Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huo ndo ukwel watu kujifanya hawaoni kinachoendelea
Kila kukicha MAMA yupo kazini kazi gani hiyo wakat raia tunapitia mateso makali huku mtaani
 
We have to talk about Inflation, it's now our common problem , it Makes our people and everybody poorer .

Achaneni na Huu ujinga, Ushabiki maandazi , Kila siku Samia Samia Huku Kipande Cha sabuni Cha MO29 Kwa Sasa ni mia 900 .

Ni mpumbavu na Juha pekee ndo anaweza imba mapambio wakati Lita Tano za Mafuta ya kula Kwa Sasa unanunua elfu Arobaini.

Ni utaila , a mental disorder kujifanya kua hamuoni Kinachoendelea Kwa Raia wa chini .

Kuna Faida gani kufurahia Nyongeza ya 23% wakati Gharama za Maisha ziko juuu kupita kiasi ?

Alafu Kitu Zima Kila siku kuanzisha nyuzi ,Samia hivi, Samia vile Samia hivi ???

Wakulima wetu tunawasaidiaje ??

Katika hali kama hii, MTU UNAWEZAJE ZUIA SHUGHULI ZA UVIVU ??

Badala ya kuwasapoti WAKULIMA na WAVUVI wetu ili wazalishe Kwa wingi , kuondoa Presha kwenye Gharama za Bidhaa zao na kusaidia kushusha Mlipuko ???

Et Nimewapa Jambo?? Jambo gani?? Katika wakati Dunia Inapitia Magumu , Umeshindwa kuwacontrol wafanya biashara , na unaongeza waziwazi mishara , matokeo yake WAFANYABIASHARA wamejiamlia na Watumiaji nao wamepagawa kusikia 23% Kwa pamoja wsmesababisha Gharama za Maisha Kupanda Kwa Kasi ,. Huyu Raia wa chini anasaidia vipi,????

UPUMBAVU tu Kila KUKICHA .. Badala ya kuja nyuzi zenue mawazo ya kusaidia Serikali, na Watanzania Kwa ujumla, nyie bado mnaishi kwenye mawazo ya kikoloni??? HUUU UPUMBAVU UISHE MARA MOJA KABISA .

NA USIKUTE MTOA MADA NI KIJANA ??? UPUMBAVU KABISA.

We Have to act and tackle inflation now and not tomorrow , otherwise it's going to destroy our humanity, it's going to cost more families in the long run .

HATUWEZI KUKAA KUSUBIRIA ET DUNIA ILE KULE IWE STABILIZED KIUCHUMI NA SISI NDIO TUANZE JITIHADA.

BAHATI MBAYA SANA, KUANZIA RAIS, SERIKALI YAKE, NS WASOMI WACHUMU MAANDAZI WA TANZANIA, WAMESHINDWA KUJA NA SOLUTION BADALA YAKE KILA KITU " VITA YA UKRAINE, ATHARI , COVID-29"

JPM ANGEKUA HAI, NCHI INGEKUA MBALI SANA KIMAENDELEO... HII INFLATION TUNAYOISHUDIA LEO, HATA KAMA INGEKUWEPO ISINGEKUA KWA KIWANGO HIKI.

ACHENI UJUHA,UPUMBAVU NA UTAHIRA KUIMBA MAPIMBIO YASIYOENDANA NA HAKI HALISI.
Usipende kufanya maamuzi ukiwa na hasira. Shusha pumzi, tulia, kunywa maji pumzika then fanya maamuzi.
 
Uwezo wako wa kifikra ni mdogo sana ndomana unakubali kubuzwa
Shida yenu mnataka kufanyia watu maamuzi yani nani wa kumuunga mkono hapo ndipo mnapokosea, kama nyie mnakubali kazi za wengine basi acha na sisi tukubali kazi za Rais Samia Suluhu.
 
We have to talk about Inflation, it's now our common problem , it Makes our people and everybody poorer...
Umeandika vizuri sana ila umetia doa pale uliposema,"JPM ANGEKUEPO TUNGEKUWA MABLI SANA," maisha unayoyaona leo yametokana na ubovu wa JPM katika mambo ya utawala bora na siasa zenye tija.
 
We have to talk about Inflation, it's now our common problem , it Makes our people and everybody poorer...
Inaonekana kwamba wewe una UHABA WA TAARIFA SANA, do research na ujue hali ilivyo dunia nzima alafu rudi Tanzania. Shida ya watu kama nyie ni kwamba kila kitu mnapinga bila hata sababu ya msingi. Remember hate is not good for your health.
 
Usipende kufanya maamuzi ukiwa na hasira. Shusha pumzi, tulia, kunywa maji pumzika then fanya maamuzi.
Acha ujuha na utahila, hata kama unatafuta Uteuzi..

Furahia Teuzi unayoipata Kwa kua na Mawazo mchango kwenye Taifa lako .

