Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake

Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
 
Screenshot_20210625-174320.png
 
Hana mamlaka ya kufuta uchaguzi
 
Tunakoelekea Uchaguzi mwaka 2020, Maza anaufuta. Haitaji dhuluma hata kidogo.
 
Unao uwezo wa kulipia gharama zote za kuandaa uchaguzi mpya?,

Magufuli ameshaondoka na katiba unafanya kazi Ndio maana pengo lilizibwa upesi sana.

Na huyu mama anakitendea haki cheo kwani ni mzoefu wa siasa na utendaji. Anavutia wawekezaji kwa kutanguliza haiba ya kiungwana ya mtu anayeshaurika na kuingilika Kimawazo na kimtazamo.

Hayati alishindwa kupanda ndege na kwenda Ulaya na nje ya Afrika huyu mama atakwenda na kuifungua nchi kwa mapana.

Amka mleta uzi tupa blanketi pembeni jinyooshe sali Sala ya asubuhi na uifurahie siku mpya.
 
Waliko mjengoni dodoma wajiandae kuwatumikia wananchi na kuonekana wanafanya kazi majimboni, ule wakati wa kusema nileteeni huyu nileteeni huyu haupo tena. Ule mpango wa kupitia bila kupingwa haupo tena. Jiandaeni kisaikologia mwaka 2025
 
Uchaguzi ulikuwa mzuri na wa haki kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika. Sera kuu ya CCM ilikuwa ni kumalizia utekelezaji wa yale mazuri yalioanzishwa na serikali ya awamu ya tano, huku kwa upande wa upinzani sera zao zilikuwa ni kuruhusu ushoga nchini, kuruhusu uuzaji wa madawa ya kulevya kiholela mitaani nk. Kwahiyo wananchi walipima sera za wagombea na kuamua kuipa CCM ushindi wa tsunami,huku wapinzani wakiongozwa na viongozi wao wakiangukia pua katika majimbo yao.
 
Hata Kura za maoni ndani ya CCM mlizichakachua. Kurwa biteko alitakiwa kuwa mbunge halali kupitia CCM Yuko wapi sasa?
 
Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake

Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
Ulishangilia sana ule mkeka wa majuzi na ukajipambanua kwamba humpingi mama, leo umepigwa kunako patikana maumivu, umebadilisha gear hewani! Wewe na ma-sukumagang wenzako mtaishi au kufa na maumivu sana na tumbo la kuharisha litakuwa tatizo lenu la kudumu!
 
Maumivu yakizidi, muone daktari!
 
Kwa taarifa yako huku mitandaoni ukweli kuwa uchaguzi haukuwa halali ni toka dhalimu akiwa hai. Na huyo mama hana wafuasi huku mitandaoni, bali alitukuta tukiusema ukweli,na yeye ana hofu ya Mungu hivyo kaamua kusimamia ukweli. Kwakuwa ulikuwa kwenye kundi la watu wasiojulikana, saa hii una hofu tupu maana unajua mama kwa kasi hii atahamia kwenu.
 
Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake

Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua

Hii ni ile mwendazake alikuwa akiita kuleta "fyoko fyoko."

Mama aliongoze taifa hili kwa haki, uhuru na demokrasia kuelekea kunako Katiba Mpya itakayo kuwa katiba ya watu.

Kwa hayo tu atakuwa amefanya kazi yake barabara itakayomjengea legacy yake ya maana na ya kudumu.

Kwa hakika atakuwa kajijengea kuwa Mama wa taifa hili.
 
Ulishangilia sana ule mkeka wa majuzi na ukajipambanua kwamba humpingi mama, leo umepigwa kunako patikana maumivu, umebadilisha gear hewani! Wewe na ma-sukumagang wenzako mtaishi au kufa na maumivu sana na tumbo la kuharisha litakuwa tatizo lenu la kudumu!
FB_IMG_1624630784806.jpg
 
Hata Kura za maoni ndani ya CCM mlizichakachua. Kurwa biteko alitakiwa kuwa mbunge halali kupitia CCM Yuko wapi sasa?
John Mrema pia aliangukia pua kwenye kura za maoni, lkn mwenyekiti Mbowe alimpitisha kimabavu. Je hii ndio demokrasia? Pia ushawahi kuuliza humu kuhusu hili?
 
Mama Samia amejipambanua wazi wazi hataki vya dhulma na yeye anafuata line to line maoni ya wafuasi wake wa Twitter na Instagram na Facebook kwamba uchaguzi wa 2020 uliporwa kwa mjibu wa wafuasi wake

Mama Samia ili usiendelee kung'ang'ania vya dhulma tunaomba uvunje bunge tuingie kwenye uchaguzi ili usiongoze nchi kwa dhulma la sivyo utakuwa na wewe unaongea na kufanya usilolijua
... taifa litayumba! Mwache amalizie muda wake kwa salama na tunamwombea kheri aendelee hadi 2030 kama hatakengeuka akawageuka watu wake! Tunachohitaji ni upendo, haki, na amani vitawale nchini bila ubaguzi wowote wa kimakundi!
 
John Mrema pia aliangukia pua kwenye kura za maoni, lkn mwenyekiti Mbowe alimpitisha kimabavu. Je hii ndio demokrasia? Pia ushawahi kuuliza humu kuhusu hili?
Dr Charles Kimei Naye aliangukia pia, Leo ni mbunge. Kweli watakao uona ufalme wa mbinguni ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom