Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe wananchi huru,unahisi au kufikiri ni jambo gani Raisi Samia akilifanya basi uhakika wa kumpigia kura kwa kipindi kingine utakuwepo na kura zingine za wabunge na madiwani ukazipeleka kwenye chama chako pendwa.
Kwa upande wangu akiliinglia suala la Mashehe wa Uamsho na kuhakikisha anawatendea haki nikiongezea kama ataweza wananchi wasio na kazi wanalipwa japo shilingi alfu kumi kwa mwezi kwa wale waliokuwa na vitambulisho vya Taifa visivyo na shaka. Kura yangu ya Uraisi nitampa yey'ye...! Je wewe ?
ndio mwenyekiti wa ccm. atagombea tena na atashinda. na hamna kitu mtafanyaHana uwezo wa kugombea tena, huyu ni viti maalum tu.
Mkuu naunga mkono hoja. Fao la kujitoa ni muhimu mno kwa sisi vijana. Ieleweke kwamba wanufaika wa fao hili ni watu ambao hawajafikia umri wa kustaafu. Umri huu wakipata fedha hiyo watafungua biashara hivyo watakuwa na uwezo wa kuendelea kulipa kodi, kitegemeza familiya zao na wanaweza kuajiri watu wengine.Kwetu wavuja jasho ,fao la kujitoa ni muhimu kuliko kumkamata Sabaya au Makonda ama kumfuta ukuu wa mkoa Chalamila.Bila fao la kujitoa mimi nitampinga Samia daima dumu.
Woooote tunaangalia hapa, tusilazimishwe matumizi ya pesa tulizojizitolea jasho, tunatambua wabunge wa CCM hawakuwa waungwana kupitisha sheria hii kandamizi, Mama should do something.Kwetu wavuja jasho ,fao la kujitoa ni muhimu kuliko kumkamata Sabaya au Makonda ama kumfuta ukuu wa mkoa Chalamila.Bila fao la kujitoa mimi nitampinga Samia daima dumu.
Wewe hujui kinachowapata vijana wanaokosa ajira hasa kipindi hiki cha covid, pesa zimeenda wapi? huko zilikoenda zirudishwe ziwasidie vijana wanopoteza kazi kila kukichaMifuko hiyo ya hifadhi ya jamii haina hata senti unadhani Mama atalifanikishaje hili within a short time?..
Tuwe realistic bhana.
Kuna mambo mengi zaidi mama anayopaswa kuyatilia mkazo kwani yanarekebeshika fasta..sio hili.
Tumsake na kumfikisha Mahakamani aliye jambazia hizo fedha...awe mfu au haiMifuko hiyo ya hifadhi ya jamii haina hata senti unadhani Mama atalifanikishaje hili within a short time?..
Tuwe realistic bhana.
Kuna mambo mengi zaidi mama anayopaswa kuyatilia mkazo kwani yanarekebeshika fasta..sio hili.
Naunga Mkono hoja kwa Nguvu zoteWewe hujui kinachowapata vijana wanaokosa ajira hasa kipindi hiki cha covid, pesa zimeenda wapi? huko zilikoenda zirudishwe ziwasidie vijana wanopoteza kazi kila kukicha
Ikibidi wabunge wafukuzwe posho zao na mishahara ielekezwe NSSF kulipa hilo DeniWoooote tunaangalia hapa, tusilazimishwe matumizi ya pesa tulizojizitolea jasho, tunatambua wabunge wa CCM hawakuwa waungwana kupitisha sheria hii kandamizi, Mama should do something.
Kwa Sabaya Makonda na wengine Waeendelee KUNYOOSHWA hawa ndo miongoni mwaoKwetu wavuja jasho ,fao la kujitoa ni muhimu kuliko kumkamata Sabaya au Makonda ama kumfuta ukuu wa mkoa Chalamila. Bila fao la kujitoa mimi nitampinga Samia daima dumu
Fao la kujitoa sio interest ya mtu mmoja ni suala la kitaifa na kisera zaidi. Vijana wengi walioajiliwa sekta binafsi ni wahanga wa hili na wanapomaliza mikataba yao ni vyema wakapewa pesa zao ili wakajiajili kuimarisha uchumi.unaongelea interest zako vs interest za taifa.
afanye unachotaka ndio utaona amefanya kitu? since when anafanya mambo kumridhisha mtu fulani?