Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Nina muda sijatimba maeneo hayo.Uhasibu TIA njia ya kwenda Mbagala na makutano ya barabara ya Keko na TAZARA
Nikusahihishe, karibu yote uliyoyasema ni ya kweli.Mwendazake hakukosea alimpoteua kwa mara ya pili kuwa mgombea mwenza
Amethibitisha uwezo wake akiwa Makamo wa Rais
Amethibitisha uwezo wake akiwa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania
Ni kiongozi Mchapakazi Sana
Ni Kiongozi makini sana kwenye kufanya maamuzi
Ni Kiongozi mwenye Maono
Ni Kiongozi aliye tayari kupokea maoni mbalimbali lakini aliye huru kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi ya nchi
Ni Kiongozi anayetekeleza kwa wakati kile alichoahidi au kukisemea
Ni Kiongozi mfuatiliaji was kina wa maagizo aliyotoa
Ni Kiongozi mwenye hekima ya Hali ya juu
Amethibitisha ubora na uimara wake na Watanzania wote tu mashahidi
KaziIendelee
Takataka kama wewe bado una sauti, uwezo wa kutofautisha uchafu na usafi umeupata lini?Ondoa uchafu wako hapa unatutia kinyaa kama tumeona kinyesi.
Shida yake kubwa ni mnafiki na nyoka mwenye sumu kali sanaMwendazake hakukosea alimpoteua kwa mara ya pili kuwa mgombea mwenza
Amethibitisha uwezo wake akiwa Makamo wa Rais
Amethibitisha uwezo wake akiwa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania
Ni kiongozi Mchapakazi Sana
Ni Kiongozi makini sana kwenye kufanya maamuzi
Ni Kiongozi mwenye Maono
Ni Kiongozi aliye tayari kupokea maoni mbalimbali lakini aliye huru kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi ya nchi
Ni Kiongozi anayetekeleza kwa wakati kile alichoahidi au kukisemea
Ni Kiongozi mfuatiliaji was kina wa maagizo aliyotoa
Ni Kiongozi mwenye hekima ya Hali ya juu
Amethibitisha ubora na uimara wake na Watanzania wote tu mashahidi
KaziIendelee
Basi walikuwa wamemtegea sumu kaliNikusahihishe, karibu yote uliyoyasema ni ya kweli.
Isipokuwa Magufuli hakumchagua Samia, 2015 katika kikao cha CCM cha kumchagua mpeperusha bendera, Kikwete alikuja na jina la Magufuli mfukoni, na alipopitishwa . Naye Magufuli akamtaka Hussein Mwinyi awe mgombea wake mwenza, Kikwete akasema hebu tumpe Katibu mkuu wa chama fursa ya mawazo yake, Ndipo Comrade Abdulrahman kinana alipolileta jina la Mama Samia Suluh na kusema ni kiongozi bora kutoka kisiwani, na ni wakati muafaka kuwa na Mgombea mwenza wa kike.
Katika uchaguzi wa 2020 Magufuli alitaka kumbadilisha lakini akashauriwa kuwa akifanya hivyo kitakigharimu chama vibaya sana na Dunia itamshangaa.
Shida yake kubwa ni mnafiki na nyoka mwenye sumu kali sana
Mradi wa Barabara ya Kimara to Kibaha ndio ushalala doroooWaswahili Wana kamsemo: mnyonge mnyongeni, HAKI yake mpeni. Mama Samia Suluhu apongezwe kwa Miradi inavyoendelea kama ilivyoachwa na mtangulizi wake.
Nafurahia kuona barabara za Mwendokasi zinavyoendelea kujengwa kwa kasi nzuri, flyovers n. k.
NAWAS
Usisahau na tozo...ameleta piaMama ameikomboa nchi ilikua inspotelea shimoni!!!
