Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Awabadiishe washauri wake wa hotube.
Ameligawa taifa vipande viwili pale aliposema madai ya katiba ni chokochoko na kwamba yasubiri ajenge uchumi.
Angetoa kisingizio cha corona toka mwanzo kila Mtanzania angekuwa bado ana matumaini naye.
Chokochoko kazitaka mwenyewe kwa ulimi wake.
Anahitaji kushauriwa vizuri. Ila ushauri wa akina Sirro and Sukuma Gang unazidi kumnyongonyeza. Huyu alitakiwa awe ameshamtoa Sirro. Sijui anasubiri nini?
 
Habari!
Naomba kusisitiza kuwa tumuombee Maombi Rais Samia Suluhu kila siku ili aujenge uchumi.
Tulimuombea Rais Magufuli kama alivyokuwa akituomba tumuombee katika vita alivyokuwa akipigana, vita ya uchumi.
Tuombe Mungu atajibu.
 
KASI YA RAIS SAMIA TOKA AINGIE MADARAKANI.

Imekuwa baraka nyingine kwa Tanzania kupata Rais mtekelezaji na mfuatiliaji ambaye toka aingie madarakani ametoa dira imara kwa nchi yetu na kuendelea kutoa fedha kupeleka maendeleo kwa wananchi. Maeneo 10 ya kibabe ya Rais mtekelezaji na mfuatiliaji, Mhe Samia Suluhu Hassan.

#ChamaImara
#KaziIendelee

IMG-20210725-WA0272.jpg

IMG-20210725-WA0274.jpg

IMG-20210725-WA0275.jpg

IMG-20210725-WA0276.jpg

IMG-20210725-WA0277.jpg

IMG-20210725-WA0262.jpg
 
KASI YA RAIS SAMIA TOKA AINGIE MADARAKANI.

Imekuwa baraka nyingine kwa Tanzania kupata Rais mtekelezaji na mfuatiliaji ambaye toka aingie madarakani ametoa dira imara kwa nchi yetu na kuendelea kutoa fedha kupeleka maendeleo kwa wananchi. Maeneo 10 ya kibabe ya Rais mtekelezaji na mfuatiliaji, Mhe Samia Suluhu Hassan...
Dira ipi mzee mpya kwake ni Tozo tu,mengine yote ni ya JPM tena yameanza kulala yoooo
 
Kweli mkuu.. ila cha kushangaza Lisu alifanya siasa ni uadui kwa kupambana huko Ulaya ili Tanzania tuwekewe vikwazo na kunyimwa misaada kwa sababu zake za kisiasa.
Ila yeye alivyo kuwa anapambanishwa kwa kubambikiwa kesi kila siku ilikuwa ni mkuki kwa nguruwe. Nchi hii tunapitwa maendeleo na vi,inchi vidogo visivyo na hata maliasili kwa sababu ya unafiki wa viongozi na wananchi mbumbumbu kama wewe.

CCM inaendesha vita dhidi ya upinzani na kulielekeza dola kutumia raslimali kubwa ya nchi kufanikisha hilo. Lakini kuna watu mfano wako wanaona lakini wanajifanya vipofu.
 
Ila yeye alivyo kuwa anapambanishwa kwa kubambikiwa kesi kila siku ilikuwa ni mkuki kwa nguruwe. Nchi hii tunapitwa maendeleo na vi,inchi vidogo visivyo na hata maliasili kwa sababu ya unafiki wa viongozi na wananchi mbumbumbu kama wewe. CCM inaendesha vita dhidi ya upinzani na kulielekeza dola kutumia raslimali kubwa ya nchi kufanikisha hilo. Lakini kuna watu mfano wako wanaona lakini wanajifanya vipofu.
Upinzani gani unaosema ww? Ni huu wa hawa jamaa wanaotembea na akili za wafuasi wao mfukoni au? Kama ni hawa basi nakushaur uangalie vizur mtizamo wako huenda baada ya kumaliza kukulisha matango pori (uongo) sasa watakulisha na ki.nye..si kabisa (uongo zaidi).

