Siku za hv karibuni nimejikuta ari ya kuipenda, kuilinda na kuitetea nchi yangu inaongezeka Sana
Binafsi ilifilikia mahali nilijidharau na kuchukia utanzania wangu kutokana na Mambo ya hovyo yaliyofanywa na mwendazake.
Mama yetu, mwenyekiti wa ccm na raisi wetu Samia Ana moyo wa huruma, upole, upendo na ni msikivu, uongozi wake umenifanya nijisikie faraja, matumaini na uzalendo wa kweli kwa nchi yangu.
Nina imani wapo vijana na wananchi wengi Sana wanaoiona Tanzania kwa sura mpya, Mataifa mengine na dunia inatuunga mkono, watalii wanamiminika, si kwa bahati mbaya ni mipango mizuri ya serikali ya ccm chini ya Mama Samia
Raisi wetu, sisi vijana na watiifu kwa serikali na nchi yetu kwa hiari na dhamiri Safi tutakuunga mkono na tuko tayari kukutetea, kukusaidia kutekeleza majukumu utakayotupangia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]SIJALAMBA ASALI[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]