Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Duh! Au basi 😆
 
Mama ni kinda analishwa na jorowe ili aweze kuishi, uwezo wa kung’amua mambo bado ni duni sana kwake.

Aendelee kusoma kile alichoandikiwa nje ya hapo nyuzi nyingi zitakuwa zikifunguliwa kwa sababu yake.
 
Kamusi ya BAKITA inasema I think ni Kudhani / Nadhani hivyo acheni kunipotezea muda tafadhali sawa?

Cc: kidi kudi
 
Ni neno standard sana hilo ulimwenguni, wewe ndiye unatakiwa kunyukwa vibao maana inaelekea hujui uzito wake!
 
Katika kuongea hiyo ni namna nzuri mno ya kujibu swali au kutoa maoni.

Asiache.
 
Pumbavu Kamusi ya BAKITA inasema I think ni Kudhani / Nadhani hivyo acheni kunipotezea muda tafadhali sawa?

Cc: kidi kudi
Mkuu hutaki ukosolewe ila ww unamkosoa Mama....hv akili yako iko sawa sawa kweli

Una ukoloni ndani yako ....ukiandika pumba lazima ukosolewe

Sawa we kiande....
 
Hayuko well informed kwenye mambo azungumzayo. Mf. unakuta anatoa facts za matumizi ya fedha anasema "zimetumika milioni mia ngapi sijui" au urefu wa barabara au daraja "kilometer ngapi sijui". Hii kauli inanikera
Tanzanians in general, on average, are innumerates and barely literate.

She is just representing the median.
 
Siwezi poteza mda wangu kumsikiliza huyo bibi.
Dah wakuu huyu ni mama na anahitaji kupewa heshima yake kama mama afu tena ni head of state,mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe. Jamani mamaanajitahidi kutufutia baadhi ya yale maovu aliyotufanyia maliyemu.
 
Mungu aliona mbali akasema wakae nyumbani watupikie na kulea watoto mwanamke hakuumbwa kuwa kiongozi na haya ndo matokeo yake anaropoka kama mkuu wa mkoa vile kumbe yy ndio raisi wa nchi tufunge mikanda tutafika.
 
Sijawahi kuwaza kwamba eti kusema nadhani inaleta ukakasi..

Amerudia tena BBC akihojiwa mda huu.
 
I think your argument is barbaric and baseless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…