Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mama ni mwanafunzi bora kutokea ameishi kwa awamu nyingi akijifunza...!!!
 
Viongozi 7 waliokuwa miungu watu na sasa wapo jela!

Ni kina nani hao?
 
Tukutane 2025 utjua hujui
 
Ajira safi
Barabara Safi
Mikopo ya Elimu Safi
Afya Safi
Mapato Safi
Utalii Safi
Usalama Safi
Network Safi
Mfumko wa bei Safi
Mafuta Safi
Maji Safi
Umeme Safi
Nidhamu Safi
Fedha za kigeni Safi

Mungu aendelee kukuongoza Kwa kadri anavyotaka utupeleke kwenye Nchi ya Ahadi
 
Sitaki kuongea mengi lakini Mheshimiwa Rais Samia unaendelea kudhihirisha kuwa uongozi siyo ubabe wala kupiga piga kelele hovyo!

Leo nimetembea jiji la Mwanza nimeona maarifa yako, jiji la Mwanza limeanza kupumua!
Watanzania lazima tukubali kuishi kwa utaratibu na umasikini isiwe kisingizio cha watu kuishi kama mifugo.

Wamachinga lazima wapangwe, hatuwezi kuishi kama mifugo!

Hongera sana Mama na tuko nyuma yako.

KAZI IENDELEE .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…