Just imagine wanasiasa wanaokuambia leo Lowasa fisadi unashangilia, afu kesho wanakwambia Lowasa sio fisadi na anafaa kuwa raisi na ww unashangilia tena! Mw Nyerere anasema mtu mpumbavu akikwambia jambo la kipuuzi na anafahamu kuwa ww unajua kama alichokwambia ni upuuzi afu ukakaa kimya au kukubaliana nae basi atakuona ww ni zaidi ya ..... hapo kwenye desh utajaza mwenyew moyoni kwako.

Shtuka ndugu yang hao jamaa wanakutumia ww pamoj na wenzako weny akili kama zako kama daraja la kuvukia kufikia mafanikio yao ya kisiasa na familia zao huku ww ukiendelea kutumiwa bila kujijua.

images (7).jpeg

images (12).jpeg

images (10).jpeg
 
Anahitaji kushauriwa vizuri. Ila ushauri wa akina Sirro and Sukuma Gang unazidi kumnyongonyeza. Huyu alitakiwa awe ameshamtoa Sirro. Sijui anasubiri nini?
Sirro na police wake si ni waiz na wauaji
 
I really pity my President Samia, and I can only imagine the kind of challenges she has to contend with in being President of this lovely country.

Of recent, I haven't been quite sure if President Samia is trying to impress on people her leadership style, or just responding to the whims of those around her, mostly sycophants. I get the impression she does not seem to have her own stance on some issues, she doesn't call the shots, she does not have the final say.

I may be wrong, and if I am wrong, then her presidency is in such a precarious situation. She should not be carried away by all the praises people sing and start absent mindendly dancing to the melodies. She needs to tread with care. She needs to remember one very critical thing; she cannot get away with everything that Magufuli got away with. The circumstances are vastly different. She could be playing a very dangerous game, one that she might not be able to finish.
 
Kwanza nikupongeze na nikupe pole kwa kazi ngumu unayofanya.
NI ukweli usiopingika kwamba sasa ni awamu ya 6 na wewe ndo RAIS wa JMT

Ulikuwa makamu wa JPM na najua kabisa kwamba kuna mambo ambayo mlikubaliana na kuna mambo ambayo mlitofautiana.Huo ni ubinadamu

Kwa yanayoendelea sasa hapa nchini naona kabisa kuna nguvu inatumika sana kulazimisha legacy ya JPM na kuna NGUVU inatumika kuondoa LEGACY ya JPM na wakati huo huo kuna nguvu inataka kujenga LEGACY yako.

Mama,Unao uwezo wa kujenga legacy yako kwa kusimama juu ya Mabega ya JPM bila kujenga wal kuharibu legacy ya JPM.Kama kuna makosa JPM alifanya acha historia imhukumu usitaki kumsafisha au kujisafisha kwani hakuna muda wa kufanya hivyo.

Kuna mabadiliko ambayo unaweza kuyafanya yafanye bila kujali watu watasema nini cha muhimu ni kuzingatia maslahi mapana ya nchi na furaha kwa wananchi wote.

Angalia sana jinsi unavogawa keki ya TAIFA kwani kuna uwezekano baadhi ya watu wakahisi kwamba wanakosa mnofu.
Angalia sana unapokuwa kimya kunapokuwa na uonevu kwani watu wanaweza kuhisi kuwa kuna ruhusa kutoka kwako

Zaidi Madam President,wewe ni mzanzibari,umewahi kuwa mwenyekiti wa kamati ya katiba mpya so ninaamini kabisa kwama unao uwezo na ujasiri wa kuweka masuala ya katiba mpya sawa.

NIna mengi ya kukwambia ila kwa sababu suala la miamala na suala la mbowe ndo mambo tata kwa sasa inatosha kusema kwamba yatazame na uchukue hatua stahiki.
 
Hawezi kukuelewa huyo,anajiona yupo juu ya Dunia ndo maana anafanya afanyavyo
 
Me naona kama mwendazake amefufuka mzimu wake ndio unaongoza labda anamalizia kipindi chake maana yaliyokuwepo ndio yapo.
 
Back
Top Bottom