Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Kilo moja ya unga NI shs 2000,sukari kilo NI shs 5000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuuHakika umenena na kutoa ushauri mzuri sana.
Mungu awatangulie
Kilo moja ya unga NI shs 2000,sukari kilo NI shs 5000
Anaifungua nchi kwa namna ipi na wakt anadororesha maswala ya maendeleo embu ustuchanganye nawe Kama huoni sisi tunaona Toka tulipokuwa mpka tulipo,katurudsha nyuma hatua nyingi,uchawa huoMtunza legansi na mlamba viatu hebu tulia mama anaifungua nchi acha tumsaidie
Sema wewe ndio umempokea ustuseme Bwana Mimi Ni mtanzania hata Kama Niko nje ya nchi ili usiniseme ,mm sjakubalian kbsa6.Kujenga miradi ya maji.
7.Kuboresha elimu kwa kujenga madarasa na shule mpya.
8.Kuboresha haki za binadamu,
9.Kukuza Uchumi na biashara,
10.Kuleta mapinduzi ya kilimo kwa kutoa mbolea ya Ruzuku,pembejeo na kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.
Kabisa walimuita dictator lakin aliitengeneza nchi tukaheshimiana Ila hapa tulipo na hii jinsi nyingne nkama tunarud kweny tulkokuwa huko miaka ya 2005 kurudi nyumaNchi inaongozwa na Mapaka[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2254630
Kwako wewe kaupiga mwingi na atapiga mpka achane net, Mimi nasubr nione huo mwingi unaishia wapi ,Nasema tena
Asali imenifikia na inaonekana itakua ya kudumu hadi 2030.
Nasema tena Mama Yetu, yuko vizuri anaupiga mwingi na kazi zake zinajionesha na mambo anayoyafanya toka uhuru haijawahi kutokea.
AFanye moango PayPal ifanye kazi katika benki za Bongo maana BOT inazingua sanaHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli kafa, lakini spirit yake haijafa. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu, katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli kafa lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, na kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli haijafa. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60, kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Kabisa walimuita dictator lakin aliitengeneza nchi tukaheshimiana Ila hapa tulipo na hii jinsi nyingne nkama tunarud kweny tulkokuwa huko miaka ya 2005 kurudi nyuma
Hutaki achaSema wewe ndio umempokea ustuseme Bwana Mimi Ni mtanzania hata Kama Niko nje ya nchi ili usiniseme ,mm sjakubalian kbsa
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan,View attachment 1733240
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli kafa, lakini spirit yake haijafa. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu, katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli kafa lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, na kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli haijafa. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60, kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Umempa za uso. Safi sana.We have to talk about Inflation, it's now our common problem , it Makes our people and everybody poorer .
Achaneni na Huu ujinga, Ushabiki maandazi , Kila siku Samia Samia Huku Kipande Cha sabuni Cha MO29 Kwa Sasa ni mia 900 .
Ni mpumbavu na Juha pekee ndo anaweza imba mapambio wakati Lita Tano za Mafuta ya kula Kwa Sasa unanunua elfu Arobaini.
Ni utaila , a mental disorder kujifanya kua hamuoni Kinachoendelea Kwa Raia wa chini .
Kuna Faida gani kufurahia Nyongeza ya 23% wakati Gharama za Maisha ziko juuu kupita kiasi ?
Alafu Kitu Zima Kila siku kuanzisha nyuzi ,Samia hivi, Samia vile Samia hivi ???
Wakulima wetu tunawasaidiaje ??
Katika hali kama hii, MTU UNAWEZAJE ZUIA SHUGHULI ZA UVIVU ??
Badala ya kuwasapoti WAKULIMA na WAVUVI wetu ili wazalishe Kwa wingi , kuondoa Presha kwenye Gharama za Bidhaa zao na kusaidia kushusha Mlipuko ???
Et Nimewapa Jambo?? Jambo gani?? Katika wakati Dunia Inapitia Magumu , Umeshindwa kuwacontrol wafanya biashara , na unaongeza waziwazi mishara , matokeo yake WAFANYABIASHARA wamejiamlia na Watumiaji nao wamepagawa kusikia 23% Kwa pamoja wsmesababisha Gharama za Maisha Kupanda Kwa Kasi ,. Huyu Raia wa chini anasaidia vipi,????
UPUMBAVU tu Kila KUKICHA .. Badala ya kuja nyuzi zenue mawazo ya kusaidia Serikali, na Watanzania Kwa ujumla, nyie bado mnaishi kwenye mawazo ya kikoloni??? HUUU UPUMBAVU UISHE MARA MOJA KABISA .
NA USIKUTE MTOA MADA NI KIJANA ??? UPUMBAVU KABISA.
We Have to act and tackle inflation now and not tomorrow , otherwise it's going to destroy our humanity, it's going to cost more families in the long run .
HATUWEZI KUKAA KUSUBIRIA ET DUNIA ILE KULE IWE STABILIZED KIUCHUMI NA SISI NDIO TUANZE JITIHADA.
BAHATI MBAYA SANA, KUANZIA RAIS, SERIKALI YAKE, NS WASOMI WACHUMU MAANDAZI WA TANZANIA, WAMESHINDWA KUJA NA SOLUTION BADALA YAKE KILA KITU " VITA YA UKRAINE, ATHARI , COVID-29"
JPM ANGEKUA HAI, NCHI INGEKUA MBALI SANA KIMAENDELEO... HII INFLATION TUNAYOISHUDIA LEO, HATA KAMA INGEKUWEPO ISINGEKUA KWA KIWANGO HIKI.
ACHENI UJUHA,UPUMBAVU NA UTAHIRA KUIMBA MAPIMBIO YASIYOENDANA NA HAKI HALISI.