelekezo huko,Trh27 Apr 2021 nikaenda nikaonana na customer care wakanieleza niingie ofisi ya Engineer.akakiona na kunipeleka kwa muhasiba ,,,eti nilipie 133,097/= kwa kuwa kirimoti kimeharibika ,,,,sikuwa na hiyana ,,nikapewa control number ,,na kulipia kiwango hicho,,,,,,baada ya kulipia nikawapelekea risit,,na kuambia system imeonyesha nimeshalipia hivo nisubiri ndani ya wki moja TANESCO watakuja kuondoa metre ya zamani na kuweka mpya maana ile ya hakuna rimot mbadala,,,.nimesubir toka kipnd hicho cha wiki moja kimeisha,,hakuna fund aliyekuja ,,,nimepiga simu mpaka nimechoka jibu nalopewa TANESCO Emergency,,,wapo njiani watanipitia,,,,Trh 24May nikafunga safar had TANESCO kuwauliza kulikoni mbona sihudumiwi,,,nikaambiwa ,,,nifungue Taarifa upya ,,,maana Hawana metre mpya kuja kunifungia,,hivyo watakuja kukata mfuniko wa metre ya zamani nami nitapata huduma ,,,ivo ndani ya masaa24 watakuwa wamenifikia,,masaaa 24 yamepita hamna huduma ,,nimepiga simu emergency majibu yao ni hayo hayo,,nimewasiliana na Boss wao anaitwa salvatory majibu yake ni yale yale eti watakuja ,,wanataarifa zangu,,jana tarehe 1jun napigiwa simu saa moja jioni,,na emergency ,,niwaelekeze kwangu mewaelekeza lakn hawakutokea,,,nimewapigia simu.kuwauliza kulikoni ,,,,naletewa tu ngonjera,,,,kiukwel ,,nimetokea kuwachukia mno,,.tukichukua hatua za kuwambia viongozi ngazi za juu mtaona tunawachongea,,,,naomba shirika chukueni hatua kwa watendaji hawa ambao wanalitia madoa shirika,,,waziri wa nishati naomba liangalie hilo swala kwa umakini,,
Huyu Tanesco anayejitokeza humu ajibu hoja.
Wababaishaji sana
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Boga
 
Tunaomba kukusikiliza na kufanyia kazi taarifa zako tafadhali tujulishe ni eneo gani? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
Nyie kwenye thread yenu tumewapa taarifa nyingi tu...lakini hakuna feedback..
 
Kumbuka mama chama chetu kinawashabiki wengi ni wamachinga na bodaboda.

Hata mamluki Lowassa alipata kura nyingi zetu wamachinga na bodaboda.

Chama chetu kimeleta biashara kwenye kadi wakati hatuna pesa. Ili kutusaidia ruhusu mzunguko wa pesa na tuweze kununua kadi kwa sh 2500.
Kamanda uliyechoka,ujenzi wa chama hufanywa na wanachama wenyewe,na wenye moyo na wapenda haki na uhuru wa kweli.Na sii mamluki.
 
Ndugu mteja,
Pole sana kwa changamoto unaopata. Je tunaweza kujua eneo lako, wilaya na mkoa wako kwa ajilinya ufuatiliaji. Pia tutashukuru sana kupata mrejesho
Mmefanya vema kuja kusikiliza kero hapa na mjitahidi mzifanyie kazi
Huku Kigamboni kila siku lazima Umeme ukatwe
 
Back
Top Bottom