Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
SawaJiji la Dar liludishwe ,
Dodoma tuishie hapo
SGR iishie hapo
Daraja busisi tumalizie
Tozo za TRA zimulikwe upya
Uhusiano wa kimataifa uboreshwe
Bwawa la umeme la nyerere hekima itumike
Makato ya HESLB yaangaliwe upya
Ajira zifunguke Kwa uwiano Sawa kulingana na bajeti.
Pesa kwenye mzunguko iwe fair
Tusifokeane , tuthaminiane
Usimamizi wa watenda kazi uendelee Kwa kiwango kile kile alichokiacha JPM ili kupunguza Fraud kwenye pesa za uma
Mengine mtaongezea
Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Jiji la Dar liludishwe ,
Dodoma tuishie hapo
SGR iishie hapo
Daraja busisi tumalizie
Tozo za TRA zimulikwe upya
Uhusiano wa kimataifa uboreshwe
Bwawa la umeme la nyerere hekima itumike
Makato ya HESLB yaangaliwe upya
Ajira zifunguke Kwa uwiano Sawa kulingana na bajeti.
Pesa kwenye mzunguko iwe fair
Tusifokeane , tuthaminiane
Usimamizi wa watenda kazi uendelee Kwa kiwango kile kile alichokiacha JPM ili kupunguza Fraud kwenye pesa za uma
Mengine mtaongezea
Hizi Id nyingi za 2020 zilianzishwa na genge la ccm mpya ili kuja kutetea siasa za kidhalimu hapa nchini. Kwa taarifa yako muda wa siasa za kidhalimu umefikia mwisho, kwani Mungu kaamua kuleta mabadiliko bila kumwaga damu. Humu mitandaoni sio ofisi za cdm, bali ni majukwaa huru kila mtu ana post apendacho, unataka msimamo wa cdm nenda ofisini zao utaupata.Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Kama atajitenga na Jk, na wezi wengine walioiba kipindi chake, na abakie njia kuu tutaifurahia hiyo sauti yake ya kimama, vingevyo ajiandae kuvurugwa mpaka na mama ntilie na wamachinga!Habari wadau..!
Uzi teyari karibuni kutoa maoni ya matarajio yako kwa mama wetu mpendwa na jambo gani ungependa aanze nalo kabla ya yote??
Ila sidhani kama mtu anatukanwa au kusimangwa bila kisa, mi nadhani masimango kwa aliyepita ilikuwa na sababu, watu wakimkumbuka Azory, Sanane, Lissu, miili kwenye viroba, kejeli za kina Herry James na kauli za kuishi kama mashetani, tetemeko sijaleta mimi nk......hapo ndio hasira hulipuka na kuzaa chuki.Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.
Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Hamkutoa ushirikiano kipindi chote cha miaka 5+, kwani tumepungukiwa nini zaidi ya kuhesabu mafanikio yaliyofurika! Mama Samia angalia nyayo za baba basi, na uzibe masikio mpaka tufike ng'ambo!Mama Samia arudishe utawala wa sheria, na ajitahidi kutenda haki kadiri awezavyo. Akifanikiwa kwenye eneo hili atapata ushirikiano wetu bila kinyongo, japo waliingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi.
Loh, ndugu yangu, huna unaloelewa: Miaka 10 ni muongo mmoja, wala siyo awamu. Awamu ni kipindi maalum alichokaa Raisi madarakani. Mfano awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere ni miaka 24. Tukitaka kukubaliana na wewe, Nyerere aliongoza/alitawala awamu ngapi?
Tumia common sense wakati mwingine, usipotoshe watu, Samia ni Raisi wa awamu ya Sita. Ni raisi wa sita. Awamu ya tano iliisha 19/3/2021.
Hamkutoa ushirikiano kipindi chote cha miaka 5+, kwani tumepungukiwa nini zaidi ya kuhesabu mafanikio yaliyofurika! Mama Samia angalia nyayo za baba basi, na uzibe masikio mpaka tufike ng'ambo!
You are the Iron lady of our time!
Kama atajitenga na Jk, na wezi wengine walioiba kipindi chake, na abakie njia kuu tutaifurahia hiyo sauti yake ya kimama, vingevyo ajiandae kuvurugwa mpaka na mama ntilie na wamachinga!
Ukifikilia Kwa undani kabisa , JK ni 10 × betterHakuna jipya, anapelekeshwa na akina Jk na mafisadi tu
Hebu tusianze kiwaza miaka 10 nyuma.Ukifikilia Kwa undani kabisa , JK ni 10 × better
10x better kwa kipi?Ukifikilia Kwa undani kabisa , JK ni 10 × better
Mkuu JPM alikuwa na Nia ya dhati kabisa na hili Taifa , Ila approach zake zilikuwa za hovyo mno , hazikuwa na chembe ya utu hata kidogo , kibaya zaid hakutaka hata ushauri ...... Kiukweli Mimi kama Mimi nilikuwa nishamchoka Ila kinachoniuma Tu ni kifo chake cha ghafla nikimuona mke wake namhuzunikia sna huyo mama Ila kwenye swala la uraisi sikutaka kabisa JPM aendelee ....... JK alikuwa na utu sana , mbali na ufisadi mkubwa uliokuwepo ukweli ni kuwa uchumi wa watu ulipaa Sana .... JK alikuwa sio msimamizi mzur Kama JPM Ila alikuwa na Sera nzuri za uchumi kuliko JPM na Kwa vyovyote vile hlo eneo ndo watu wanalitaka mana maisha ni mafupi ,..... Kuwajengea watu madaraja na mindege lakn wanaishi maisha magumu believe me hakuna mtu anaweza kukuelewa utakumbana na upinzani mzto unaoumiza tuuu...Hebu tusianze kiwaza miaka 10 nyuma.
Jpm hakufanya vizuri lkn JK alikuwa hovyo kabisa, enzi za kuulizwa unanijua mim ni nani?