Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Sijui nikujibuje, ila suala la kuhujumiwa sio jambo ambalo watu wakiamua kukuhujumu sio kazi rahis kuwadhibiti
Ukiwa Rais ukashindwa kuwathibiti wanaokuhujumu wewe hufai. Hufai kabisa ni wa kutupwa jalalani. Hopeless. Msimdhalilishe Mama plz.
 
kwetu Lindi umeme siku hizi umetulia sana kukatika ni dadra sana so acha uongo
 
Aiseee uandishi mbovu kabisa. Anyway ujumbe umefika. UBINAFSI wa Watanzania
 
Tatizo wabongo HUBADILISHWA na mfumo wanaoukuta au maslahi binafsi , wabongo wengi wakipata madaraka tu nao hubadilika MF: Humpley polepole na wengine

Lakini pia husifananishe Nchi tajiri kama Japan na hizi nchi zetu za ulimwengu wa tatu. Wenzetu ni matajiri wakubwa hawana tena na shida za pesa bali mabadiliko ya kushika uchumi wa Dunia huku kwetu mtu akipata madaraka tu anaiba kwa ajili yake, kisha anaanza kuiba kwa ajili ya familia yake baadae anaanza kuiba kwa ajili ya ukoo wake akimaliza anastaafu kazi kwisha hakuna kilichofanyika. ( au kutengeneza connection za watoto wao pindi wakitoka madarakani )

Wajapan karibu wote hawana shida na pesa tayari wana maisha mazuri ndio maana wapo tayari kuachia ngazi wenye uwezo wakae sisi tutafikia level hizo miaka 100 ijayo.
 
REA Tanroads amejaxa watoto wa dada kibao.....aliwemo Jesca..
 
Samia siyo mama yenu. Achani kujipendekeza na kuabudia watu. Mbona hamkuwaita marais wanaume baba zenu?
 
Mama, angalia haya katika Mawizara yetu kama TAMISEMI,NISHATI, AFYA nk, Taasisi zetu kama TANESCO REA, TANROADS n.k.
Naomba Mwenyezimungu akulinde na akuongoze.[emoji817][emoji736]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wtf?mama yako huyo?Ni rais atumike kama rais msilete mambo yenu ya kudekadeka eti Mama,mama pumbavu sana.
 
Tuliaminishwa vibaya sana....uhalifu ulikuwepo ila walishibiti taarifa...police wale wale Sirro yule yule
 
Rais afanye mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa utumishi wa umma na utendaji kazi serikalini, kwa mfano ofisi nyingi za umma Zina watu wasio na uwezo wa kiutendaji, hasa upande wa TEHAMA .Mbaya zaidi tuna vijana wengi tu wenye uwezo huo mtaani.Sio mbaya serikali kupitia upya wakuu wa idara na vitengo wanaokidhi sifa stahiki, lengo taarifa zifike na kuchakatwa kwa weledi na ufanisi kwa wakati.
 
Mama, angalia haya katika Mawizara yetu kama TAMISEMI,NISHATI, AFYA nk, Taasisi zetu kama TANESCO REA, TANROADS n.k.
Naomba Mwenyezimungu akulinde na akuongoze.[emoji817][emoji736]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tamisemi ndo wizara inayoongozwa na madudu ya kutisha, rushwa,uzembe, ubadhilifu nk. Kwa mfano wakuu wa idara na vitengo mawilayani na manispaa hawana weledi na uchapakazi kwa viwango.Idara nyingi hazina watendaji kazi wenye uwelewa katika maswala ya TEHAMA kwa mfano, hivo kupelekea kutuma au kuchakatwa taarifa kwa kuchelewa Sana.Serikali ipitie sifa stahiki za watendaji wetu hasa tamisemi Ni kikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…