Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mhe. Rais nchi yetu imetunga sheria, kanuni na taratibu na wote tunatakiwa tuzifuate.

Tunayo sheria ya manunuzi iliyotungwa na Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania inayosema kuwa kazi zote zinazoombwa zitakuwa za ushindani lakini kwa miaka mitano iliyopita taratibu hizi zilikiukwa na sheria ikawekwa pembeni.

Natumaini kuwa sheria hizi tumezitunga sisi na sioni sababu za kuziweka pembeni. Nakushauri Mhe. Rais kama itakupendeza tufuate sheria ya manunuzi na hivyo tuachane na force account na single source. Kazi iendelee.
 
UJUMBE WA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN.

Document hii ina ujumbe wa kijana wa Tanzania kutokea Mkoa wa Mara, aliyetumia siku hizi ya maandalizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kumwandikia Rais na kumkumbusha baadhi ya mambo ya kufanyia kazi kwenye Taifa na Mkoa wa Mara.

Tafadhali, soma na usambaze kwa wengine.

Shukrani!!View attachment UJUMBE WA KIJANA WA KITANZANIA KWA RAIS SAMIA.pdf
 
UJUMBE WA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN.

Document hii ina ujumbe wa kijana wa Tanzania kutokea Mkoa wa Mara, aliyetumia siku hizi ya maandalizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kumwandikia Rais na kumkumbusha baadhi ya mambo ya kufanyia kazi kwenye Taifa na Mkoa wa Mara.

Tafadhali, soma na usambaze kwa wengine.

Shukrani!!View attachment 1971646
UJUMBE WA KIJANA WA KITANZANIA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
 
UJUMBE WA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN.

Document hii ina ujumbe wa kijana wa Tanzania kutokea Mkoa wa Mara, aliyetumia siku hizi ya maandalizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kumwandikia Rais na kumkumbusha baadhi ya mambo ya kufanyia kazi kwenye Taifa na Mkoa wa Mara.

Tafadhali, soma na usambaze kwa wengine.

Shukrani!!View attachment 1971646
Ana maoni kuntu huyo kijana, ila sitashangaa yakitoswa kwa dustbin
 
Linafunguka vizuri tu mbona
Hayo yako utakuwa ndie mleta mada unajipigia debe Mimi nimetoa angalizo watu wasi click ku open au ku download Hilo file mleta mada akitaka alibadili mwenyewe toka PDF aliweke format ya kukubalika aweke hayo mambo yake Kama post jamii forums

Open at your own risk
 
Tumekuwa tukisikia matamko ya kisiasa kuhusu kukataza hospitali kuzuia ndugu kuchukua mwili kwenda kuzika. Lakini wamiliki wa hospitali kwa tamaa ya fedha na kwakupokosa utu wamekuwa waking'ang'ania miili ya marehemu isichukuliwe kisa bili za matibabu hazijalipwa. Unajiuliza huyo Marehemu anapokaa mochwari ndo anajiandaa kuwalipa au wanamweka huko kwa kutaka Nini? Sometimes haya ufanywa na hospitali zinazomilikiwa na dini na ambazo tunaambiwa haziendeshwi kibiashara, lengo la watu wa aina hii ni nn?

Ukifualia kiundani unabaini gharama zinazotakiwa kulipwa may be zinatokana na bili ya chakula hasa kipindi hiki Cha covid ambacho mahospital mengi yamedhibiti ndugu wasipeleke vyakula ila waliopewa tenda yakusambaza chakula wafanye biashara,wakati huo gharama ya chakula Ni kubwa na mgonjwa ale au asile gharama ipo pale pale. Tofauti na gharama ya chakula zipo gharama za mitungi ya gesi na isolation rooms ambapo maeneo haya yametumika kuwafilisi ndugu wa wagonjwa.

Nazungumza haya nikiwa na ushahidi wa ndugu mbalimbali wa Marehemu kuzuiwa kuzika wapendwa wao na maiti zipo mochwari. Najiuliza deni la 1.3trilioni kwanini lisingepunguza gharama ya matibabu hasa gharama za oxygen kwa wagonjwa na huduma Kama chakula? Duniani mikopo hii imetolewa kuokoa maisha ya watu na kusaidia ndugu wanauguliwa na wapendwa wao kupunguza gharama. Sisi kwetu eneo lakuokoa maisha ya watu na kuwasaidia waliokosa fedha za kuwahudumia wapendwa wao hatujaweka Kama kipaombele. Lakini pia mitungi ya gesi ingewekwa kwenye bima za kawaida za NHIF na fedha za covid zikaboostshirika la bima lakini bima haina msaada kwa mgonjwa wa covid na magonjwa nyemelezi hasa private hospitals.

Wataalamu wa afya akiwemo Waziri afuatilie idadi ya marehemu waliokataliwa kuzikwa kwa kushikiliwa na hospitali, ifuatilie gharama za chakula Cha wagonjwa na aina ya watoa huduma wanaohusika kuona Kama Kuna ulazima wakudhibiti ndugu kupeleka chakula huku gharama za chakula Cha hospitali zikiwa kubwa? Wafuatilie gharama za isolation rooms na ICU, wafuatilie wagonjwa wa covid waliokwamishwa na gharama na watoe maelekezo ikiwemo kupitia upya matumizi ya mkopo wa covid.

Serikali isekeze kutibu na kuokoa maisha ikiwa Ni pamoja kumpunguzia gharama mwananchi anayeuguliwa.
 
Siyo kwamba hajui, anajua fika kwamba wanyonge wanauza Mali kuokoa maisha ya ndugu zao. Siku hizi zipo hospital za dini zilizomikononi mwa wafanyabiashara , kulisha wagonjwa kupitia tenda imekuwa dili la watu kipindi hiki. Mgonjwa yupo ICU lakini anawekewa bili ya chakula, ukihoji utajuta

Lakini pia mbinu inayotumiwa na madaktari mfano niliwahi kwenda kumsalimia ndugu yangu Nkuranga hospital ipo userriver Arusha....bills zinazoandaliwa na wahasibu zimechakachuliw, mgonjwa anaandikiwa bili ya dawa ambazo hajawahi kupewa na ukihoji hakuna anayekusikiliza. Kiufupi government na Mission hospital zimekosa usimamizi zimekuwa biashara.

Mgonjwa analazw miezi ampatiwi bill Hadi afariki au siku mnatoka ndo mnapewa bill, ukiisoma unaweza kuzimia.

Hosipital zimegeuza biashara siyo huduma, makanisa yajitathimini kuliko taasisi zake kufikia kuzuia maiti kwa sababu ya madeni
 
Mnazilaumu hospitali buree, tukumbuke wanaoendesha hospitali ni waajiriwa ambao kimsingi wanafuata taratibu zilizowekwa na serikali.

Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini haya malalamiko yamekuwa mengi nyakati za sasa? Kwa nini zamani hayakuwepo?

Twende taratibu ili tujue mzizi wa tatizo ulipo, hapa nitajikita zaidi kwenye hospitali za umma:

Zamani hospitali nyingi hazikuwa na utaratibu wa kuwa na kila kitu, yaani vitendea kazi, dawa n.k. Ilikuwa ukifika hospitali unaandikiwa vitu vya kwenda kununua kama gloves, sindano, dripu, dawa n.k.

Lakini miaka ya hivi karibuni serikali ikabadili sera na kuhakikisha vitu vyote vinapatikana hapohapo mahospitalini. Hii ilikuja baada ya kuonekana baadhi ya ndugu wanakuwa hawana uwezo wa kuafford gharama za matibabu kwa muda husika, pia wengine wanachelewa kuleta dawa on time hivyo unakuta mgonjwa hapati dozi yake inavyopaswa.

Pia serikali waliileta hii sera ili kupunguza vifo visivyo na lazima maana zamani ilikuwa usipoleta dawa ama kifaa ulichoagizwa basi ujue na mgonjwa hahudumiwi kama atakufa utajua mwenyewe.

Hivyo serikali ikaona this is not right, ngoja tuzi-equip hospitali zetu na kila kitu then wagonjwa watahudumiwa on time na kisha ndugu watalipa tuu.Ndipo hapo sasa hili janga la maiti kuzuiliwa mpaka mlipe bill lilipoibuka.

Nia ya serikali ilikuwa njema kabisa, kuokoa maisha ya wananchi wake. Zamani malalamiko ya wagonjwa kutokuhudumiwa yalikuwa mengi sana. Lakini sasa hayapo, ukifika hospitali unahudumiwa bila kusumbuliwa kalete hiki na hiki, ila mtu akipewa bill anageuka mbogo. Zamani ilikuwa ni mwendo wa undava tuu, hujaleta ulichoagizwa basi mgonjwa wako haguswi na anaweza kuondoka ukiwa unamtazama tuu na hakuna anayejigusa.

Hivyo mimi naona hizi hospitali tunazilaumu bure tuu, mzizi wa tatizo ni huo hapo juu. Nadhani serikali ingerudisha utaratibu wa zamani tuu ili kuondoa hii kadhia. Ndugu wa mgonjwa husika waandikiwe vitu na dawa za kuleta, wasipoleta basi ni juu yao wenyewe na ndugu yao, akipona alhamdulillah, asipopona subanallah.

