Wasukusu wapenda sifa huyu naye Kama haoNa maoni ya huyu unayaonaje?
UJUMBE WA KIJANA WA KITANZANIA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSANUJUMBE WA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN.
Document hii ina ujumbe wa kijana wa Tanzania kutokea Mkoa wa Mara, aliyetumia siku hizi ya maandalizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kumwandikia Rais na kumkumbusha baadhi ya mambo ya kufanyia kazi kwenye Taifa na Mkoa wa Mara.
Tafadhali, soma na usambaze kwa wengine.
Shukrani!!View attachment 1971646
Ana maoni kuntu huyo kijana, ila sitashangaa yakitoswa kwa dustbinUJUMBE WA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN.
Document hii ina ujumbe wa kijana wa Tanzania kutokea Mkoa wa Mara, aliyetumia siku hizi ya maandalizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kumwandikia Rais na kumkumbusha baadhi ya mambo ya kufanyia kazi kwenye Taifa na Mkoa wa Mara.
Tafadhali, soma na usambaze kwa wengine.
Shukrani!!View attachment 1971646
Kashindwa kuweka summary Faili lake litakuwa na virus usi download Hilo file au ku click kufunguaAna maoni kuntu huyo kijana, ila sitashangaa yakitoswa kwa dustbin
Ndiyo shida ya bongoWakati wengine tunatumia akili kukosoa na kushauri wengine ni kuimba mapambio na kusifu na kusujudu
Linafunguka vizuri tu mbonaKashindwa kuweka summary Faili lake litakuwa na virus usi download Hilo file au ku click kufungua
Hayo yako utakuwa ndie mleta mada unajipigia debe Mimi nimetoa angalizo watu wasi click ku open au ku download Hilo file mleta mada akitaka alibadili mwenyewe toka PDF aliweke format ya kukubalika aweke hayo mambo yake Kama post jamii forumsLinafunguka vizuri tu mbona
Siyo kwamba hajui, anajua fika kwamba wanyonge wanauza Mali kuokoa maisha ya ndugu zao. Siku hizi zipo hospital za dini zilizomikononi mwa wafanyabiashara , kulisha wagonjwa kupitia tenda imekuwa dili la watu kipindi hiki. Mgonjwa yupo ICU lakini anawekewa bili ya chakula, ukihoji utajuta
Lakini pia mbinu inayotumiwa na madaktari mfano niliwahi kwenda kumsalimia ndugu yangu Nkuranga hospital ipo userriver Arusha....bills zinazoandaliwa na wahasibu zimechakachuliw, mgonjwa anaandikiwa bili ya dawa ambazo hajawahi kupewa na ukihoji hakuna anayekusikiliza. Kiufupi government na Mission hospital zimekosa usimamizi zimekuwa biashara.
Mgonjwa analazw miezi ampatiwi bill Hadi afariki au siku mnatoka ndo mnapewa bill, ukiisoma unaweza kuzimia.
Hosipital zimegeuza biashara siyo huduma, makanisa yajitathimini kuliko taasisi zake kufikia kuzuia maiti kwa sababu ya madeni
Huyo mama yenu si alishatoa maelekezo? Hakuna mtu alishawahi kufatamaelekezo ya mama Samia! Hana maamzi hakuna anachosimamia!Tumekuwa tukisikia matamko ya kisiasa kuhusu kukataza hospitali kuzuia ndugu kuchukua mwili kwenda kuzika. Lakini wamiliki wa hospitali kwa tamaa ya fedha na kwakupokosa utu wamekuwa waking'ang'ania miili ya marehemu isichukuliwe kisa bili za matibabu hazijalipwa. Unajiuliza huyo Marehemu anapokaa mochwari ndo anajiandaa kuwalipa au wanamweka huko kwa kutaka Nini? Sometimes haya ufanywa na hospitali zinazomilikiwa na dini na ambazo tunaambiwa haziendeshwi kibiashara, lengo la watu wa aina hii ni nn?
Ukifualia kiundani unabaini gharama zinazotakiwa kulipwa may be zinatokana na bili ya chakula hasa kipindi hiki Cha covid ambacho mahospital mengi yamedhibiti ndugu wasipeleke vyakula ila waliopewa tenda yakusambaza chakula wafanye biashara,wakati huo gharama ya chakula Ni kubwa na mgonjwa ale au asile gharama ipo pale pale. Tofauti na gharama ya chakula zipo gharama za mitungi ya gesi na isolation rooms ambapo maeneo haya yametumika kuwafilisi ndugu wa wagonjwa.
Nazungumza haya nikiwa na ushahidi wa ndugu mbalimbali wa Marehemu kuzuiwa kuzika wapendwa wao na maiti zipo mochwari. Najiuliza deni la 1.3trilioni kwanini lisingepunguza gharama ya matibabu hasa gharama za oxygen kwa wagonjwa na huduma Kama chakula? Duniani mikopo hii imetolewa kuokoa maisha ya watu na kusaidia ndugu wanauguliwa na wapendwa wao kupunguza gharama. Sisi kwetu eneo lakuokoa maisha ya watu na kuwasaidia waliokosa fedha za kuwahudumia wapendwa wao hatujaweka Kama kipaombele. Lakini pia mitungi ya gesi ingewekwa kwenye bima za kawaida za NHIF na fedha za covid zikaboostshirika la bima lakini bima haina msaada kwa mgonjwa wa covid na magonjwa nyemelezi hasa private hospitals.
Wataalamu wa afya akiwemo Waziri afuatilie idadi ya marehemu waliokataliwa kuzikwa kwa kushikiliwa na hospitali, ifuatilie gharama za chakula Cha wagonjwa na aina ya watoa huduma wanaohusika kuona Kama Kuna ulazima wakudhibiti ndugu kupeleka chakula huku gharama za chakula Cha hospitali zikiwa kubwa? Wafuatilie gharama za isolation rooms na ICU, wafuatilie wagonjwa wa covid waliokwamishwa na gharama na watoe maelekezo ikiwemo kupitia upya matumizi ya mkopo wa covid.
Serikali isekeze kutibu na kuokoa maisha ikiwa Ni pamoja kumpunguzia gharama mwananchi anayeuguliwa.