The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hiki kipindi cha sifa kila mtu anaimba mapambio akumbukwe kwenye kiti cha ufalme.
Ni kawaida uongozi mpya unaopoingia kupe na chawa hawakosekani. Kujipendekeza kwingi, kuponda waliotangulia kwingi, nk.
Magenge ya wahuni ya kusifia kama kipindi cha JPM yamerudi kama kawaida.
Hizi sifa mnazotoa sasa bado hazijafikia za JPM alizopewa miezi 9 ya kwanza ya uongozi wake, bado hata robo hazijafika.
Hiki kipindi kikiisha tunarudi square one.