Haya endelea kutujaribuNichukue nafas hiyi kuipongeza serikali yetu pendwa ya mh rais wa awamu hiyi
Kwa kutufanya wananchi wake tuwe na faraja na amani ndani ya mioyo yetu...
Nichukue nafas hiyi kuipongeza serikali yetu pendwa ya mh rais wa awamu hiyi
Kwa kutufanya wananchi wake tuwe na faraja na amani ndani ya mioyo yetu...
Anatakiwa amtie mkwe wake apo wizara ya utumishi na diwani amtie hapo TISS aende akalimeUkute Mamacsna nia njema waliomzunguka wanamtisha na kumuogopesha .....anashindwa kuwa kichwa kigumu ...anatamani kurudi 2025 ..hizo thawabu pia anazitaka amebakia njia panda nchi iko auto pilot...hajielewi anataka nini.....
Wenzako hatuna kilio. Ukiondoa hayo maneno "Mungu atakuwa amesikia kilio chetu" itapendeza.Mara paa ndege.............mungu atakuwa ametusikia kilio chetu
a)imepotea angani
b)imeganda angani...
Sisi wakulima wa pamba,alizeti,dengu,mbaazi,ufuta na kahawa.Shangwe kwa mama tuuuuuu.Mara paa ndege.............mungu atakuwa ametusikia kilio chetu
a)imepotea angani
b)imeganda angani....
SawaHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo...
🤔🤔Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo...
Hizo hoja nzito. Mwenye madaraka amepewa mamlaka ya kuongoza Jamii, kampuni au Taasisi husika, kwa Kanuni na Taratibu zilizokubaliwa. Hata kwenye Kaya, Mkuu wake huingoza kwa jinsi ya Mila na TamaduniPamoja na kwamba nilimkubali sana JPM sasa kwa moyo mmoja naungana na Mama rasmi.
Uzalendo sio kususa, uzalendo ni kuwa mnyenyekevu na kukosoa kwa utaratibu maalum...
Upuuzi mtupuBARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
13|09|2021
JABALI
THE PRESIDENT OF URT,
P.O BOX 01
DAR ES SALAAM
TANZANIA
YAH: PONGEZI ZA WAZI
Nakupongeza kwa haya yafuatayo,
1.Kupandisha bei ya mazao yote,
2. Royal Tour kuvitia watali wengi
3.Kupunguza tozo hadi elfu 6 hata nitume mil 100
4. Kutoa mikopo ya HESLB kwa wanafunzi wote,
5. Kupandisha madaraja watumishi
7. Kutoa ajira mpya elfu 40
8. Kutoa bili 60 kununua mahindi
9. Kufuta matozo zaidi ya 200
10. Kutupenda Watanzani,
Asante Sana Mama,
JABALI