Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Jiji la Dar liludishwe ,
Dodoma tuishie hapo
SGR iishie hapo
Daraja busisi tumalizie
Tozo za TRA zimulikwe upya
Uhusiano wa kimataifa uboreshwe
Bwawa la umeme la nyerere hekima itumike
Makato ya HESLB yaangaliwe upya
Ajira zifunguke Kwa uwiano Sawa kulingana na bajeti.
Pesa kwenye mzunguko iwe fair
Tusifokeane , tuthaminiane
Usimamizi wa watenda kazi uendelee Kwa kiwango kile kile alichokiacha JPM ili kupunguza Fraud kwenye pesa za uma

Mengine mtaongezea
 
Jiji la Dar liludishwe ,
Dodoma tuishie hapo
SGR iishie hapo
Daraja busisi tumalizie
Tozo za TRA zimulikwe upya
Uhusiano wa kimataifa uboreshwe
Bwawa la umeme la nyerere hekima itumike
Makato ya HESLB yaangaliwe upya
Ajira zifunguke Kwa uwiano Sawa kulingana na bajeti.
Pesa kwenye mzunguko iwe fair
Tusifokeane , tuthaminiane
Usimamizi wa watenda kazi uendelee Kwa kiwango kile kile alichokiacha JPM ili kupunguza Fraud kwenye pesa za uma

Mengine mtaongezea
Sawa
 
Jiji la Dar liludishwe ,
Dodoma tuishie hapo
SGR iishie hapo
Daraja busisi tumalizie
Tozo za TRA zimulikwe upya
Uhusiano wa kimataifa uboreshwe
Bwawa la umeme la nyerere hekima itumike
Makato ya HESLB yaangaliwe upya
Ajira zifunguke Kwa uwiano Sawa kulingana na bajeti.
Pesa kwenye mzunguko iwe fair
Tusifokeane , tuthaminiane
Usimamizi wa watenda kazi uendelee Kwa kiwango kile kile alichokiacha JPM ili kupunguza Fraud kwenye pesa za uma

Mengine mtaongezea

Namba
2.
3.
7.
Zitolee sababu tano tano kwanini unaona hilo unalotaka ndio lifanyike?????????
 
Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.

Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Hizi Id nyingi za 2020 zilianzishwa na genge la ccm mpya ili kuja kutetea siasa za kidhalimu hapa nchini. Kwa taarifa yako muda wa siasa za kidhalimu umefikia mwisho, kwani Mungu kaamua kuleta mabadiliko bila kumwaga damu. Humu mitandaoni sio ofisi za cdm, bali ni majukwaa huru kila mtu ana post apendacho, unataka msimamo wa cdm nenda ofisini zao utaupata.
 
Habari wadau..!
Uzi teyari karibuni kutoa maoni ya matarajio yako kwa mama wetu mpendwa na jambo gani ungependa aanze nalo kabla ya yote??
Kama atajitenga na Jk, na wezi wengine walioiba kipindi chake, na abakie njia kuu tutaifurahia hiyo sauti yake ya kimama, vingevyo ajiandae kuvurugwa mpaka na mama ntilie na wamachinga!
 
Atatukanwa sana na atadhalilishwa sana na chadema.

Lakini sisi women tutampigania mpaka tone la mwisho.
Ila sidhani kama mtu anatukanwa au kusimangwa bila kisa, mi nadhani masimango kwa aliyepita ilikuwa na sababu, watu wakimkumbuka Azory, Sanane, Lissu, miili kwenye viroba, kejeli za kina Herry James na kauli za kuishi kama mashetani, tetemeko sijaleta mimi nk......hapo ndio hasira hulipuka na kuzaa chuki.
 
Mama Samia arudishe utawala wa sheria, na ajitahidi kutenda haki kadiri awezavyo. Akifanikiwa kwenye eneo hili atapata ushirikiano wetu bila kinyongo, japo waliingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi.
Hamkutoa ushirikiano kipindi chote cha miaka 5+, kwani tumepungukiwa nini zaidi ya kuhesabu mafanikio yaliyofurika! Mama Samia angalia nyayo za baba basi, na uzibe masikio mpaka tufike ng'ambo!
You are the Iron lady of our time!
 
Loh, ndugu yangu, huna unaloelewa: Miaka 10 ni muongo mmoja, wala siyo awamu. Awamu ni kipindi maalum alichokaa Raisi madarakani. Mfano awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere ni miaka 24. Tukitaka kukubaliana na wewe, Nyerere aliongoza/alitawala awamu ngapi?

Tumia common sense wakati mwingine, usipotoshe watu, Samia ni Raisi wa awamu ya Sita. Ni raisi wa sita. Awamu ya tano iliisha 19/3/2021.

Sawa mkuu nimekupata
 
Hamkutoa ushirikiano kipindi chote cha miaka 5+, kwani tumepungukiwa nini zaidi ya kuhesabu mafanikio yaliyofurika! Mama Samia angalia nyayo za baba basi, na uzibe masikio mpaka tufike ng'ambo!
You are the Iron lady of our time!

Si ndio hapo Mungu kaamua kuleta mabadiliko bila kumwaga damu. Mafanikio yapi yaliyofurika wakati watu wamezidi kuwa na maisha magumu? Mafanikio yanatakiwa kuonekana kwenye maisha ya watu, sio kikundi cha wachache wanaoshiba na kusaza kumiliki vyombo vya habari, na kulazimisha kuhubiri miradi yao, huku wenye ugumu wa maisha wakiongozwa kwa shuruti na kutiwa woga wa kuanika ugumu wao wa maisha.

Kwenye nchi za ulaya mashariki enzi za vita baridi wakitawaliwa kidictator, kulikuwa na vikundi vya propaganda kuhubiri kwa wananchi wao kuwa nchi zao ni tajiri kuliko ulaya magharibi, na hakukuwa na ruhusa ya mwananchi yoyote kuhoji ukweli wa taarifa walizokuwa wanalishwa na hayo makundi ya kigaidi. Na mwananchi yoyote aliyethubutu kuhoji data hizo za kupika aliitwa mchochezi, anatumika, alifanyiwa ukatili wote ikiwemo kuhujumiwa shughuli zake za kumuingizia kipato, kuachwa na kilema, ama hata kuuwawa. Baada ya tawala hizo na siasa hizo za kishenzi kufikia kikomo, wananchi wa nchi hizo wakawa huru, na kuona ukweli jinsi nchi zao zilivyo nyuma kimaendeleo, mbali ya kuporwa uhuru wao wa kufikiri tofauti kabisa ya wenzao wa ulaya magharibi waliokuwa huru. Siasa hizo za kishenzi ndio iliyokuwa carbon copy ya utawala huu wa miaka 5+ hapa nchini. Ni juu ya mama Samia kuachana na hizo siasa za kifedhuli kwani Mungu yuko kwa ajili yetu.
 
Kama atajitenga na Jk, na wezi wengine walioiba kipindi chake, na abakie njia kuu tutaifurahia hiyo sauti yake ya kimama, vingevyo ajiandae kuvurugwa mpaka na mama ntilie na wamachinga!

Hakuna jipya, anapelekeshwa na akina Jk na mafisadi tu
Ukifikilia Kwa undani kabisa , JK ni 10 × better
 
Hebu tusianze kiwaza miaka 10 nyuma.
Jpm hakufanya vizuri lkn JK alikuwa hovyo kabisa, enzi za kuulizwa unanijua mim ni nani?
Mkuu JPM alikuwa na Nia ya dhati kabisa na hili Taifa , Ila approach zake zilikuwa za hovyo mno , hazikuwa na chembe ya utu hata kidogo , kibaya zaid hakutaka hata ushauri ...... Kiukweli Mimi kama Mimi nilikuwa nishamchoka Ila kinachoniuma Tu ni kifo chake cha ghafla nikimuona mke wake namhuzunikia sna huyo mama Ila kwenye swala la uraisi sikutaka kabisa JPM aendelee ....... JK alikuwa na utu sana , mbali na ufisadi mkubwa uliokuwepo ukweli ni kuwa uchumi wa watu ulipaa Sana .... JK alikuwa sio msimamizi mzur Kama JPM Ila alikuwa na Sera nzuri za uchumi kuliko JPM na Kwa vyovyote vile hlo eneo ndo watu wanalitaka mana maisha ni mafupi ,..... Kuwajengea watu madaraja na mindege lakn wanaishi maisha magumu believe me hakuna mtu anaweza kukuelewa utakumbana na upinzani mzto unaoumiza tuuu...
 
Hawezi kwenda kinyume na matakwa ya CCM,hawezi kufunga mafisadi,ikiwa Magufuli na ubabe wake kawashindwa,
Hawezi kuepuka kuiba kura kwenye uchaguzi wowote unaohusu vyama vingi,iwe wa marudio au uchaguzi Mkuu.
Kama alivyotamka yeye binafsi wakati wa kampeni kuwa nyinyi mchaguenj huyo Lisu lakini CCM ndio itaunda serikali.Hii ndio kauli halisi ya MwanaCCM.haya ni machache Sana.

Ila nategema utawala wa huruma,wema,upendo wa kweli kwa raia.
Hakuna wasiojulikana tena,

Mishahara ya wafanyakazi kupandishwa,

Wafanyabiashara watafanya biashara zao kwa haki na amani,

Wakulima hawatadhulumiwa tena.

Hiini kwa sababu ya tabia binafsi za Rais huyu.
Ni mama,wamama sio wakatili kwa asili.
Machache ni hayo.


I
 
Back
Top Bottom