The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Furaha hip, na mzunguko wa hela hup unao onekana? Sasa hv tozo zimefika kwenye miamala ya benk.amini usiamini kidogokidogo mzunguko wa pesa umeanza kuonekana. na watu wana furaha mioyoni hawaishi kama wafungwa.
Duuh hii dunia sijui imekaaje......
Umekaa kabisaaa... unatufananisha...unaifananisha Afrika na hao kina Musk?!!Duuh hii dunia sijui imekaaje......
manake kuna mwamba ana utajiri wa Bilioni Mia Tatu /B300 USD Mzee Musk...
Sisi 5.8 billion dollars bonge la habari?
Kwa taatifa yako hayo madarasa yameabza kujengwa kipindi kile. Hizo pesa dada zinapigwa kupitia njia hiyo kea sasaUkitoa ishu ya mbowe mama Samia mpaka Sasa anafanya vizuri.
Analeta maendeleo bila kunyanyasa watu kufokea watu kutweza utu wa mtu na kutoa vitisho.
Angekuwa bwana yule haya madarasa nchi nzima mbona tungekoma?
Kuna watu huwa mnajiabisha kewa kujifanya wajuaji.Duuh hii dunia sijui imekaaje......
manake kuna mwamba ana utajiri wa Bilioni Mia Tatu /B300 USD Mzee Musk...
Sisi 5.8 billion dollars bonge la habari?
Mama oyeeeee sio mshamba1.tozo miamala ya simu
2.bei za vifurushi (bando)
3.machinga kufukuzwa
4.bodaboda na bajaji kwenda mjini ( Amos makalla amesogeza siku mbele, ilitakiwa Hadi 01 sept tamko lianze kazi rasmi)
N.B.miradi yote ya maendeleo ni ile iliyoachwa na chuma
Kwenye ukweli tuseme ukweli.