UPUMBAVU Huu wa kusifu sifu ndio unaopelekea Taifa la watu million zaidi ya 50 kua na baadhi ya Ma DC , Ma RC, DED , RAS ,Wakurugenzi wa TAASISI very Vichwa Maji maji kabisa na Vitunguu maji.

Alafu Ukihoji utasikia "HESHIMU MAMLAKA"...

hii Mentality ya kikoloni ni ujuha na UPUMBAVU ulopitiliza , katika Karne hii ambayo Kila Kiongozi anapambania "Utaifa na Raia wake".

Kua na viongozi kama Hawa tulonalo ni zaidi ya Adhabu ambayo Mungu katupatia.

JPM ni kazi zake ,UTHUBUTU, Uadilifu, uchapakazi wake , ndio ULIMPA URAIS WA NCHI HII.

KAMWE Hayati hakua lopolopo, hakujikomba, hakusifia mtu ili mradi achaguliwe uwaziri , Kuna wakati alitishia hata kuacha kazi zake ili tu kuheshim Principles za Kichwa chake, na Uzalendo wake Kwa Taifa.

Sasa Vijana wa Leo, Mmekua hovyoo hovyo ,yaaan hata Elimu zenu zimekua maji ,hazina Msaada Kwa Taifa, mnaangalia kupiga Domo, ili upewe uDED.
 
Inaonekana kwamba wewe una UHABA WA TAARIFA SANA, do research na ujue hali ilivyo dunia nzima alafu rudi Tanzania. Shida ya watu kama nyie ni kwamba kila kitu mnapinga bila hata sababu ya msingi. Remember hate is not good for your health.
Ndio maana nmekuambia, wewe ni ka kijana kakike/kakiume hasara Kwa wazazi wako na uliyeshibisha Ubongo wako matope yakufugia minyoo.

Et huna Taarifa, ....do research ..hali ilivyo Dunia nzima ..

Mjinga Mmoja wee... Zambia na Malawi wanapitisha Mafuta kwenye Bandari zetu.. lkn hayo hayo mafuta kwao ni angalau Bei inaunafuu , huku Watanzania wakiliaa...

Zambia na Malawi wao wako Dunia gani ??? Wao hawaguswi na hali ya Dunia??.

Ninarudia kusema, Taifa linapitia kipindi ambacho Lina Vijana baadhi wapuuzi sana .
 
Acha ujuha na utahila, hata kama unatafuta Uteuzi..

Furahia Teuzi unayoipata Kwa kua na Mawazo mchango kwenye Taifa lako .

UPUMBAVU Huu wa kusifu sifu ndio unaopelekea Taifa la watu million zaidi ya 50 kua na baadhi ya Ma DC , Ma RC, DED , RAS ,Wakurugenzi wa TAASISI very Vichwa Maji maji kabisa na Vitunguu maji.

Alafu Ukihoji utasikia "HESHIMU MAMLAKA"...

hii Mentality ya kikoloni ni ujuha na UPUMBAVU ulopitiliza , katika Karne hii ambayo Kila Kiongozi anapambania "Utaifa na Raia wake".

Kua na viongozi kama Hawa tulonalo ni zaidi ya Adhabu ambayo Mungu katupatia.

JPM ni kazi zake ,UTHUBUTU, Uadilifu, uchapakazi wake , ndio ULIMPA URAIS WA NCHI HII.

KAMWE Hayati hakua lopolopo, hakujikomba, hakusifia mtu ili mradi achaguliwe uwaziri , Kuna wakati alitishia hata kuacha kazi zake ili tu kuheshim Principles za Kichwa chake, na Uzalendo wake Kwa Taifa.

Sasa Vijana wa Leo, Mmekua hovyoo hovyo ,yaaan hata Elimu zenu zimekua maji ,hazina Msaada Kwa Taifa, mnaangalia kupiga Domo, ili upewe uDED.
Umenena vizuri
Hata BOT nao sijui wanafeli wapi maana wameizuia PayPal sasa wanatupunguzia baadhi ya kazi mtandaoni
 
Ndio maana nmekuambia, wewe ni ka kijana kakike/kakiume hasara Kwa wazazi wako na uliyeshibisha Ubongo wako matope yakufugia minyoo.

Et huna Taarifa, ....do research ..hali ilivyo Dunia nzima ..

Mjinga Mmoja wee... Zambia na Malawi wanapitisha Mafuta kwenye Bandari zetu.. lkn hayo hayo mafuta kwao ni angalau Bei inaunafuu , huku Watanzania wakiliaa...

Zambia na Malawi wao wako Dunia gani ??? Wao hawaguswi na hali ya Dunia??.

Ninarudia kusema, Taifa linapitia kipindi ambacho Lina Vijana baadhi wapuuzi sana .
Unajielezea sana shida ndipo ilipoanzia.
 
