Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hata nchi ziliendelea na kustaarabika wanawabana wafanyabiashara sio kuwabembeleza. Hakuna mfanyabiashara wa kiafrika atakuwa proud kulipa kodi kwa hiyari never. Kujifanya mwema na mjanja wa mjini ...ni swala la muda tu majibu yapo mkononi.
Boss, vp mzee naona PM hujibu kabisa
 
Hivi kwa mfano ukipewa nafasi ya kuzungumza na mama samia leo utamshauri nini kuhusu suala la kuzuia na kupambana na rushwa japokuwa sheria zipo na taasisi inayoshughulikia maswala hayo ipo.utamshauri afanye nin?
 
Huu ni uandishi murua kabisa wa kisomi kueleza evolution ya kisiasa nchini. Yeyote ambaye lugha inapanda, tafadhari soma makara hiyo. Angalau aya muhimu sana inayosema:

"The ten years of Kikwete rule were one of the most laissez faire periods in the country’s history. The neo-liberal chickens came home to roost. Scandals abounded, there was unchecked embezzlement of public funds, some politicians in collusion with businessmen went on an accumulation spree, corruption mounted.

The party was side-lined. Kikwete did not have purchase on party meetings. The party and the government lost any semblance of coherence. The check-and-balance machinery broke down. Policy making was erratic. Donors ruled the roost.

To be sure, in this climate civil society elite and opposition parties enjoyed a measure of freedom which they had not experienced before but all that was at the expense of the masses who continued to sink deeper and deeper into poverty and hopelessness. The party lost credibility, so much so that when the time came for general elections it could not be sure of getting elected. Day by day, the opposition gained in popularity as it exposed the scandals and corruption of CCM politicians."
 

Attachments

Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Mafikiri wengine tunatazama mambo kwa kuchukia mtu badala ya ihalisia.

; Daraja la Busisi - Kigongo linashida gani. Litasaidia kuleta maendeleo kwa kurahisisha usafiri badala ya kutumia badala ya kutumia pantoni kuvuka maji.
2. Mambo mengi haihitaji shule, hivi gharama zote zilizotumbukia huko halafu uache utakuwa na akili timamu kweli, miradi iendelee mbele tutaona faida au hasara yake. Ni kufanya mchanganuo kama inafaa au la.
CCC haikuwa na mpango wa kuhamisha makao kwenda Dodoma, zilikuwepo kauli za ubabaishaji. Kama ungekuwa na nia ya kuhamia, wizara zote zingekuwa tayari zimejenga majengo. Ilikuwa inashangaza unataka kuhamia Dodoma halafu unajenga jengo jipya la wizara Dar. Huo ulikuwa ni unafiki mkubwa sana wa CCM.
Marehemu amewasaidia kujisafisha.

Mengine hayo tunamwachia Mungu, kwa nchi hii ambayo imemweka rais juu ya sheria, huna la kufanya. Hekima yake rais itamwongoza.
 
Mama yetu naomba awe mkali sana kwa wale wote watakaotaka kuturudisha tulikotoka. Hii katakata umeme. Luku siku nzima token hazirudi. Tunakumba walipoingia 2015 issue ya umeme waliisolve tulisahau magenereta. Tulisahau foleni za luku tulisahau kukatiwa katiwa. Mama ale vichwa wale wote wanaotaka kusabbotage. Haiwezekani hii kitu inarudi taratibu. Leo nimenunua umeme asbh ndo naupata sasa. Hii sio sawa. Najua mama mpole sana mpango mpole sana. Bila kuwasimamia usiku na mchana watz tutarudi nyuma.

Mama tunakuomba sana wale watakaokwamisha we piga kimya kimya tu. Sisi tunakuombea.

Inshallah mama utatusaidia kwenye hili na mambo mengine yote wanaotaka kukupima.
 
Napendekeza angeteuliwa waziri wa mitandao ya serikali pekee tena awe ni mtu wa masuala ya IT ahakikishe mifumo yote ya serikali yeye anaifosi kuwa ya kimtandao zaidi,bei za reseni ndogo na kubwa ziwe mtandaoni mtu analipa anaenda ni risiti ofisi husuka

Kila ofisi apandikize kijana wa siri atakaekuwa anampa taarifa mapema kama mfumo kwenye ofisi fulani umechezewa hapo tutamaliza matatizo japo kidogo ya kuchezea mifumo
 
Rais Samia wengi wa wafuasi wa mafisadi na wapiga dili walifurahia ulipokamata usukani wa kuitawala hii nchi kama mkuu wa nchi.

Japokuwa ilitokea kama kudra kuwa amiri jeshi mkuu mpaka sasa kuna mahala upo sawa. Hujaruhusu mzunguko wa pesa haramu kuzunguka. Hasa za wapiga madili na matapeli wa kisiasa.

Ukweli ni kuwa wapiga madili na matapeli walijua ile miaka ya Epa, Escrow, kagoda na meremeta imerudi tena.

Mpaka sasa wamebaki kujipendekeza kwako wakijua utawachekea.
 
Modes, naomba msiunganishe huu uzi na zingine kwa sababu una maudhui tofauti na unatakiwa ubaki kama ulivyo ili wasomaji waelewe. Mnaweza kufunga comments kwa kuwa hauihtaji ushabiki wowote zaidi ya kuelewa kilichomo. I am comming with the text. Tuanze na hawa watoto wakifurahia nchi yao, na kumtukuza Mungu wakiwa na matumaini ya kuona kesho yao ikiwa na mwanga wa matumaini.

 
Midhali majizi ya mafuta na majambazi yaliyokuwa na ulinzi wa dola yameanza kushikwa hakika asiachilie tutaona mengi kwenye hii fukuafukua...
 
Muheshimiwa raisi,umefanya vyema kukutaka na makundi mbalimbali kuanzia kukutana na wazee Dar,wakina Mama-Dodoma na pia unatarajia kukutana na vijana Mwanza,Nakukumbusha na kukushauri,usije kuwasahau watu wenye ulemavu,maana sote ni walemavu watarajiwa.Vilevile usije kuwasahau ,wakulima,Wafanyabiashara nk.Nakusalimu kwa jina la jamhuri wa Tanzania,kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom