myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ile ndege ndogo ya Rais ile ya jamhuri ya muungano walipewa ATCL na sasa hivi Rais anatumia madege makubwa makubwa ya ATCL katika route zake🐒🐒🐒Ndege ya Rais ile ya Jamhuri ya Muungano ipo wapi?
🐒🐒🐒CAG alionya juu ya ununuzi wa ndege bila business plan na kuwa na watu wenye akili na exposure ya hizi biashara......tayari gap linaonekana hapa kwa watu wetu kushindwa kufikiri nini wafanye sasa ndege zetu angalau ziruke kibiashara..... either baadhi zifunguliwe seat ziwe cargo au kuziunganisha na watu wetu wa Posta kubeba vifurushi nk.....Baadhi ya ndege za KQ na ethiopian zimebadirishiwa matumizi na kuwa Cargo kipindi hiki cha Covid.... Bado zipo option za kuzikodisha kwa mashirika makubwa yenye experience na biashara na ambayo hata kupindi hiki cha Covid yabapiga mzigo........
Ndege zote za wakala wa ndege za serikali ziliwekwa chapa ya Air Tanzania, kumbuka kazi ya wakala moja wapo imekua na ku "operate" ndege hizi za viongozi, hivyo hichi anachofanyowa mama kisikushangaze chief.Miongoni mwa matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji makubwa wa fedha tangu SSH aingie madarakani ni pamoja na matumizi yaliyokithiri ya madege ya ATCL...
Uhuru hauwezi kuzidi hata siku moja. Hapa amekosea nini kumuuliza mzazi wake inakuwaje yeye kila siku yuko kwenye vieiti wakati watoto wake wanalalia ugali na chumvi?uhuru ukizidi unakuwa matatizo pia, hapo ukute wanao wamelalia ugali na chumvi halafu unamaliza nguvu kujadili mambo yasiyo na tija kwako wala kwa taifa, wewe ndo unajua zaidi matumizi ya ndege kuliko rais?!..
Aaahhh...upuuuzii wa maviii...akaongozee saudia bhana sio bongoland..uislam uislam uislam...nendaa kajilipue bhanaaaa huko afganistaniii...Touching is more serious than looking.
Mheshimiwa Raisi Samia achana na tabia ya kutoa mkono ,hilo ni Haramu kwa Muislamu ,na hilo wanatakiwa walijue na wengine..
Ile Fokker haiwezi beba Rais,Ile ndege ndogo ya Rais ile ya jamhuri ya muungano walipewa ATCL na sasa hivi Rais anatumia madege makubwa makubwa ya ATCL katika route zake[emoji205][emoji205][emoji205]
Ni mambo ya kijinga sana ambayo hata mtoto mdogo wa chekechea hawezi kufanya.Halafu kama unavyojua kwa sasa hivi Tanzania haina bunge kwa hiyo hakuna wa kuuliza kuhusu hilo suala.
sasa ww unataka ndege zitembee mmbarabarani kama V8?Kwa hiyo hizo ndege zilikuja kwa ajili ya kuruka na kutua??
Je, ATCL inalipwa stahiki zake?
Kesho na keshokutwa CAG akisoma ripoti msikatae
Haya meneja
ww una maradhi eeh?!Touching is more serious than looking.
Mheshimiwa Raisi Samia achana na tabia ya kutoa mkono ,hilo ni Haramu kwa Muislamu ,na hilo wanatakiwa walijue na wengine..
unaongelea interest zako vs interest za taifa.Kwetu wavuja jasho ,fao la kujitoa ni muhimu kuliko kumkamata Sabaya au Makonda ama kumfuta ukuu wa mkoa Chalamila.Bila fao la kujitoa mimi nitampinga Samia daima dumu.
Wewe Una uhakika halifanyiki?Ingependeza zaidi.
Je, linafanyika hivyo? Una uhakika?