Unforgettable
 
Hospitali zote ni biashara, tatizo ni umaskini wa wagonjwa.
Siyo kwamba hajui, anajua fika kwamba wanyonge wanauza Mali kuokoa maisha ya ndugu zao. Siku hizi zipo hospital za dini zilizomikononi mwa wafanyabiashara , kulisha wagonjwa kupitia tenda imekuwa dili la watu kipindi hiki. Mgonjwa yupo ICU lakini anawekewa bili ya chakula, ukihoji utajuta

Lakini pia mbinu inayotumiwa na madaktari mfano niliwahi kwenda kumsalimia ndugu yangu Nkuranga hospital ipo userriver Arusha....bills zinazoandaliwa na wahasibu zimechakachuliw, mgonjwa anaandikiwa bili ya dawa ambazo hajawahi kupewa na ukihoji hakuna anayekusikiliza. Kiufupi government na Mission hospital zimekosa usimamizi zimekuwa biashara.

Mgonjwa analazw miezi ampatiwi bill Hadi afariki au siku mnatoka ndo mnapewa bill, ukiisoma unaweza kuzimia.

Hosipital zimegeuza biashara siyo huduma, makanisa yajitathimini kuliko taasisi zake kufikia kuzuia maiti kwa sababu ya madeni
 
Tumekuwa tukisikia matamko ya kisiasa kuhusu kukataza hospitali kuzuia ndugu kuchukua mwili kwenda kuzika. Lakini wamiliki wa hospitali kwa tamaa ya fedha na kwakupokosa utu wamekuwa waking'ang'ania miili ya marehemu isichukuliwe kisa bili za matibabu hazijalipwa. Unajiuliza huyo Marehemu anapokaa mochwari ndo anajiandaa kuwalipa au wanamweka huko kwa kutaka Nini? Sometimes haya ufanywa na hospitali zinazomilikiwa na dini na ambazo tunaambiwa haziendeshwi kibiashara, lengo la watu wa aina hii ni nn?

Ukifualia kiundani unabaini gharama zinazotakiwa kulipwa may be zinatokana na bili ya chakula hasa kipindi hiki Cha covid ambacho mahospital mengi yamedhibiti ndugu wasipeleke vyakula ila waliopewa tenda yakusambaza chakula wafanye biashara,wakati huo gharama ya chakula Ni kubwa na mgonjwa ale au asile gharama ipo pale pale. Tofauti na gharama ya chakula zipo gharama za mitungi ya gesi na isolation rooms ambapo maeneo haya yametumika kuwafilisi ndugu wa wagonjwa.

Nazungumza haya nikiwa na ushahidi wa ndugu mbalimbali wa Marehemu kuzuiwa kuzika wapendwa wao na maiti zipo mochwari. Najiuliza deni la 1.3trilioni kwanini lisingepunguza gharama ya matibabu hasa gharama za oxygen kwa wagonjwa na huduma Kama chakula? Duniani mikopo hii imetolewa kuokoa maisha ya watu na kusaidia ndugu wanauguliwa na wapendwa wao kupunguza gharama. Sisi kwetu eneo lakuokoa maisha ya watu na kuwasaidia waliokosa fedha za kuwahudumia wapendwa wao hatujaweka Kama kipaombele. Lakini pia mitungi ya gesi ingewekwa kwenye bima za kawaida za NHIF na fedha za covid zikaboostshirika la bima lakini bima haina msaada kwa mgonjwa wa covid na magonjwa nyemelezi hasa private hospitals.

Wataalamu wa afya akiwemo Waziri afuatilie idadi ya marehemu waliokataliwa kuzikwa kwa kushikiliwa na hospitali, ifuatilie gharama za chakula Cha wagonjwa na aina ya watoa huduma wanaohusika kuona Kama Kuna ulazima wakudhibiti ndugu kupeleka chakula huku gharama za chakula Cha hospitali zikiwa kubwa? Wafuatilie gharama za isolation rooms na ICU, wafuatilie wagonjwa wa covid waliokwamishwa na gharama na watoe maelekezo ikiwemo kupitia upya matumizi ya mkopo wa covid.

Serikali isekeze kutibu na kuokoa maisha ikiwa Ni pamoja kumpunguzia gharama mwananchi anayeuguliwa.
Huyo mama yenu si alishatoa maelekezo? Hakuna mtu alishawahi kufatamaelekezo ya mama Samia! Hana maamzi hakuna anachosimamia!
 
Hakuna mtanzania ambae amezoea kufanya dhuluma atapenda kiongozi mwenye calliber ya Paul Makonda ataeuliwe. Maana akiteuliwa tu kila dhuluma inakufa.

Sisi ni mashahhidi kuwa Paul Makonda ni mmoja wa viongozi ambao alipambana kuhakikisha haki inapatikana Dar na Tanzania nzima kwa ujumla. Dhuluma kwa maskini hata wanyonge zilikwama. Leo hii wapenda ufisadi na dhuluma wanampiga vita.

Huu ndio wakati mama Samia kuwarudisha wale akina Makonda ambao wamewekwa benchi na sasa wapambe wa mafisadi wanannza ngebe.

My take: Huu ndio wakati wa kupambana na dhuluma.
 
Back
Top Bottom