1)Mama anafuta ukabila
2)Mama analeta ajira
3)Mama kapandisha watu madaraja au vyeo ambavyo mtangulizi wake alushindwa
4)Mama amesafisha jiji kipindupindu kilikua around the corner !!! Uchafu ulitamalaki
5)Mama amefungua mipaka biashara zinamiminika
6)Mafadhili wanamwaga pesa
Mama ameleta faraja anaongea kibinadamu
Sheria zinafata mkondo !!viongozi 7)waliokua miungu watu na kusifiwa na Magu sasa wapo jela
8)Mama kanunua site scan hosp ital zote sio wakati ule kila kitu chato
9)Mama ameenda UN akatoa speech kwa lugha ya malikia mama anajua ung'eng'e
10)kiukweli sasa nchi imekua nchi sio Mali ya MTU tena
Zile kauli za mniombee
Nchi hii ilichezewa sana hatuzisikii
11) mama ameleta usawa hakuna vyeo kupewa ukanda mmoja!!!
12) mama anashuhulikia wazembe japo wanalalamika kuwa wanaonewa kwasababu ya ukabika !!!
Mama hoyeeeeeeeeee
Ujumbe mzuri...Mwendazake hakukosea alimpoteua kwa mara ya pili kuwa mgombea mwenza
Amethibitisha uwezo wake akiwa Makamo wa Rais
Amethibitisha uwezo wake akiwa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania
Ni kiongozi Mchapakazi Sana
Ni Kiongozi makini sana kwenye kufanya maamuzi
Ni Kiongozi mwenye Maono
Ni Kiongozi aliye tayari kupokea maoni mbalimbali lakini aliye huru kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi ya nchi
Ni Kiongozi anayetekeleza kwa wakati kile alichoahidi au kukisemea
Ni Kiongozi mfuatiliaji was kina wa maagizo aliyotoa
Ni Kiongozi mwenye hekima ya Hali ya juu
Amethibitisha ubora na uimara wake na Watanzania wote tu mashahidi
KaziIendelee
Mmeanza tena 🤣🤣👆🤣Mwendazake hakukosea alimpoteua kwa mara ya pili kuwa mgombea mwenza
Amethibitisha uwezo wake akiwa Makamo wa Rais
Amethibitisha uwezo wake akiwa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania
Ni kiongozi Mchapakazi Sana
Ni Kiongozi makini sana kwenye kufanya maamuzi
Ni Kiongozi mwenye Maono
Ni Kiongozi aliye tayari kupokea maoni mbalimbali lakini aliye huru kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi ya nchi
Ni Kiongozi anayetekeleza kwa wakati kile alichoahidi au kukisemea
Ni Kiongozi mfuatiliaji was kina wa maagizo aliyotoa
Ni Kiongozi mwenye hekima ya Hali ya juu
Amethibitisha ubora na uimara wake na Watanzania wote tu mashahidi
KaziIendelee
Kama ilivyo kwa mgombea urais ccm hachaguliwi na chama Bali Dola ndivyo ilivyo kwa mgombea mwenza hachaguliwi na mgombea Bali dolaNikusahihishe, karibu yote uliyoyasema ni ya kweli.
Isipokuwa Magufuli hakumchagua Samia, 2015 katika kikao cha CCM cha kumchagua mpeperusha bendera, Kikwete alikuja na jina la Magufuli mfukoni, na alipopitishwa . Naye Magufuli akamtaka Hussein Mwinyi awe mgombea wake mwenza, Kikwete akasema hebu tumpe Katibu mkuu wa chama fursa ya mawazo yake, Ndipo Comrade Abdulrahman kinana alipolileta jina la Mama Samia Suluh na kusema ni kiongozi bora kutoka kisiwani, na ni wakati muafaka kuwa na Mgombea mwenza wa kike.
Katika uchaguzi wa 2020 Magufuli alitaka kumbadilisha lakini akashauriwa kuwa akifanya hivyo kitakigharimu chama vibaya sana na Dunia itamshangaa.
Changia maendeleo ya nchiUsisahau na tozo...ameleta pia
#MaendeleoHayanaChama