Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia Suluhu Hasan hawezi kuzuiwa na Sabaya au Bashiru kushinda 2025
Yapo mengi makubwa anawafanyia watanzania na atakayowafanyia watanzania yatakayompa ushindi
Na wanao mtetea Sabaya ni wafaidika wa maovu ya Sabaya.
Tulio ona ujinga alio kuwa akifanya Sabaya kipindi cha Magu ata kuambia Sabaya hastahili hata huko magereza. Bali ana takiwa nae awe kaburini.
 
Ooo! Nadhani Kesi ya Sabaya ndiyo itampa kura nyingi toka Kanda ya Kaskazini ambao wameteswa na unyama wa Sabaya.Sabaya hapa haponyoki labda kilichobaki ni kumlilia Mungu amrehemu tu amtoe gerezani.
 
Naunga mkojo hona
 
2025 huyo kichwa cheupe wenu mtakunywa nae chai... petty issue ndio vitu pekee anaweza .... hana tangible hata moja iliyo simama... rubbish.
 
Viongozi wa dini waache ubaguzi walimtetea Mbowe kila kukicha leo SABAYA wanampa kisogo wakati vitabu vitakatifu vinasema samehe saba mara sabini.
 
Too much negatives!
Bado sijaona hoja yoyote ambayo ni positive toka kwako.
Ni mwendo wa "futa", "futa", "futa", "ondoa", "ondoa"!
 
Siku za hv karibuni nimejikuta ari ya kuipenda, kuilinda na kuitetea nchi yangu inaongezeka Sana

Binafsi ilifilikia mahali nilijidharau na kuchukia utanzania wangu kutokana na Mambo ya hovyo yaliyofanywa na mwendazake.

Mama yetu, mwenyekiti wa ccm na raisi wetu Samia Ana moyo wa huruma, upole, upendo na ni msikivu, uongozi wake umenifanya nijisikie faraja, matumaini na uzalendo wa kweli kwa nchi yangu.

Nina imani wapo vijana na wananchi wengi Sana wanaoiona Tanzania kwa sura mpya, Mataifa mengine na dunia inatuunga mkono, watalii wanamiminika, si kwa bahati mbaya ni mipango mizuri ya serikali ya ccm chini ya Mama Samia

Raisi wetu, sisi vijana na watiifu kwa serikali na nchi yetu kwa hiari na dhamiri Safi tutakuunga mkono na tuko tayari kukutetea, kukusaidia kutekeleza majukumu utakayotupangia.




[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]SIJALAMBA ASALI[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Umejiunga jf siku 5 zilizopita ili uje useme haya. Muwe mnawaambia Watoto wao pia wafanye hivi sio kila siku mnatumiwa nyinyi vidampa
 
Umejiunga jf siku 5 zilizopita ili uje useme haya. Muwe mnawaambia Watoto wao pia wafanye hivi sio kila siku mnatumiwa nyinyi vidampa
Siasa za kutukanana zimepitwa na wakati kwa Nini usiheshimu mawazo yangu mkuu
 
Mmeanza Tena kusifia kusikokuwa na kikomo eee bahati nzur Bibi tozo hapendi sifa za kipuuzi fanya kazi acha uchawa
 
Mmeanza Tena kusifia kusikokuwa na kikomo eee bahati nzur Bibi tozo hapendi sifa za kipuuzi fanya kazi acha uchawa
Mtunza legansi na mlamba viatu hebu tulia mama anaifungua nchi acha tumsaidie
 
Rais Samia watanzania wamekupokea na wamekuwa
1: kupandisha mishahara
2: kuendeleza miradi mikubwa
3: kujenga vituo vya afya na madarasa
4:kuleta diplomasia
5: uhuru wa habari
6.Kujenga miradi ya maji.

7.Kuboresha elimu kwa kujenga madarasa na shule mpya.

8.Kuboresha haki za binadamu,

9.Kukuza Uchumi na biashara,

10.Kuleta mapinduzi ya kilimo kwa kutoa mbolea ya Ruzuku,pembejeo na kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.
 
Nchi inaongozwa na Mapaka😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu umesahau hapo futa nakubomoa nyumba yenu tufanye shamba tupate mazao yakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…