Anahitaji kushauriwa vizuri. Ila ushauri wa akina Sirro and Sukuma Gang unazidi kumnyongonyeza. Huyu alitakiwa awe ameshamtoa Sirro. Sijui anasubiri nini?Awabadiishe washauri wake wa hotube.
Ameligawa taifa vipande viwili pale aliposema madai ya katiba ni chokochoko na kwamba yasubiri ajenge uchumi.
Angetoa kisingizio cha corona toka mwanzo kila Mtanzania angekuwa bado ana matumaini naye.
Chokochoko kazitaka mwenyewe kwa ulimi wake.