Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nimeifananisha nchi ya Tz na mtu!!??
kwa akili yako fupi sidhani kama unaweza ulewa mshangao wangu unatoka wp!?
Kwahiyo hata ulichokiandika hukijui. Yaani hujui maana yake.

Kmmy school fees za wazazi wako zimepotea/ zinapotea bure kama walikusomesha/wanakusomesha.

Kwa kukusaidia huyo Eron Musk utajiri wake unakadiriwa kuwa $300 B in terms of assets na sio salio akili nalo benki.

Tukisema Tanzania ina $B kadhaa kama akiba wana maanisha salio liko mfuko wa shati.

Umeelewa we popoma?
 
Hilo swala mleta mada kawaulize machinga usikie kauli yao wanasemaje kuhusu hicho kichwa cha habari chako
 
Wewe unajua hata ndoo ya mafuta ya kupikia ni kiasi gani imefika?

Unajua bei ya bati imefika kiasi gani?....
Acha wivu mama anaupiga mwingi bana. Mbona hayo madarasa elf 15000 na vituo vya afya zaidi ya mia nne 500 huyo marehemu wenu hakujenga?[emoji23][emoji23]
 
Ukitoa ishu ya mbowe mama Samia mpaka Sasa anafanya vizuri.
Analeta maendeleo bila kunyanyasa watu kufokea watu kutweza utu wa mtu na kutoa vitisho.
Angekuwa bwana yule haya madarasa nchi nzima mbona tungekoma?
Sawa
 
Kwahiyo hata ulichokiandika hukijui. Yaani hujui maana yake.

Kmmy school fees za wazazi wako zimepotea/ zinapotea bure kama walikusomesha/wanakusomesha...
Mat.a.ko kama hii hawezi elewa asset inaweza kubadilishwa kuwa fedha in no time.

mbuzi kama hii ni ya kusamehe bure tu
 
Acha wivu mama anaupiga mwingi bana. Mbona hayo madarasa elf 15000 na vituo vya afya zaidi ya mia nne 500 huyo marehemu wenu hakujenga?[emoji23][emoji23]
Gharama alizotumia kujenga flyover, viwanja vya ndege, madaraja mbali mbali na Nyerere Hydro electric power plant angeamua kujenga madarasa na zahanati angeweza kukamilisha madarasa mengi kiasi kwamba hata wanafunzi wangekaa watano tu na mwalimu kila darasa!
 
Hali ni mbaya sana asee..

Waliomuita JPM shetani ni wale w@$3nge wanufaikaji waliozibiwa mirija ya ukandamizaji , unyonyaji na uonevu dhidi ya masikini wa kipato cha chini.
 
Acha wivu mama anaupiga mwingi bana. Mbona hayo madarasa elf 15000 na vituo vya afya zaidi ya mia nne 500 huyo marehemu wenu hakujenga?[emoji23][emoji23]
JPM amekamilisha na ameacha mega project ambazo huyu aliyepo hajui anaanzaje kuzikamilisha..

Unafikiri nchi ni NGO
 
JPM amekamilisha na ameacha mega project ambazo huyu aliyepo hajui anaanzaje kuzikamilisha..

Unafikiri nchi ni NGO
Muachage majungu SGR imesimama? Mwl.nyerere Hydropower imesimama ? Mwanza Isaka hata marehemu hakuicha leo mradi si unaendelea?
 
Hali ni mbaya sana asee..
Waliomuita JPM shetani ni wale w@$3nge wanufaikaji waliozibiwa mirija ya ukandamizaji , unyonyaji na uonevu dhidi ya masikini wa kipato cha chini...
Hao wacenge ndio wamepata mianya ya kutunyonya maskini now! Ndio wapambe wa bi mdashi
 
Ukitoa ishu ya mbowe mama Samia mpaka Sasa anafanya vizuri.
Analeta maendeleo bila kunyanyasa watu kufokea watu kutweza utu wa mtu na kutoa vitisho.
Angekuwa bwana yule haya madarasa nchi nzima mbona tungekoma?
Anaiua kabisa chadema huku ikikiona na haina cha kufanya...
Ife tu
 
Acha uwongo mama samia ndo anatoa pesa za kujenga Mwl.nyerere Hydropower na SGR Dar moro Makutupora, Mwanza Isaka na miradi inaendelea.

Marehemu alianzisha miradi akaicha njiani haijakamilika.
 
Acha uwongo mama samia ndo anatoa pesa za kujenga Mwl.nyerere Hydropower na SGR Dar moro Makutupora, Mwanza Isaka na miradi inaendelea. Marehemu alianzisha miradi akaicha njiani haijakamilika.
Anatoa pesa kwani zake?
Pesa si zetu? Hivi umesikia kinachoendelea daraja la busisi au unaongea tu kufurahisha bunge?

Watu wameanza kupiga, mama hana exposure kabisa ya hayo masuala kama JPM we jamaa, mama ana exposure na NGOs..

Kama hujui kaa kimya..

Upigaji umerudi kwa kasi mno..
 
Anatoa pesa kwani zake?
Pesa si zetu? Hivi umesikia kinachoendelea daraja la busisi au unaongea tu kufurahisha bunge?....
Kwani magufuli alikua anatoa za kwake? Tuletee ushahidi wa hayo unayosema kuhusu kigogo busisi siyo majungu na umbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…