Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

are you? maana umeanza kwa kulaumu.
Namna tu ya kuwasilisha... Inawezekana kabisa ukaleta ushahidi unaonesha ni bora hizo ndege ziendelee kutumika kwenye utaratibu huo. Na ikibidi hata PM a VPO nao wazitumie!
 
Uhakika ni proof! Si ulete sasa ka unao??
Tatizo lenu mnakuwa chawa hadi kwenye akili zenu!!
Listen chawa ProMax

Can you prove your point?

Mengine yote unayohangaika mayo hayana maana yoyote Kwa sasa
 
Siyo awamu ya sita mkuu, Rais wa sita awamu ya tano. Awamu ni miaka kumi
Sina shaka kabisa mama atakaa miaka 10, kwangu mimi ni awamu ya sita kwasababu aliyepo sasa ni n Rais mwingine na ndo maana anweka na kutengeneza utawala wake kwa kuteua viongozi wa kuendana na matakwa yake.
 
Kwa vile wale masheikh wetu wametoka na kuwa huru kupitia mikono yake muda mfupi tu toka ashike madaraka huyu mama nampa bigup sana💪 sana ni rais mwanamke lakini amesimama kuliko wanaume waliopita, mwanzo nilidharau kuwa na kiongozi mwanamke lakini ukweli ni kwamba namkubali sana,., binafsi naichukia CCM sana lakini siku zote akisimama huyu mama kuniomba kura sita pepesa macho nitamchagua kwa nguvu zangu zote., I love you mama soo much, te amo mucho mama
 
Kama kuna ambao walidhania kuwa Mh. Rais atakwama au atasua sua kwenye kuiongoza nchi nadhani mpaka sasa wameona kuwa nchi inasonga mbele and there is no commotion kama ambavyo wengi walitegemea.

Hili ni jambo la kumpongeza Mh. Rais na kuendelea kumwombea Afya njema kimwili na kiakili. Tutafika bila shaka yoyote.
 
Jiwe alivyokuwa anang'aka mpaka mishipa inatuna usoni,anafoka kama fomeni, ungedhani kuongoza nchi ni sawa na kubebena kokoto, Mama Samia anakwenda kisomi, kitaalamu, mpaka unawaza alikuwa wapi huyu Mama.

Anaweza kuwa Rais bora mwanamke katika nchi za kusini kama ni dunia basi yuko ligi moja na akina Indira Ghandi na Magreth aliyekuwa waziri Mkuu uingereza au Angela Merkel wa Ujerumani.

Viva Samia Viva
Code S-2025
 
images (33).jpeg
 
Ushauri wangu kwa kuwa nimefanya research mbalimbali na upembuzi yakinifu katika uchumi wa mabeberu nakushauri Mama vunja wizara ya viwanda na biashara na unda wizara ya uwekezaji
 
Ushauri wangu kwa kuwa nimefanya research mbalimbali na upembuzi yakinifu katika uchumi wa mabeberu nakushauri Mama vunja wizara ya viwanda na biashara na unda wizara ya uwekezaji
Basi iwe wizara ya viwanda, uwekezaji na biashara ili iwe jumuishi.
 
Ushauri wangu kwa kuwa nimefanya research mbalimbali na upembuzi yakinifu katika uchumi wa mabeberu nakushauri Mama vunja wizara ya viwanda na biashara na unda wizara ya uwekezaji
Kwani si ipo wizara ya uwekezaji
 
Back
Top Bottom