Kwanza heshima kubwa kwa Mama Mungu akubariki.
Bei za mazao ya chakula imepanda tena sababu 3 kuu zikitajwa. Moja ni kupanda kwa Bei za mafuta, mbili ni wanunuzi Toka nje na tatu ni uzalishaji mdogo kwa msimu uliopita.

Nianze ya mafuta hii hulaumiwi ipo nje ya uwezo wako. Anaelaumu nae anasababu zake asibezwe.
Mbili wanunuzi toka nchi jirani hili nakupongeza kwani imeimarisha mahusiano ya kibishara lakin kubwa zaidi imetoa mwanga kwa wenye akili ya uwekezaji wawekeze kwenye kilimo, na kuwapa wakulima haki yao ya kuuza Bei zenye maslahi kwao. Kuna watu wanalaumu lakin nahic ni kwakuwa wako mjin na maofisini tu hawajui ghalama anakabiliana nazo mkulima katika uzalishaji wa hicho chakula ambacho wanataka kisiuzwe nje ili wao wawe na unafuu wa kuishi. Kama ilivyopanda Bei za bidhaa nyingine kama vile mbolea kutoka 56000/- ya mwaka Jana Hadi 145000 ha 150000 kwa mwaka huu na madawa mengine ya kilimo. Chakula nacho hakina budi kupanda tutazoe tu.

Tatu ni kuhusu uzalishaji mdogo wa msimu uliopita. Niliwahi kusema mwaka 2017 kuwa tunapofurahia gunia la mahindi kuuzwa 36000 wakati huu kwakuwa Rais kafunga mipaka basi Hela zinazobaki tununue chakula cha akiba ya muda mrefu maana kutakuja kutokea uhaba mkubwa wa mazao haya kwa sababu wakulima hawataendelea kuzalisha ili wauze kwa hasara namna hii watapeleka mitaji yao sehemu nyingine au watakuwa wameishiwa pumzi.

Watu walinidhihaki sana. Ila ukweli ni kwamba wakulima wa kibiashara wengi mfano wa mikoa Songwe na iringa walihamia kwenye Parachichi, na waliobaki wakafanya mambo mengine. Hapa nazungumzia wakulima sio wa bustani za Heka mojamoja.

Hii yote ilitokana na ufungaji wa mipaka ikafanya watu tuone kilimo sio kazi Tena tukahamia wengine kuuzwa mbao, ng'ombe wengine magari nk. Sasa Kuna kilio kila Kona ya uhaba wa mazao. Mama nakupongeza umerudisha uti wa mgongo kwenye hadhi yake sasa msimu watu wengi watarudi shambani. Narudia Tena Mama usijefunga mipaka Tena ili watu waongeze uzlishaji na kufanya kilimo kuwa kazi ya wengi ambao hutakuwa na uwezo wa kuwaajiri kilimo kitawajiri. Tunayo ardhi ya kutosha kuajiri watu wote wanaotaka kazi ya kilimo.

ANGALIZO: Haya ni mawazo yangu una hoja mbadala toa hoja Yako huna hoja pita pembeni. Uslite stress zako za kukosa Hela ya kunulia chakula ukaharibu hali ya hewa
 
Mimi ni miongoni mwa wanaoamini utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu katika muda mfupi aliokaa madarakani, umefanikiwa kubadili taswira ya Taifa letu kiuchumi, kijamii, kidemokrasia na hata kuiletea heshima nchi yetu katika suala zima la utawala bora na haki za binadamu.
 
Na hajaishia hapo tu kuimalisha mahusihano ya kimataifa. Na kwenye sekta ya utali kupitia royol tour imezidi kuongeza watalii wanaokuja kutalii
 
Na hajaishia hapo tu kuimalisha mahusihano ya kimataifa. Na kwenye sekta ya utali kupitia royol tour imezidi kuongeza watalii wanaokuja kutalii
Rais Samia Suluhu ni kiongozi bora wa Taifa letu. Anahitaji pongezi na tuzidi kumuombea kwa Mungu.
 
Kipindi cha nyuma kuna baadhi ya maeneo yalikua yakisaulika kabisa kupelekewa maendeleo na kutatua changamoto zao.

Lakini sasa wote ni mashuhuda wa namna awamu ya 6 chini ya Rais Samia Suluhu inavyogusa kila kona na kutatua changamoto zao.

Maeneo ya kusini ilikua ikisahaulika sana na kukumbukwa kipindi cha uchaguzi tu, lakini Rais Samia Suluhu tunaona namna anavyofanya kazi zake kipekee. Anatuhakikishia kwamba linalowezekana leo lisingoje kesho na ndio maana sasa hivi kazi inafanywa kila sehemu.

Kwenye awamu hii ya 6, hakuna kinachoachwa nyuma, kila sehemu italamba asali kwa wakati wake. Tanzania tupo salama na Rais Samia Suluhu.
 
Tunamuomba Rais awe mkali haswa kwenye mambo ya msingi, ukali ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom